Thursday 24 March 2016

ULIKOSA KULIONA GOLI LA SAMATTA NIMEKUWEKEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
March 23 2016 Taifa Srars ilicheza na Chad katika uwanja wa Idriss Mahamat Chad, Taifa Stars ikiwa ugenini, ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na nahodha wa timu hiyo Mbwana Samatta dakika ya
30 baada ya kupokea krosi safi kutoka kwa Farid Musa.
Unaweza licheki hapa mtu wangu


No comments:

Post a Comment

advertise here