Saturday, 9 May 2015

MVUA DAR KWISHA HABARI YAKE GWAJIMA AZITEKETEZA NA JESHI LAKE

NA SWAXBZ LAYIIII
haribu tena, na ninaiamuru ardhi imeze maji yote yaliyojaa juu ya nchi".

Friday, 8 May 2015

Monday, 20 April 2015

HAYA SASA KULIKONI SHAMSA NA SIWEMA WA NEY?????????


KUMEKUCHA NA SWAXBZ LAYIII
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ , Siwema.
Imelda mtema
Kazi imeanza! Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Mbongo-Fleva huyo, Siwema wameanza kuchimbana baada ya hivi karibuni kurushiana madongo.

TOTO RIHANNA LAJIACHIA MJINI HAWAII MAREKANI

Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty (27) 'Rihanna' akitembea akiwa kashika glasi ya juisi  katika fukwe za Hawaii, Marekani  jana Jumapili.

Saturday, 18 April 2015

UNAIKUMBUKA HII......... AY NDIYE WAKALA WA GODFATHER WA AFRIKA KUSINI

NA SWAXBZ LAYIIII





Ambwene Yassaya-AY
Ambwene Yassaya-AY
Mkali wa mziki wa kizazi kipya Tanzania Ambwene Yesaya-AY anayetamba kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji Godfather mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini.
AY amesema msanii yeyote wa Afrika Mashariki anayehitaji kufanya video chini ya muongozaji huyo ni lazima apitie kwake kwani yeye ndiye wakala wake hapa Afrika Mashariki.
Alisema… “Huwezi kufanya video na Godfatherni lazima utapita kwangu na utalipa gharama zote kwangu kwani tumeingia deal pamoja.”

ALICE WA THT APATA KI------;;;;;;; JUKWAAANI

NA SWAXBZ LAYIIII
 IMG-20140508-WA0001
Kulikuwa na story nyingi kwenye Hekaheka.. kukawa na ugeni wa msanii wa THT, anaitwa Alice  akasimulia Hekaheka yake aliyokutana nayo akiwa kwenye show.

NEY WA MITEGO HOI

NI BAADA YA MAJIBU YA DNA YA MTOTO ANAYEDAIWA KUWA NA BABA MWINGINE EMBU FUATILIA HATUA KWA HATUA HAPA

NA swaxbz layiiiii

Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kupima vipimo vya DNA kwa mtoto wake yametoka.

neyBaada ya

JINSI RAIA WALIVO HAHA KUHAMA BAADA YA MACHAFUKO AFRIKA KUSINI

SWAXBZ LAYIIII
Maandamano ya kupinga ghasia dhidi ya wageni yalifanyika mjini Durban.
Raia wa kigeni wakitoa bidhaa katika maduka yao kufuatia kushambuliwa na wenyeji.

Friday, 10 April 2015

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA JIJINI DAR

NA SWAXBZ LAYIII
AW1A1307
Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii, redioni na TV ni ripoti ya story kubwa ya mgomo wa mabasi ya abiria, nikasogea Kituo cha Mabasi Ubungo kuona hali ilivyo.
Vurugu kubwa zimezuka, yakachomwa matairi ya magari barabar

Monday, 6 April 2015

MALEGEND AMBAO NI WAJASILIAMALI WAKUBWA WA KUIGWA

NA SWAXBZ LAYIIIIIIIIII

Sean John ' P. Diddy'.
LICHA ya wasanii nyota wa filamu wa Hollywood nchini Marekani kuingiza fedha nyingi kutokana na kuigiza na kudhaminiwa na makampuni makubwa, waigizaji wa Nigeria waliochini ya Nollywood, mambo yao hayaendi vizuri kama wanavyotaka.
Pamoja na kupata mafanikio makubwa katika kuigiza, waigizaji wa Marekani wamejiingiza katika sanaa nyingine nyingi kama yale ya fasheni za mavazi ambako wameingiza mkwanja mkubwa.
Nyota ambao wanaingiza mkwanja mkubwa kila mwaka katika anga hizo, kwa mujibu wa gazeti la Forbes ni pamoja na Nicole Richie ambayo imemwingizia Dola milioni 2, Rachel Zoe Collection (milioni 20), Justin Timberlake na rafiki yake Trace Ayala (milioni 50), Gwen Stefani (milioni 90) na . Victoria Beckham milioni 95) alizovuna mnamo mwaka 2011 peke yake.

Friday, 3 April 2015

ETI DAR KUNA KELELE E BANA EEE MIJI HII NI NUKSI KWA KELELE DUNIANI

SWAXBZ LAYIIIII BLOGGER
nyc-skyline
Moja ya ishu zilizojadiliwa Bungeni katika vikao vilivyofanyika ndani ya wiki hii ni suala la kelele ndani ya Miji Mikubwa TZ kam vile Dar.. Wabunge wakasema ikiwezekana kuwepo utaratibu wa kufungia kumbi za sherehe ambazo zinaongoza kwa kupiga muziki na kusababisha kero ya kelele.

BAADA YA MUDA KIDOGO NANII AKIWA RAISI DAR USAFIRI NI HIVI

NA SWAXBZ LAYIIIIII
Tram 5Nakupeleka moja kwa moja kwenye jiji la Barcelona Spain, ni jiji ambalo mpaka mwaka 2011 lilikua na watu zaidi ya milioni moja na laki sita ndani yake na sasa wanasema kuna zaidi ya watu milioni 5 ambapo ni jiji la pili kwa ukubwa kwenye nchi ya Hispania.
Barca 3Unaambiwa usafiri huu wa Tram ulianza kufanya kazi kwenye mji wa Barcelona toka mwaka 1872 lakini barabara zilizokua

Wednesday, 1 April 2015

KWA WANATECHNOLOGIA SASA ANGALIA JINSI YA KUPLANT NUCLEAR { I MEAN NUCLEAR INSTALLATION}

Pressurized Water Reactors (also known as PWRs) keep water under pressure so that it heats, but does not boil. This heated water is circulated through tubes in steam generators, allowing the water in the steam generators to turn to steam, which then turns the turbine generator. Water from the reactor and the water that is turned into steam are in separate systems and do not mix.
View animated image of a Pressurized Water Reactor
Source: Nuclear Regulatory Commission

amizing houses,SWAXBZ LAYIIII

.Maajabu ya kuvutia.. yani zimetengenezwa nyumba na Hotel kwa ubunifu wa nguvu mtu wangu.
Nyumba za vioo, nyumba za miti.. Ziko nyingi hapa mtu wangu, unaweza kuzicheki

Monday, 30 March 2015

VYUMBA BORA VYA KULALA NA MIPANGILIO YAKE

SWAXBZ KAYIIII

7 amazing comic book hotel rooms

7 amazing comic book hotel rooms
Look at these incredible 7 hotel rooms comics. We will make sure that the images you see then give you eager to travel. Join in and be not with the urge! The world is waiting with open doors!
Surely I will not have the need to tell you, but still, I will: tourism, in short, is one of the most fun things that humans can do. Having the opportunity to meet and marvel at the variety of scenarios that the world makes available, priceless! If you are a person who constantly does, you’ll agree.

HOTEL 9 BORA NA ZA AJABU DUNIANI

NA SWAXBZ LAYIII SWAG BOY
9 strangest Hotels of the worldThese are the 9 most strange hotels in the world.Do not overlook this curious gallery that will teach you that you can stay in unimaginable places! And besides this, it will prompt to travel more, of course.

UKIFANYA SAFARI ZAKO KWA STYLE HII AMINI TU UTASAVE PESA YAKO SANA NA UTAUPA MWILI WAKO MAZOEZI VYA KUTOSHA NA WALA MAGONJWA HUTAYAPATA OVYO OVYO

9 Tips for traveling without moneyDo not stop seeing these 9 tips to travel without money. Do you like extreme experiences? Are you passionate about live new moments? Pay attention to this post!

NI KWA MARA NYINGINE TENA NAKULETEA MZEE MZIMA RICH MAN KUTOKA DUBAI NA BAADHI YA BICHA ZAKE NAMBIE UNAJIFUNZA NINI

33 incredible pictures of rich men in DubaiThese 33 amazing Pictures of rich men in Dubai. They will leave you impressed.
Dubai is an incredible beauty. Dubai is one of the seven emirates that make up the United Arab Emirates. Its strategic location has made it a strong commercial focus, especially with India. Although now Dubai is

HUYU NDIO KIBOKO YAO>>>HAKUNA CHA ZARI, HUDDAH,wema WALA VERA SIDIKA>>>JIONEE mwenyewe




Tuesday, 24 March 2015

Nimeshare na wewe hizi Pichaz kutoka Maisha Club show ya Meninah

4X7A0999
Siku ya juzi March 21 2015 staa wa muziki Bongo, Meninah alifanya party na watu wake wa nguvu hapahapa Dar ambapo party hiyo aliifanya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

kama miundo mbinu tanzania ni mizuri basi swala la mafuriko tanzania tutaweza epuka embu cheki mvua ilivyo fanya kitu mbaya dar jana

Na swaxbz layiiiiiiiii
DSC_4736Kwenye zile zilizoandikwa magazetini na kuchambuliwa kwenye Power Breakfast @CloudsFM leo March 23, iko story ya watu watano kufariki kutokana na mvua iliyonyesha Dar, makundi mbalimbali kuibuka uchaguzi wa Urais 2015 na stori ya albino kulindwa kwa teknolojia ya simu ya mkononi.

Yemi Alade alivyo wapagawisha fans wake italy…

yemi6Yemi Alade yupo Rome italy akiendelea na ziara yake ya kimuziki ambapo akiwa nchini humo alifanya shoo ya aina yake iliyopokewa na mashabiki kwa furaha na mashabiki ambao walifurika kumshuhudia

Wednesday, 18 March 2015

ETI MAREKANI HAKUNA NJAA EMBU ONA WAKAZI WENGI WALIVO JITUMA KUJENGA NYUMBA ZA MAKOPO

NA SWAXBZ LAYIIIIIIIIII SWAG BOY
plastic-bottle-1
HAPA JAMAA ANAJENGA NA ANAPIMA KINOUMA NOUMA
ICHEKI HOUSE NA UKUTA ULIPOFIKIA HAPA

TRUE LOVE: RIHANNA ACCOMPANIES CHRIS BROWN TO COURT HEARING

angazo

Rihanna accompanied her man Chris Brown to his court hearing yesterday Wednesday February 6th. 

Chris Brown's ongoing probation case stems from assaulting Rihanna in 2009. 

Yesterday was his progress report hearing, where he faced allegations that he lied about completing his community

NOUMA SANA DAR ES SALAAM KA MBELEE MANAKE

EWURA na ishu ya umeme kukatika.. Polisi na aliyemzushia kifo mama Maria Nyerere je?

Manzese
Kuna stori ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu

Hii Good news kutoka kwa rapper Fid Q kashea na sisi iko hapa…

.
.
Good news ninayokusogezea ni hii inamuhusu rapper Fareed Kubanda ambaye leo hii amekabidhiwa tuzo ya Champion of the 2015 European year for development in

BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

BONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na faini ya shilingi milioni moja, hapo

kiba kutambulisha style yake ya cheketua

GOOD News ni kwamba, mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’ ameshafuta kiti chake na Aprili 5, mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa

Saturday, 14 March 2015

MAKALIO YAMPAISHA MASOGANGE MAREKANI

Na Hamida Hassan/Ijumaa
Staa  aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio

DIMPO NA WEMA SI SIRI TENA WACHEKI PICHA ZAO HAPA

.
.
Kuna pichaz ambazo ziliweka mastory mengi mtandaoni, walionekana Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wako kitandani, “Sio mara yangu ya kwanza kupiga picha na Wema hata uki-google utaona tuna picha nyingi sana…“, hayo yalikuwa majibu ya kwanza ya Ommy kuhusu picha hizo.
Sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single y

WEMA: MUME WA ZARI ANATAKA KUNIOA

Stori: MUSA MATEJA/Risasi
MAMBO hadharani! Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa, Risasi

Monday, 9 March 2015

KILE ULICHO NGOJA KUTOKA APPLE IKI HAPA

Saa babu kubwa inayo tamba mtaani kwa sasa kutoka kampuni ya apple ni nouma. imetengenezwa kwa madini ya aluminiamu yenye samani ya dola za kimarekani $349
imeanza kuuzwa kwa dola 549 yenye version ndogo mpaka dola 1049  version kubwa nini kikubwa ni kwamba apple edition inayotamba mtaani inauzwa kwa dola 10000 za kimarekani
http://a.abcnews.com/images/Technology/AP_apple_watch_functions_jtm_150309_4x3t_384.jpg nini hasa

MISS TANZANIA ACHANGIA KILO MOJA YA DAMU

MISS TANZANIA NAMBA TATU 2014 AONGOZA WAKAZI WA DAR KATIKA KUCHANGIA DAMU

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya

UKIFUNGWA UTATAMANI UKIMBIE UWANJA UKAJIFICHE JAMANI DAAAH EMBU CHEKI JENEZA LA ...... TAIFA JANA

Ibrahimu Mussa na Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MASHABIKI wa Yanga na Simba jana almanusura wazichape uwanjani, baada ya mashabiki wa Simba, Tawi la Karume kuingia uwanjani na mfano wa

MADAMUUUU WEMA SEPETU NDANI YA STUDIO ZA RADIO 5 ARUSHA

NI NOUMA NDANI YA RADIO 5 ARUSHA YAAANI NI HAPATOSHI A TAWOO CHEKI SNAPE ZAKE HAPA WANGU
SAM_1388
Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party

KWA MAMBO HAYA MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU KWA KWELI DUUU

Mtoto albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.

INACHEKESHA KWELI ETI WEMA NAYE KAWA MBOGO TEHE TEHE

Stori: Imelda Mtema/ijumaawikienda
STAA wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

HEMED NAYE NOUMA PAMBAZUKA NA YALIYOMO MTU WANGU NI SHEIIIDAAA

Hamida Hassan/ijumaawikienda
Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’

MRITHI WA DIAMOND NI SHEEEEEDAAA MCHEKI PEN HAPA

Mwandishi wetu/ijumaawikienda
Live! Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’, baada ya kukaa muda mrefu akiwa ‘singo’ tangu aachane na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kupata mrithi wa msanii huyo aliyetajwa kwa jina moja la Swedi

advertise here