NA SWAXBZ LAYIIII
Kulikuwa na story nyingi kwenye Hekaheka.. kukawa na ugeni wa msanii wa THT, anaitwa Alice akasimulia Hekaheka yake aliyokutana nayo akiwa kwenye show.
Alice anasema siku hiyo alikuwa amevaa
viatu virefu kumbe kiatu kimoja kilikuwa na tatizo kwenye kisigino..
basi wakati anaendelea na show akaona bora aendelee kuimba huku akiwa
amesimama sehemu moja mashabiki walio.
Ishu ikawa pale msanii mwenzake ambaye
alikuwa anaimba nae akamfuata akamshika, kwa bahati mbaya akateleza,
akaanguka.. watu walibaki tu wanashangaa kinachoendelea.
No comments:
Post a Comment