Saturday 18 April 2015

UNAIKUMBUKA HII......... AY NDIYE WAKALA WA GODFATHER WA AFRIKA KUSINI

NA SWAXBZ LAYIIII





Ambwene Yassaya-AY
Ambwene Yassaya-AY
Mkali wa mziki wa kizazi kipya Tanzania Ambwene Yesaya-AY anayetamba kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji Godfather mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini.
AY amesema msanii yeyote wa Afrika Mashariki anayehitaji kufanya video chini ya muongozaji huyo ni lazima apitie kwake kwani yeye ndiye wakala wake hapa Afrika Mashariki.
Alisema… “Huwezi kufanya video na Godfatherni lazima utapita kwangu na utalipa gharama zote kwangu kwani tumeingia deal pamoja.”

No comments:

Post a Comment

advertise here