Monday, 20 April 2015

TOTO RIHANNA LAJIACHIA MJINI HAWAII MAREKANI

Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty (27) 'Rihanna' akitembea akiwa kashika glasi ya juisi  katika fukwe za Hawaii, Marekani  jana Jumapili.

Rihanna akijiachia na marafiki zake katika fukwe hizo. Kushoto ni rafiki yake wa karibu Melissa Forde.
Picha alizoiweka Rihanna katika akaunti yake ya Instagram akijiachia katika fukwe za Hawaii.

No comments:

Post a Comment

advertise here