NI BAADA YA MAJIBU YA DNA YA MTOTO ANAYEDAIWA KUWA NA BABA MWINGINE EMBU FUATILIA HATUA KWA HATUA HAPA
NA swaxbz layiiiii
msanii Nay Wa Mitego
kuwa kwenye maelewano mabaya na mzazi mwenzie na kuamua kumchukua mtoto
wake lakini mama yake alikuja kudai kuwa sio mtoto wake Nay
na kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA ili kujua kama sio baba halali
wa mtoto huyo.. baadae taarifa zikasambaa kuwa yuko kwenye mahusiano na
muigizaji Shamsa Ford.
NA swaxbz layiiiii
Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kupima vipimo vya DNA kwa mtoto wake yametoka.
Diamond ni mtu wa kwanza kuvujisha picha ya kimapenzi ya nay na Shamsa katika ukurasa wake wa Instagarm alipoulizwa akajibu hivi… ‘ila Nay anyway tulikaa sisi na Nay tunazungumza nini kwenye simu yake na Nay
naona sijui nilikua naangalia nini katika simu yake alinigea naangalia
hii katika kupita zangu nakutana na ile picha nikajitumia nikaipost
ndio hivyo tuu basi”…
Akizungumza na Soudy Brown kuhusu ishu hiyo Nay amesema watu wanaongea lakini hakuna ukweli wowote hata Diamond anajua hawako kwenye mahusiano ila tu nimkorofi.
Akizungumzia kipimo cha DNA alichoenda
kufanya na mtoto wake amesema aliamua kufanya hivyo kwa usalama wa mtoto
kutokana na kile kilichotokea ili asije kupata shida badae kipimo
ambacho kilichukua zaidi ya wiki mbili na wakili wake ndi alienda
kuchukua majibu.. amesema alikuwa na wasiwasi kwasababu siku zote mama
ndio anaemjua baba wa mtoto, lakini anamshukuru Mungu yuko wa watoto
wake na yeye ni baba mzuri na hana tatizo na mwanamke yeyote ..ameanza
maisha mapya na watoto wake.
No comments:
Post a Comment