Kuna pichaz ambazo ziliweka mastory mengi mtandaoni, walionekana Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wako kitandani, “Sio mara yangu ya kwanza kupiga picha na Wema hata uki-google utaona tuna picha nyingi sana…“, hayo yalikuwa majibu ya kwanza ya Ommy kuhusu picha hizo.
Sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single y
ake mpya iitwayo ‘Wanjera’ ambayo inatoka leo March 14 2015.
Kwenye cover hizo wako zao Ommy Dimpoz na staa wa Movie, Wema Sepetu.
Ni halali yako kupata kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi KUPITIA SWAXBZ.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment