Wednesday, 18 March 2015

NOUMA SANA DAR ES SALAAM KA MBELEE MANAKE

EWURA na ishu ya umeme kukatika.. Polisi na aliyemzushia kifo mama Maria Nyerere je?

Manzese
Kuna stori ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu
 kuzindua ndege nyepesi kwa ajili ya kupambana na majangili, Polisi Tunduma kupambana na watu wanaotaka kufanya maandamano, Mbunge Zitto Kabwe kuingia Bungeni leo, Jeshi la Polisi na taarifa za mtu aliyemzushia kifo Mama Maria Nyerere na wakazi wa mabondeni Dar kutakiwa kuhama kutokana na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha.
Kuna mazungumzo utayasikia hapa, Ofisa Mawasiliano wa EWURA Titus Kaguo anazungumzia kuhusu ishu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Tz.

 

No comments:

Post a Comment

advertise here