Wazalishaji wa
filamu moja nchini Mexico kuhusu wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini
Marekani wametoa kipande kidogo cha filamu hiyo ambacho kinatumia hotuba
ya bwana Donald Trump kupitisha ujumbe wa filamu hiyo kwamba maneno ni
hatari kama risasi.
Sauti iliowekwa katika filamu hiyo ya
Kihispania, Desierto ,inemuonyesha bwana Trump akiitaka
Kama unafatilia muziki wa kizazi cha
sasa duniani unaweza kuwa umeshakutana nayo lakini kama hujakutana na
hii, nakufahamisha wanaitwa Fifth Harmony na single wamemshirikisha Ty Dolla $ign
na ni moja ya video zinazochezwa sana kwenye TV kubwa za burudani
duniani, kabla ya hapo walipita sana kwenye masikio yetu na hit single
ya ‘worth’ ft. Kid Ink.
HISTORIA KWA UFUPI
Freemason ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya
utafiki kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa
mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za magharibi
pamoja na kuongea na watu waliofuatilia kwa karibu mambo yao.
Kwenye maelezo yao kwa nje Free masons wanajitangaza kama shirika zuri tu.
LAYIII
BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO CHINI KWENDA KUONA UPUUZI WA BAADHI YA WATU WANAVYOFANYA CHUKUA MUDAWAKO PIA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE KISHA MSIKILIZE MTOTO HAPPY KULE
LAYIII
Leo Tunawaletea picha za maeneo ambayo yako katika mvuto wa kipekee..
Maeneo hayo yakiwa yapo yaliyotengenezwa na binadamu enzi za zamani
sana na yapo ambayo kimsingi ni uumbaji wa mwenyezi mungu mwenyewe..
Embu Yatizame nawewe.
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUSKIA SAUTI YA MTOTO HAPPY
Jeshi
la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja Magreth Mosha
mkazi wa Kibaha mkoani Pwani kwa tuhuma ya kupatikana na vipande saba
vya meno ya tembo.
Jeshi
hilo pia linamshikilia Bw. Hamis Balewa mkazi wa kijiji cha Mbasa
wilayani Malinyi kwa kukutwa na nyama ya sheshe kilo ishirini zenye
thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja.
Mchezaji maarufu wa soka duniani
amepeana viatu vyake vya kusakata soka katika mnada wa hisani,bila kujua
kwamba hatua hiyo huenda ikawakera wengine.
Hicho ndio kisanga kilichompata nyota huyo wa Barcelona alipotaka kupeana viatu vyake huko Misri.
Kisa
hicho kinajiri wiki chache baada ya Messi kupongezwa kwa kutimiza ndoto
ya kijana mmoja wa Afghanistan alipomtumia boli na fulana yake.
Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa
kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni
maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza
kubadilisha afya
na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa
na viinilishe vingi na mhimu sana kwa afya ya binadamu ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu ni dawa karibu kwa kila
VIDONDA VYA TUMBO KWA MAMA MJAMZITO
Mwanamke mjamzito anaweza kupata vidonda vya tumbo
kabla au baada ya ujauzito. Hata hivyo tafiti nyingi zinathibitisha
idadi ya wanawake wajawazito wanaopatwa na vidonda vya tumbo kwa sasa ni
ndogo sana.
Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa nini kitakuwa ndiyo chanzo cha vidonda vya tumbo kwake.
Mwanamke ambaye ulikuwa unaumwa vidonda vya tumbo hata kabla ya
kushika ujauzito unaweza kuendelea kutumia baadhi ya dawa rafiki (hasa
zitokanazo na vyakula na mimea) za kutibu au kuzuia dalili za
Fuatana nami katika makala hii ndefu, unaweza kuzima kabisa intaneti yako wakati ukiendelea kusoma. ‘’Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe
umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu
mimi; kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, Mimi nami nitawasahau
watoto wako – Hosea 4: 6’’.
Ukweli Kuhusu UKIMWI
ni maelezo yanayoipinga dhana inayosema ugonjwa wa UKIMWI husababishwa
na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko kadhaa ambayo
yameshaandikwa na wanasayansi wengine
U.T.I ni kifupi cha maneno ya kiingereza: ‘Urinary tract infections’,
ni maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo. Ni moja ya ugonjwa
unaowakumba sana wanawake kwa sehemu kubwa ingawa hata wanaume pia
wanapatwa na ugonjwa huu. Zaidi ya wanawake milioni 8 wanauguwa ugonjwa
huu kila mwaka nchini Marekani peke yake.
Kama ulishawahi kupatwa na U.T.I basi hutazisahau dalili zake ambazo
mara nyingi huanza kwa hitaji la
UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu
wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa
ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija
inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na
urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya
mwili. Kwa kifupu ugonjwa wa UTI hushambulia viungo vinavyohusika katika
Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama.
dyspareunia. Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wa kufanya mapenzi au
baada ya kufanya mapenzi. Sababu kuu za maumivu haya mara nyingi ni
magonjwa ya zinaa na kupungua kwa majimaji ukeni wakati wa ngono.
Ndege ya Egypt Air imelazimika kutua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Larnarca, Cyprus
baada ya Rubani kulazimishwa kufanya hivyo akiwa angani na ni baada ya
mtekaji huyo kumtishia kwamba anaweza kuilipua ndege kama asingefanya
anachoagizwa. Anachokitaka abiria huyu mtekaji alietajwa kuwa Seif Eldin Mustafa ni pamoja na kuachiwa
Wanariadha waliokuwa wanakimbia mbio ndefu za marathon walijipata wamekula sabuni baada ya kudhania kwamba zilikuwa chakula kutokana na kukosa kuelewa lugha ya kiingereza.
Takriban wanariadha 20,000 katika mbio za Qinyuan marathon kusini mwa mkoa wa Guangdong nchini Uchina walipata zawadi mda mfupi baada ya kumaliza mbo hizo katika
March 28 2016 single mpya ya‘Niroge‘ ya mwimbaji Mtanzania Vanessa Mdee umegongwa kama starter kwenye Television ya Ufaransa Trace TV ambayo matangazo yake yamekua yakionekana Afrika, video hii mpya iliwekwa kwenye
Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezewa na golikipa wa zamani wa vilabu vya Simba na YangaJuma Kaseja, mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na tetesi au uvumi uliokuwa unasambazwa mtandaoni kuhusuKaseja.
Mtangazaji wa Radio/TV Sam Misago ameendelea kuachia single zake mpya ikiwa hii ni single yake ya pili toka Watanzania wameanza kumuona kwenye maamuzi yake mapya ya kufanya muziki wa bongofleva anaoufanya kwa ku-rap, ukishaitazama hii video yake
Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki yuko kwenye stage anaimba, akagundua kwamba upande wake wa kulia mmoja wa Walinzi wake hafanyi kazi inavyotakiwa maana kashika simu yake ya mkononi.
Kwa harakaharaka ni zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mara ya mwisho nimetazama video mpya ambayo Amini yuko ndani, ni mwimbaji mwenye miaka yake
Mashabiki wa soka waliokuwa
wamenunua tiketi za mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Chad
ambayo imetibuka watarejeshewa fedha zao.
Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amesema utaratibu unawekwa kuwarejeshea mashabiki pesa zao.
Timu
ya taifa ya Chad ‘Les Sao’ ilijiondoa katika michuano ya kuwania
kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017
nchini Gabon kutokana na matatizo ya kifedha.
LAYIII CAF: Chad yajiondoa mashindanoni na kuicha Tanzania Taifa Stars mashakani
Chad imejiondoa kutoka kwenye
kinyang'anyiro cha kufuzu kwa dimba la mataifa ya Afrika linalotarajiwa
kufanyika mwakani huko Gabon.
Shirikisho la soka la Chad limefikia kauli hiyo kutokana na ukosefu wa fedha.
Katika
barua iliyotumwa kwa shirikisho la soka la Tanzania,mwenyekiti wa
shirikisho la soka la Chad
Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya.
Stori: Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: LICHA ya kutumia nguvu nyingi kukanusha habari
zinazochapishwa na Magazeti Pendwa ya Global Publishers kuwa, amerejea
kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye staa wa Bongo
Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amenaswa ‘laivu’ akiwa ‘ameangusha gari’
kando ya barabara, habari ndiyo hiyo!
Ray C ambaye kila anapoandikwa na
Magazeti ya Global kuhusu kurejea kwenye unga, amekuwa
The church originated in USA and spread very fast in EUROPE, ASIA and
now its found in some of African countries such as Nigeria, Cameroon,
South Africa, the people that pray in this church are very cool and they
believe that they are praying to the real GOD
Hypertension ni nini? Huu ni ugonjwa ambao hugunduliwa pale presha ya damu inapokua juu sana kupita kiwango chake cha kawaida.
Kawaida damu inasukumwa na moyo kwenda sehemu mbalimbali za mwili lakini
nguvu inayotumika kusukuma damu hiyo kutoka moyoni kwenda sehemu zote
za mwili na ile ambayo inakuwepo kwenye mishipa ya damu wakati damu
inapita ndio inaitwa presha ya damu. Hivyo binadamu yeyote lazima awe na
Wema
Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza
kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album
ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka hadi leo.
Mkurugenzi
wa Straight up Vibes Omary Abood (wa kwanza kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyofanyika katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya kumtambulisha rasmi Msanii
Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la
mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika
ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha
wa mwaka mpya.
Dj
rasmi wa msanii Jay Z wa Marekani al maarufu kama “Young Guru”
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla
iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya
kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa
kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold
finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga
karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya. Dj huyo atasimamia
vilivyo kazi yake katika shughuli nzima ya Tamasha
1.PAPARA wanaume
wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali
inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri
mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue
utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka
LAYIII
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE Wagombea wa urais nchini Marekani
kupitia tiketi ya chama cha Republican Ted Crus na Donald Trump
walirushiana cheche za matusi katika mjadala
Wagombeaji wawili wa Urais wa chama cha Republican nchini Marekani wamegombana vikali na kurushiana matusi juu ya wake zao.
Seneta
wa Texas, Ted Cruz, amemlaumu mpinzani wake, mfanyabiashara Donald
Trump kwa kuzusha uvumi kuwa yeye alikuwa mzinifu na kumdanganya mkewe,
Heidi.
Mshambuliaji wa Real Madrid
Cristiano Ronaldo alikosa penalti kwa mara ya pili mfululizo huku timu
yake Portugal ikipoteza nyumbani dhidi ya Bulgaria katika mechi ya
kirafiki.
Marcelinho alifunga bao lake la kwanza na hivyobasi
kuwapatia wageni hao uongozi katika kipindi cha kwanza alipofunga kupita
pasi nzuri.
Portugal ilitawala mechi hiyo lakini mlinzi wa Bulgaria Leiria alikataa katakata kuwapisha washambuliaji wa
LAYIII
BONYEZA PICHA NJOO YOUTUBE KUCHEKI VIDEO KALI
Mwanamuziki Justin Bieber amevunja rekodi ya Vevo kwa video yake kutazamwa mara bilioni 10.
Msanii
huyo wa Canada ambaye alitoa kibao kipya Purpose in Novemba alipata
idadi hiyo katika kipindi cha miaka sita na miezi mitatu au siku 2,316.
Kutazamwa
kwa video zake mara bilioni 4 kulifanyika baada ya Septemba mwaka jana
na mwanamuziki
LAYIII
Msanii Beyonce knowles wa marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "THE CHURCH OF BEY"
bonyeza picha kushuhudia na usiache kujiunga nami youtube bofya picha yoyote
means church of Beeyonce Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother bey"
LAYIII
bonyeza picha kuiona video ya nyani akichezea .............. BONYEZA PICHA YOYOTE
Willow
Smith ameonesha picha ya barua yake aliyomuandikia legend wa music wa
Hip Hop duniani, Tupac Shakur aliyefariki hata kabla ya Willow kuzaliwa
Huku hili likitokea, bado ule uvumi kwamba mama yake na Willow Smith,
Jada Pinket Smith alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Late Tupac Shakur
na kwamba inawezekana waliamua kutengeneza (danganya) mazingira ya kifo
chake na yeye kuhamia Cuba.
Kampuni inayochapisha majarida ya picha za utupu ya Playboy huenda ikauzwa, ripoti nchini Marekani zinasema.
Kampuni
hiyo ya Playboy huenda ikauzwa zaidi ya $500m (£354m), kwa mujibu wa
duru zilizonukuliwa na mashirika ya habari yakiwemo Wall Street Journal
na Financial Times.
Zitto juzi alitangaza kujiuzulu katika Kamati Bunge Huduma za Jamii
aliyokuwa akihudumu kwa madai ya baadhi ya wajumbe kupokea rushwa.
Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa 'Facebook' Mbunge Zitto amesema
kwamba hatua inayochukuliwa na TAKUKURU ni hatua nzuri itakayopelekea
ukweli kujulikana na watakaokutwa na makosa kuchukuliwa hatua stahiki.
LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE Kikosi cha Yanga
Kocha mkuu wa
klabu ya Yanga Hans van der Pluijm, amesema atahakikisha wanafanya
maandalizi mazuri kuweza kuikabili timu ya Al Ahly ya Misri katika
mchezo wa Raundi ya Pili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika .
Yanga
imefuzu hatua hiyo baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-2
kwa mechi
March 23 2016 Taifa Srars ilicheza na Chad katika uwanja wa Idriss MahamatChad, Taifa Stars ikiwa ugenini, ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na nahodha wa timu hiyo Mbwana Samattadakika ya
LAYIII
Rais mpya wa FIFA Gianni Infantino amefungua afisi ya shirikisho la
kandanda la Sudan Kusini katika safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu
achaguliwe rais wa shirikisho hilo la soka duniani mwezi uliopita.
.
Infantino alilakiwa kwa shangwe na vigelegele na wenyeji wake.
Aidha Infantino alitumia ziara hiyo kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
BONYEZA PICHA KUIONA KUONA VIDEO KWA UKUBWA NA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Mastaa kadhaa wa Tanzania walitumia time yao kumuongelea rapper Chidi Benz akiwemo staa wa bongo hiphop Fid Q ambaye alisema Chidi Benz
asisimangwe wala kunyooshewa kidole kwa kutelezea kwenye utumiaji wa
dawa za kulevya bali asaidiwe… ambapo baada ya kuonekana kwenye D’Wikend chat show ya CloudsTV watu
walianza kusambaza picha zake za zamani na muonekano wake wa sasa
akionekana
LAYIII
BONYEZA PICHA KUZAMA KATIKA VIDEO YA UBUYU USIACHE KUSUBSCRIBE YOUTUBE
Mwanadada wema sepetu amzidi kuonesha mapenzi aliyonanyo kwa kijana mkuu
wa WCB – Diamond Platnumz baada ya kuamua kufunguka kwa mara nyingine
tena juu yake kama inavyosomeka katika maneno hayo hapo chini…
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJISAJILI NA MERIDIAN UJISHINDIE MILIONI 10 KILA SIKU
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald
Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea
football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together.
BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald
Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea
football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together.
Dangote, who came in at the 51st position of the 2016 ranking by Forbes
Magazine, is also richer than the
LAYIII Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa
wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili
ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba
ukweli.
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE ILI VIDEO KALI ZA MATUKIO ZISIKUPITE MTU WANGU
Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu.
Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa
wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili
ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba
ukweli.