LAYIII
SHINDANO la kumsaka mlimbwende atakayeuwakilisha Mkoa wa Kilimanjaro kwenye shughuli mbalimbali za Kijamii limezinduliwa mapema leo, ambalo litakuwa na jumla ya washiriki 20 watakaowania taji hilo Julai 24 mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Kili Home Resort.