SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumjibu mwigizaji mwenzake, Jacqueline Wolper Massawe kuwa hajawahi kutaka ‘kiki’ za kijinga wala ugomvi na anachoangalia yeye ni biashara na maisha yanaenda.
Nisha aliliambia Wikienda kuwa ameshangazwa na habari zinazozagaa mitandaoni baada ya yeye kuweka picha za wasanii wanne kisha msanii mwenzake, Wolper kuanza kumrushia maneno wakati yeye aliandaa shoo ya Harmonize (mpenzi wa Wolper) wiki mbili zilizopita na yupo kibiashara zaidi