Friday 27 May 2016

ANG'ATWA UUME NA NYOKA UKO THAILAND

LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha hii kujiunga na BZTV
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/270/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/27/160527075819_thai_python_512x288_ap_nocredit.jpg
Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake.
Attaporn Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo ilikuwa ikimvuta baada ya yeye na mkewe kujaribu kuipiga.
Madaktari wanasema kuwa Bw Attaporn ambaye alipoteza damu nyingi anaendelea vyema na
matibabu.https://www.youtube.com/watch?v=v3D2frsodIk
Wafanyikazi walilazimka kukiharibu choo hicho.Baadaye nyoka huyo aliachiliwa na kuingia msituni.
Kisa hucho kilitokea wakati ambapo Attaporn mwenye umri wa miaka 38 alielekea katika choo chake nyumbani kwake huko Chachoengsao,mashariki mwa Bangkok kabla ya kwenda kazini siku ya Jumatano.
Wakati alipokuwa akitumia choo hicho alihisi uchungu mkali.https://www.youtube.com/watch?v=v3D2frsodIk''Nilihisi kama ambaye uume wangu ulikuwa umekatwa,Nyoka huyo alikuwa akinivuta kwa kutumia nguvu nyingi'',alisema.https://www.youtube.com/watch?v=v3D2frsodIkULIKOSA KUONA JINSI YA KUMLEA MJAMZITO ONA HAPA SASA

No comments:

Post a Comment

advertise here