Tuesday 15 September 2015

HABARI ZA KUSHTUA DJ FETTY ATANGAZA KUACHA KAZI YA UTANGAZAJI

LAYIII
Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment, XXL ya Clouds FM.

September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo, presenter mwingine pia Kenedd the Remedy ameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.
IMG-20150915-WA0002
IMG-20150915-WA0007-1
IMG-20150915-WA0008
UGANDAN-YOUNG-MAN-WITH-OLD-WIFE
Ndani ya Studio ya Clouds FM, hapo yuko Kennedd, Adam Mchomvu, DJ Zero, B Dozen na DJ Fetty.

No comments:

Post a Comment

advertise here