Tuesday, 15 September 2015

AUNT EZEKIEL KAYAZUNGUMZA HAYA KUHUSU KUONDOKA UKAWA KUHAMIA CCM….(AUDIO)

layiii
.
.
Msanii huyo alipokutana na ripota wa millardayo.com alithibitisha na kusema..’Kweli nimetoka Ukawa na kuhamia CCM hayani maamuzi yangu binafsi ambayo nimeyafanya baada ya kukaa na kufikia kwamba Magufuli ndio anafaa kuwa Rais wangu kwasababu ni mtu ambaye anakupa sera ambazo zinaeleweka anakuambia kabisa hapa ni kazi na ukiangalia je ni kwanini anasema ni kazi hakuna mabadiliko yanayotokana na kazi‘ – Aunt Ezekiel
Lazima ufanye kazi ili upate mabadiliko kwa hiyo nimeona ni vema niungana na hawa wanaofanya kazi ii kutetea mabadiliko kuliko kuhitaji mabadiliko bila kufanya kazi naamini huku ambapo nimerudi nitapata mabadiliko yakutosha kupitia kazi nitakazofanya’- Aunt Ezekiel
Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza Aunt Ezekiel



No comments:

Post a Comment

advertise here