LAYIII
Watumiaji wa smartphones wakae tayari
kuipokea hii good news mtu wangu, kuwa na smarthphone ni raha kwa sababu
una uhakika wa kufanya mambo yako mengi sana kwa kupitia simu ya
mkononi tu, ishu ni pale ambapo simu hizo zinamaliza chaji haraka na
kujaa zinachukua muda pia
.
Huenda tukasaidiwa kwa upande mwingine
mtu wangu, yani badala ya kusubiri simu yako kwenye chaji kwa saa mbili
au zaidi ili ijae, tumetangaziwa kwamba mambo yatabadilika any time
kuanzia sasahivi.
Qualcomm Telecommunications Company
ni kampuni ya Kimarekani ambayo inajihusisha na utengenezaji wa
processor za simu, wamesema kwenye matoleo yanayofuatia wana mpango wa
kutengeneza chip zitakazoweza kufanya smartphone ikaingiza chaji 80% kwa
dakika 35 tu !!
Hiki hapa kipande cha Video, jamaa walivyoitangaza Teknolojia hiyo mpyampya mtu wangu !!
No comments:
Post a Comment