LAYIII
Mapacha wawili kutoka kundi la Psquare wamerudi tena kwenye headlines
baada ya kununua nyumba katika moja ya ya majengo huko Atlanta.
Katika jengo hilo Peter, Paul pamoja na meneja wao ambaye ni kaka yao Jude Okoye kila mmoja ana sehemu yake ya kukaa.
No comments:
Post a Comment