Wednesday, 4 May 2016

NICKI MINAJ Kamchagua yupi Kati ya Meek Mill na Drake? Jibu Liko Hapa

Chanzo na udaku specially
SWAXBZ

Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata mawasiliano naye kabisa ili kumfurahisha Meek Mill ambaye ni boy friend wake.
Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015 beef kati ya Meek na Drake lilipoanza. Pia mpaka sasa
Minaj hajaonyesha kuwa anaikubali album ya Drake ya “Views From the 6.” hata kama kaisikiliza.

ulipitwa na wimbo wa adamore video yake hii hapa

No comments:

Post a Comment

advertise here