Saturday, 21 May 2016

MAZUNGUMZO YA AMANI BURUDI KUFANYIKA ARUSHA

LIKE PAGE YETU  FACEBOOK HAPA
Bonyeza picha hii kuiona video ya kenya ya vurugu zilizokuwa zikiendelea
https://www.youtube.com/watch?v=W_4hDe0dH5s
Mazungumzo ya amani kuhusu Burundi yameanza mjini Arusha, Tanzania, baada ya kuahirishwa mara kadha.
Serikali ya Burundi, na baadhi ya viongozi wa upinzani wanahudhuria mazungumzo hayo, ambapo mpatanishi ni rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa.
Lakini kundi kuu la upinzani halikujumuishwa, kwa sababu serikali imesema, haitozungumza na watu, inaowaona kuwa wapiganaji.
Mamia ya watu wameuwawa nchini Burundi, tangu Rais Pierre Nkurunziza kuamua kuania muhula
wa tatu wa uongozi wa nchi.

ULIKOSA KUONA ZIE VURUGU ZIIZO KUWA ZIKIENDEEA HUKO KENYA CHEKI HAPA 

No comments:

Post a Comment

advertise here