Saturday 21 May 2016

BUSU A PENNY IMEACHA MASWALI

LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
https://youtu.be/_2xr9mgpj4s
Busu ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa.

Hayo yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram ndipo wafuasi wa mtandao huo walipoanza kumsema vibaya wakidai anajiabisha kwa
vitendo visivyofaa.
  Alipoulizwa kuhusiana na jambo hilo, Penny alisema: “Hayo ni maneno tu huwa hayani sumbui, lile ni busu la kawaida. Nimembusu kama rafiki lakini nawashangaa hao wanaozua mambo yao na kuzungumza tofauti.”  
ISIKUPITE VIDEO HII

No comments:

Post a Comment

advertise here