LAYIII
BONYEZA PICHA KUZAMA KATIKA VIDEO YA UBUYU USIACHE KUSUBSCRIBE YOUTUBE
Mwanadada wema sepetu amzidi kuonesha mapenzi aliyonanyo kwa kijana mkuu
wa WCB – Diamond Platnumz baada ya kuamua kufunguka kwa mara nyingine
tena juu yake kama inavyosomeka katika maneno hayo hapo chini…
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJISAJILI NA MERIDIAN UJISHINDIE MILIONI 10 KILA SIKU
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald
Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea
football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together.
BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald
Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea
football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together.
Dangote, who came in at the 51st position of the 2016 ranking by Forbes
Magazine, is also richer than the
LAYIII Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa
wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili
ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba
ukweli.
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE ILI VIDEO KALI ZA MATUKIO ZISIKUPITE MTU WANGU
Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu.
Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa
wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili
ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba
ukweli.
LAYIII Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh.
milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa
na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani
Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata,
Wikienda linakupa habari kamili.
BONYEZA PICHA HII JISAJIRI NA USHINDE MILIONI 100 KILA UTAKAPO BASHIRI MECHI
UKIBONYEZA HAPA UTAJIUNGA MOJA KWA MOJA BILA PROMO CODE
unaweza bonyeza icha kujiunga nami youtube
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na familia yake.
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh.
milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa
na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani
Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata,
Wikienda linakupa
LAYIII
Kwa utafiti uliofanyika na swaxbz.com inaonekana kwamba kama shilole ataendelea kutumia swaga zake za uongeaji wa kizungu chake cha kuchekesha chekesha basi itamsaidia sana kumpa kiki na kuufanya mziki wake uendelee kukua.
BONYEZA PICHA UJICHEKEE MWENYEWE KIZUNGU ANACHOTUMIA SHILOLE AKIWA KATIKA MATAMASHA YAKE NDANI NA NJE YA NCHI
show flani amizing aliyowahi kuifanya shilole
Msanii Shilole au Shishi Baby, anatafuta mwalimu wa kumnoa kwenye
lugha ya kingereza, ikiwa ni maandalizi ya kuonana na msanii wa Marekani
Nicki Minaj.
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Shilole amendika tangazo akimtaka
mtu ambaye ni mwalimu wa lugha hiyo kuwasiliana, ili aweze kuanza
mafunzo hayo.
LAYIII Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye
uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye
ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu
na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya
filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi
JE UNAPENDA KUKAA BILA PESA BASI KAMA UNATAKA KUTENGENEZA PESA BONYEZA PICHA HAPA JIUNGE NA MERIDIAN KICHA ANZA KUBET SASA NA UJISHINDIE PESA YA KUTOSHA Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye
uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye
ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu
na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya
filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi.
LAYIII STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia
masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja
wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina
ripoti ya kutisha!
JE UNATAKA KUTENGENEZA PESA UMEKAA BONYEZA PICHA KUBETONLINE NA MERIDIAN MTU WANGU WA NGUVU JISAJIRI SASA
Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao.
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia
masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja
wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina
ripoti ya kutisha!
LAYIII
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI KTK VIDEO HOTS YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE
3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande
awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda
vizuri
BONYEZA PICHA KUSHUDIA AJALI YA MOTO YA KITUO CHA MAFUTA HUKO SUMBAWANGA
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande
awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda
vizuri polisi,Lakini kilisikika kilio kutoka kwa mwizi huyo aliyejitambulisha
kwa jina la alfani akisema” kaka mkubwa afande twende wote sentro kaka
watanimaliza
LAYIII
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds
TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema
bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia
muziki wamemtupa.
BONYEZA PICHA KUONA ILE VIDEO YA VOLCANO ILIYO TOKEA NDANI YA MAJI
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds
TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema
bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia
muziki wamemtupa.
Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika
wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa. “Matatizo yangu na
stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu
LAYIII “Hapa
hakuna mambo ya kufichaficha, kwamba haina noma hata jana nilikuwa
naye. Vitu viko wazi vinaonekana hatuko karibu kama zamani, hilo liko
wazi. Lakini itakapotokea huko mbele mimi sina tatizo kabisa,” amesema. BONYEZA PICHA KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE
Ommy Dimpoz aliwahi kuwa rafiki mkubwa wa Diamond lakini urafiki wao kwa sasa umeonekana kupungua au haupo kabisa.
Hitmaker huyo wa ‘Achia Body’ ametueleza hali ilivyo sasa.
Amesema hana ukaribu sana na Diamond kwa sasa lakini hana tatizo naye.
LAYIII
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu
nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi
maisha mara mbili.
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO NAMI YOUTUBE USIACHE SUBSCRIBE NAMI
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la
kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya
kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.
LAYIII
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi
ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
BONYEZA PICHA HAPO CHINI KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Wiki
kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya
wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
Leo
March 18 2016 inaripotiwa tena Simba mmoja ametoroka kutoka Hifadhi ya
Taifa ya Nairobi nchini
LAYIII
Donald Trump amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania
urais kupitia chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda
mchujo majimbo matatu makubwa, likiwemo jimbo la Florida.
Bilionea huyo kutoka New York ameshinda majimbo ya Illinois na North Carolina.Hata hivyo ameshindwa na John Kasich jimbo la Ohio.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Mgombea
anayeongoza chama cha Democratic Hillary Clinton naye amepanua uongozi
wake kwa kupata ushindi majimbo ya Florida, Ohio, Illinois na North
Carolina.
Marco Rubio, mmoja wa waliotarajiwa kutoa ushindani kwa Trump katika chama cha Republican
amejiondoa baada ya kushindwa na Trump katika jimbo lake la nyumbani la Florida.
LAYIII
Rais wa Tanzania John Magufuli
amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala
ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani. Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana.
MSIKILIZE RAIS MAGUFULI HAPA BONYEZA PICHA
Rais wa Tanzania John Magufuli
amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala
ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani.
Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana.
"Haiwezekani
vijana wawe wanashinda vijiweni wanacheza pool, wakati wazee na akina
mama wapo
Picha iliochorwa ya utupu wa Kim
Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini
Melbourne nchini Australia. Picha hiyo ilichorwa na msanii Lush Sux katika ukuta mmoja wa makaazi ya mji huo. Lakini picha hiyo yenye urefu wa mita 10 ilirushiwa rangi mbali na kuwekewa maandishi machafu yalioandikwa chini yake.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE KUONA VIDEO HOTS
Picha iliochorwa ya utupu wa Kim
Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini
Melbourne nchini Australia. Picha hiyo ilichorwa na msanii Lush Sux katika ukuta mmoja wa makaazi ya mji huo. Lakini picha hiyo yenye urefu wa mita 10 ilirushiwa rangi mbali na kuwekewa maandishi machafu
LAYIII Baada
ya mshindi wa Bongo Star Search, Kayumba Juma kushinda kiasi cha pesa
za kitanzania Milioni 50 bado ameonekana kukaa kwenye kambi ya Mkubwa na
Wanawe. Stori zinazo endelea mtaani juu ya mshindi wa Bongo Star
Search Kayumba Juma ni kuwa toka ashinde shindano hilo na kukabidhiwa
milioni 50, bado anaishi kwa kufadhiliwa katika kituo cha Mkubwa na
Wanawe. BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Kwenye Gazeti la JamboLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 March 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho“Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu” Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa
wa nne na inaeleza kuwa Rais Magufuli amewapunguzia
LAYIII
Source na Bongoswagzz.com Mama
mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura
Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The
Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini
Afrika Kusini ‘Sauz’.
UNATAKA KUONA ILE VIDEO YA DADA ALIYEKUWA AKICHEZA OFISINI BASI BONYEZA PICHA HII CHINI
Mama
mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura
Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The
Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini
Afrika Kusini ‘Sauz’.
LAYIII
Wakati Tanzania magari yanasimama treni ipite spain magari yanasimama ndege ipite mtu wangu. Kuna hatari nyingi sana duniani na hii ni moja ya hizo hatari…..
inanishtua hata mimi kuona kiwanja cha ndege kipo pembeni ya bahari yani
Pilot akikosea kidogo tu inakua stori nyingine, tazama hii video hapa
chini.
PICHA ZOTE NA LINK YA VIDEO ZA VIWANJA VYA MAAJABU NA HATARI DUNIANI
LAYIII
Gari moja la Google linalojiendesha liligonga basi moja mjini California mwezi uliopita.Hakuna mtu aliyejeruhiwa.Sio
mara ya kwanza kwa gari linalojiendesha la kampuni ya Google kuhusika
katika ajali,lakini huenda ni mara ya kwanza kwa magari hayo kufanya
ajali.Kampuni ya Google inataraijiwa kukutana na idara ya magari
mjini California ili kuzungumzia kuhusu kisa hicho na kubaini ni nani wa
kulaumiwa.
Mnamo tarehe 14 mwezi Februari gari hilo ambalo lilikuwa likisafiri
kwa kasi ya kilomita 3 kwa saa liligonga basi moja la umma lililokuwa
likisafiri kwa kasi ya kilomita 24 kwa saa.
Mtu aliyekuwa katika
gari hilo la Google aliripoti kwamba alidhani basi hilo
LAYIIII Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha
ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone
7.1. BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA NAMNA YA KUHACK FACEBOOK
Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo imesema inataka kuangazia
kustawisha “huduma katika mifumo inayotumiwa na watu wengi.”
WhatsApp, itaacha kufanya kazi katika mifumo hiyo ya programu kufikia Desemba 2016.
Licha
ya kuacha kutumika katika simu nyingi za Blackberry, WhatsApp bado
itaendelea kutumiwa katika simu za kisasa zaidi za Blackberry kwa sababu
simu hizo hutumia mfumo wa Android.
LAYIII Afisa
mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya
kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa
miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi. Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba kwa mujibu wa gazeti la kibinafsi nchini humo.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI MATUKIO KWA NJIA YA VIDEO
Rais Mugabe
Afisa
mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya
kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa
miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi.
LAYIII
Usiku wa March 12 2016, Chadema imeweka kumbukumbu mpya ya kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji anayechukua nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa, kwenye kikao cha Baraza kuu la Chadema nimekusogezea sentensi zake na picha baada ya kuupata Ukatibu Mkuu.
BONYEZA PICHA KUSHUDIA VIDEO YA SHANGWE ZA CHADEMA
Usiku wa March 12 2016, Chadema imeweka kumbukumbu mpya ya kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji anayechukua nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa, kwenye kikao cha Baraza kuu la Chadema nimekusogezea sentensi zake na picha baada ya kuupata Ukatibu Mkuu.
Wajumbe wa Baraza kuu Chadema wa pili kulia ni Tundu Lissu.
LAYIII
Leo march 12 2016 Baraza kuu la Chadema linafanya mkutano wa kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Mwanza kwenye vikao vya ndani pamoja na kujadili masuala ya Chama, hapa nimezipata picha za mwanzo kwenye tukio.
kila picha ikiibonyeza iko na link ya tukio BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO KWENDA KWENYE TUKIO HALISI
Leo march 12 2016 Baraza kuu la Chadema linafanya mkutano wa kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Mwanza kwenye vikao vya ndani pamoja na kujadili masuala ya Chama,
LAYIII March 12 2016 naanza
kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya
Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea
mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook@swaxbz, twitter@swaxbz na
instagram@emmanuely_1 ili niwe nakutumia kila
March 12 2016 naanza
kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya
Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea
mtu wangu.. usiache kukaa karibu
LAYIII
Katika hali ya kustukiza eneo la makutano filling station kasesya/kasanga road manispaa ya sumbawanga kumetokea mlipuko wa gali kubwa aina ya scania. kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba utingo wa scania ulipokwenda kurekebishwa ndipo moto ulipotokea kuanzia kwenye betrii
tizama na ubonyeze picha kuitazama video ya tukio nzima mtu wangu
LAYIII
Mkutano wa kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF
ambayo imekuwa ikikutana mjini Monaco imetangaza kuwa Kenya na Ukraine
ni miongoni mwa nchi ambazo zimewekwa katika orodha ya mataifa ambayo
yanachunguzwa kwa kina na shirikisho hilo kuhusiana na matumizi ya dawa
za kusisimua misuli michezoni.
Mataifa mengine ni pamoja na Ethiopia, Morocco, na Belarus
Kwenye
kikao na waandishi wa habari, afisa mkuu wa shirikisho hio anayehusika
na maadili amesema kuwa, mataifa hayo yamepewa muda kuunda kamati
maalum, ili kudhibiti matumizi ya dawa hizo michezo.
LAYIII
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 11 2016 usijaliwww.swaxbz.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.Habari kutoka Clouds TV… Kesi ya Tembo Yaahirishwa Mahakama ya kisutu Jijini Dar es salaam imeharisha kesi ya wachina wawili walikamatwa na Meno ya Tembo
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 11 2016 usijali www.swaxbz.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka Clouds TV… Kesi ya Tembo Yaahirishwa
Msanii
Jux ambaye kwa sasa yupo kimahusiano na Vanessa Mdee, amefunguka na
kuweka wazi sakata ambalo lilimkuta mpenzi wake wa zamani anayefahamika
kama Jackie Cliff na mahusiano yake na model huyo.
Kupitia
kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV Jux alikiri wazi kuwa alikuwa
akitoka kimapenzi na Jackie Cliff na kusema alikuwa anampenda sana licha
ya bidada huyo kumzidi umri.
LAYIII
USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA
Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’
Stori: Sifael Paul, Ijumaa
Dar es Salaam: Mjini hakukaliki! Mkakati
wa Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ wa kupambana na biashara haramu
ya dawa za kulevya ‘unga’ hapa nchini, umeiva ambapo uchunguzi wa gazeti
hili umebaini kwamba unawatumia baadhi ya mastaa Bongo kuwakamata
vigogo wanaojihusisha na biashara hiyo.
LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NA JMETTY KUIONA VIDEO YAKE
Mwanasiasa mkongwe Moses Wetang’ula Senator wa kaunti ya Bungoma, ambaye
pia ni Waziri wa zamani wa mambo ya nje na Waziri wa zamani wa Biashara
nchini Kenya. Jumapili ya tar.6 March (siku mbili kabla ya kuadhimisha
siku ya wanawake duniani) alipewa kipigo kikali na mke wake An Wacheke
Ngugi hali iliyopelekea kukimbizwa hospitali kwa matibabu kabla hajaenda
kuripoti Polisi ambapo alikuta mkewe ameshamtangulia kuripoti. Yani mke
alimpiga mume kisha akawahi Polisi kusema amepigwa.
Asubuhi ya March 9 taarifa za ajali kutokea maeneo ya Tabata Dar Es Salaam zilisambaa katika sehemu mbalimbali hususani, katika mitandao ya kijamii. Tabata ilitokea ajali iliyokuwa inahusisha basi la abiria aina ya DCM, tipa la mchanga na Lori la ng’ombe.
Moja ya
taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya
habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya
magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na
gari lingine lililokuwa limebeba mchanga kugongana katika eneo la
Tabata, Dar es salaam.
Hadi sasa
hakujawa na uhakika wa taarifa za uhakika
Maalim Seif Alazwa Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam
BONYEZA PICHA HAPO
Siku
tatu baada ya kutoka India alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu,
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad jana
alilazwa katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, Nassoro Mazrui amesema kuwa chanzo cha
Maalim Seif kulazwa katika hospitali hiyo jana asubuhi ni uchovu wa
safari yake ya India ambayo alienda kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa
mgongo.
Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na rapa maarufu wa Marekani, Kanye West.
Stori: Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kutoka Tandale hadi
Marekani! Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
melidokezea Ijumaa Wikienda kilichojiri kwa takriban dakika 20
alipokutana uso kwa uso na rapa kubwa duniani wa Marekani, Kanye West.
UWANJA WA NDEGE LOS ANGELES
Diamond alikutana na Kanye West kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles wa LAX nchini Marekani
wakati akisubiri ndege kuelekea Las Vegas kwa ajili ya shoo na kazi zake
za kimuziki.
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani
wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri ya jiji kutaka kujua tarehe
ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza… ’Hatutaomba
tena kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam, tutadai
Mach 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka TanzaniaAlikiba alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wasanii wa Filamu TanzaniaElizabeth Michaelna Single Mtambalikewamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu)amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili
Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi
mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce
wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce,
LAYIII
Bonyeza picha hii kuingia youtube uone kilichojili
Usiku wa March 2 kuamkia March 3 jina la mkali kutoka Bongoflevani Belle 9 lilirudi kwenye headlines baada ya kuonekana kwa post katika mtandao wa Instagram inamdis Diamond Platnumz lakini baadae inadaiwa kufutwa na account ya msaani huyo kufanyiwa mabadiliko ya jina.
Baada ya muda stori zilianza kuzagaa mitandaoni kuwa post hiyo sio ya kweli huku
Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani
kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es
salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam
ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote
Wakati baadhi ya wabunge wa upinzani wakishikiliwa na polisi ama
kutafutwa kutokana na chaguzi kile kinachoelezwa ni vurugu kwenye
chaguzi za Meya na wenyeviti wa halmashauri zinazoendelea, wale
waliotolewa Bungeni kwa nguvu Januari 27, wote wametakiwa kufika Dar es
Salaam wahojiwe.
Mpaka sasa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, anashikiliwa na polisi kwa
kile kilichoelezwa ni vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Meya wa
Dar es Salaam kuahirishwa Februari 27, mwaka huu.
Mbali na Mdee ambaye jana ilidaiwa kuwa polisi walifanya ukaguzi
nyumbani kwake pamoja na ofisini kwake huku kile wanachokitafuta kikiwa
hakijulikani, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) na wa Ubungo,
Saed Kubenea, pia inadaiwa wanatafuwa kwa sababu ya vurugu hizo.