Friday 11 March 2016

UMEPITWA NA TAARIFA YA HABARI LEO 10/03/2016 NIMEKUSOGEZEA HABARI KUBWA HAPA

LAYIII
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 11 2016 usijali www.swaxbz.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.Habari kutoka Clouds TVKesi ya Tembo Yaahirishwa Mahakama ya kisutu Jijini Dar es salaam imeharisha kesi ya wachina wawili walikamatwa na Meno ya Tembo
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 11 2016 usijali www.swaxbz.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.
Habari kutoka Clouds TVKesi ya Tembo Yaahirishwa

Mahakama ya kisutu Jijini Dar es salaam imeharisha kesi ya wachina wawili walikamatwa na Meno ya Tembo
20160311_193639(0)
Habari kutoka Clouds TV...China Yaisaidia Red Cross
Serikali ya China imetoa msaada wa vifaa mbalimbali, kwa chama cha msalaba mwekundu nchini ili isaidie kukabiliana na majanga.
20160311_193801
Habari kutoka Channel 10 Ushirikiano Tanzania na Vietnam
kwasasa tunaagiza mafuta ya kula kwa zaidi ya asilimia 80 na eneo ilo lina fursa kubwa na sio tu kwa kujitosheleza lakini tutakavyojitosheleza tutakuwa tumetoa ajira kwa wale watu wanaozalisha, na eneo lingine ambalo lina upungufu ni la sukari kama unavyojua tunaagiza sukari kutoka njeWaziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba20160311_190642
Habari kutoka ITVUchaguzi wa Marudio Zanzibar
Karatasi za kura uchaguzi wa marudio za wasili Zanzibar, ‘Inaonekana wazi kuwa uchaguzi bado upo na utafanyika tarehe iliyopangwa tarehe 20 mwezi wa 3 na mazingira yanaonyesha vifaa havijachelewa na tuna uhakika vifaa vitafika kila mahali’ Mwakilishi20160311_200204
Habari kutoka Star TVUshirikiano-Vietnam
Waziri Mkuu wa Vietnam ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano iliyouonesha katika  kipindi cha ziara Rais wa taifa hilo,
Tumekubaliana ya kwamba katika miaka mitano ijayo biashara iongezeke mpaka kufikia dola bilioni moja ifikapo mwaka 2020 , tumekubaliana pia uwekezaji kutoka Vietnam uongezeke pia katika nyanja mbalimbali‘>>>Agustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje.20160311_200837
Mtu wangu wa nguvu pia nimekuwekea Vichwa vya Habari kutoka TV za Tanzania March 11 hapa chini…
Kichwa vya Habari kutoka Azam TWO CUF Yasusia Mafunzo ya Uchaguzi20160311_201957(0)
Kichwa vya Habari kutoka Channel 10Hali ya Maalim Seif Yaendeklea Vizuri20160311_192311
Kichwa vya Habari kutoka Channel 10Waliofukiwa Geita Wapelekwa Bugando20160311_191438

No comments:

Post a Comment

advertise here