Tuesday, 15 March 2016

UNAJUA MILIONI 50 ALIZOSHINDA KAYUMBA HUKO BONGO STAR SEARCH ZILITUMIKAJE BASI JIUNGE NAMI HAPA

LAYIII
Baada ya mshindi wa Bongo Star Search, Kayumba Juma kushinda kiasi cha pesa za kitanzania Milioni 50 bado ameonekana kukaa kwenye kambi ya Mkubwa na Wanawe.
Stori zinazo endelea mtaani juu ya mshindi wa Bongo Star Search Kayumba Juma ni kuwa toka ashinde shindano hilo na kukabidhiwa milioni 50, bado anaishi kwa kufadhiliwa katika kituo cha Mkubwa na Wanawe.

BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE

E-newz ikataka kufahamu ukweli kuhusu unafuu wa maisha alioupata Kayumba baada ya ushindi wa milioni 50 na kwanini ameshindwa kupanga nyumba au kujenga.

Kayumba amejibu “Nimenunua kiwanja Mbagala na nipo kwenye ujenzi na muda si mrefu nitatoka katika kituo cha Mkubwa na Wanawe na nitawaonesha watu nyumba yangu ili waone kama sijachezea pesa nilizo shinda kama watu wengi wanavyodhani”.
 
No comments:

Post a Comment

advertise here