LAYIII
MTANZANIA
MTANZANIA
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC,
imesema haina mpango wa kurudia uandikishaji wapigakura katika maeneo
waliyopita kwani inaamini kazi hiyo imefanywa kwa ufanisi wa hali ya
juu.
Pamoja na hali hiyo NEC imewaonya
wanasiasa kutoingilia kazi yao kwa sababu wanaifanya kwa mujibu wa
sharia za nchi, na hawapo kwa ajili ya kumwonea mtu bali kuandikisha na
kusimamia haki za wapigakura.
#MAGAZATENI JUNE 24…Mama ajifungulia bafuni, Mawaziri 7 wasusia bajeti Z’bar na maandamano yazuka Arusha kupinga BVR

kusimamia haki