WAZIRI
Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Manispaa ya Kigamboni
kuhakikisha unasimamia ujenzi wa kisasa na kutenga maeneo maalumu ya
wazi katika manispaa hiyo, ili kuepusha makosa ya ujenzi holela
yaliyofanyika katika maeneo mengine jijini Dar es Salaam.
Pamoja
na hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa amesema manispaa
hiyo mpya kwa sasa inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa majisafi na
salama na wakazi wake wanatumia maji ya visima pekee ambayo si safi na
salama.
Rais Barack Obama amewahimiza
wanachama wa chama cha Democratic kupigania sheria yake ya bima ya afya
ambayo utawala wa Donald Trump umeahidi utaibatilisha upesi baada ya
kuingia madarakani.
Kwenye mkutano wa faraghani wa saa mbili, Bw
Obama aliwahimiza wabunge wa chama hicho kuitetea sheria hiyo, huku
wanachama wa Republican nao wakichukua hatua kufuta sheria hiyo.
Tottenham imefutilia mbali ndoto ya
Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kwa kushinda
michezo 14 baada ya vinara hao kuchakazwa 2-0 White Hart Lane.
Spurs
wamekwaa mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya Dele Alli
kufunga magoli yote mawili kwa njia ya kichwa hii ikiwa ni mwishoni mwa
kipindi cha kwanza na dakika ya 54.
BONEZA PICHA KUONA VIDEO USIACHE KUSUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU YOUTUBE ILI YAKUFIKIE MAZURI KILA SIKU MTU WANGU
PLAY VIDEO HAPO CHINI USIACHE KUSUBSCRIBE KTK CHANNEL YETU YOUTUBE
Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa
sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa
kile alichokibeba tumboni.
Hakuna ubishi kuwa mama anapokuwa katika hali hii hupenda kuishi maisha
yasiyo na bughudha ama rabsha. Pamoja na kuwa watu wengi hukubaliana na
changamoto zinazowapata wanawake
Familia moja jijini Arusha inadaiwa kumzika kwa siri mtoto wao mdogo wa
kike wa miaka mitatu katika kaburi lililofichwa, huku majirani
wakidanganywa kuwa binti huyo yupo hai.
Taarifa za kisa hicho cha kusikitisha zimevifikia vyombo vya usalama.
Kwa sasa kuna mipango ya kuhakikisha kuwa mwili wa binti huyo, Nuru
Losipha aliyezikwa kwa siri na familia yake,
Arsenal imeambulia alama moja nyumbani kwa Bournemouth baada ya kutoka nyuma kwa magoli 3-0.
Ilikuwa
nii kama kutimiza lengo kwa the Gunners baada ya kufunga magoli matatu
ndani ya dakika 20, kabla ya hapo Bournemouth ambao walikuwa wenyeji
walikuwa wakiongoza kwa magoli 3-0.
Alexis Sanches alianza
kuiandikia bao la kwanza Arsenal dakika ya 70 kabla ya Lucas Perez
BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE MTU WANGU
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei mpya za Petrol, Diesel na mafuta ya Taa zinazoanza kutumika leo Jumatano huku bei ya mafuta ya Taa na Diesel ikiwa imeshuka kwa wastani wa shilingi 66 kwa lita.
⏩BY@lemutuz_nation - Wiki hii the National Debate is MADAWA YA KULEVYA
kama ulivyo ushoga it is another very sensitive Subject niliwahi huko
nyuma kusema kwamba binafsi ninalifahamu sana hili la Drugs kwa sababu
nimewahi kuishi at the Source of it New York City nilichokiona kwa macho
yangu ni kwamba once binadam akishajikita kwenye kuyatumia madawa ya
kulevya huwa anafikia kutumia Cocaine kwa njia ya kujidunga Sindano that
is the end of story ni almost impossible kwa yule binadamu kuja ku
recover...I am just being realistic na sio kumkatisha anybody tamaa
mfumo wa Ubepari Capitalism una tabia moja ya kuheshimu walioshinda tu
lakini hauna nafasi kwa walioshindwa tunawahitaji sana Investors like
kutoka USA but tatizo ni kwamba wanapokuja kuwekeza wanakuja na
utamaduni wao pia au the American Culture ambayo inapokuja
Tatizo hili huwasumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na baadhi ya wanawake ambao tayari wameshafikia ukomo wa kuzaa.
Kwa mwanamke aliyekwishafunga kupata hedhi kuendelea kupata damu ya
hedhi au kutokwa na damu ukeni bila ya mpangilio siyo hali ya kawaida.
Lori la mafuta limelipuka nje ya mji wa Nivasha nchini Kenya usiku wa Jumamosi December 10 2016 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40.
Taarifa iliyotolewa mapema leo December 11 2016 asubuhi na msemaji wa idara ya taifa ya mambo ya dharura nchini Kenya Pius Masai amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kwamba magari zaidi ya 11 yameteketezwa kwa moto katika barabara ya Nairobi-Naivasha.
Mkali wa ‘Aje’, Ali Kiba jana aling’ara zaidi katika tuzo za EATV 2016
zinazoandaliwa na kituo cha runinga cha East Africa zilizotolewa katika
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Nape Nnauye huku msema chochote akiwa mtangazaji wa zamani wa
kituo hicho, Salama Jabir.
Hapana shaka hata kidogo mziki wa Bongefleva umepanda chati kwa kasi
sana kimataifa hasa barani afrika na wanamuziki wake wamekuwa na
ushawishi mkubwa katika kiwanda cha muziki ndani na nje ya nchi..
Mpaka mziki huu umefanikiwa kufika hapo imekuwa ni safari iliyojaa
milima na mabonde! Kuna
Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha
kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli
kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu haitolewi
ipasavyo.
Ipo zana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo
ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa
wakati gani. Lakini cha kushangaza zaidi hata watu wazima ambao ni wadau
wa mapenzi hawayajui, matokeo yake wanajiingiza kwenye uhusiano wakiwa
bumbumbu na hivyo kuteshwa na changamoto zinazowakabili.
Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza
pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa na eDaily
kupitia ripota Brian Okoth ambayo imewataja wasanii watano kutoka Afrika
wanaotajwa kuingiza pesa nyingi zaidi mwaka 2016.
Related imageMtanzania Diamond Platnumz huenda akawa msanii
anayezungumzwa au kutajwa sana kwasasa barani Afrika kutokana na
headlines anazotengeneza kila siku, mikataba yake na
Mawaziri wa utafiti kutoka bara
Ulaya wanaokutana mjini Lucerne, Uswizi wamesisitiza kwamba mpango wa
kutuma chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya Mars mwaka
2021 bado utaendelea.
Wameahidi kutoa jumla ya euro €436m ambazo zinahitajika kufanikisha mpango huo.
Mradi
huo umechelewa kiasi na unagharimu pesa zaidi kuliko ilivyotarajiwa,
jambo lililoibua wasiwasi kwamba mataifa wanachama wa Shirika la Anga za
Juu la Ulaya (ESA) huenda wakaufuta
Liwali ambaye hakuwa kazini
alifariki baada ya gari lake kutumbukia kwenye shimo lililojaa maji,
ambalo lilizuka ghafla katika eneo la San Antonio, jimbo la Texas
nchini Marekani.
Maafisa wanasema Dora Linda Nishihara, 69, ambaye
ni naibu liwali aliyekuwa anahudumu kama afisa wa kutekeleza maagizo ya
mahakama, alifariki baada ya gari lake kutumbukia kwenye shimo
Baada ya kufariki uwanjani kwa mshambuliaji wa timu ya Mbao FC Ismail
Khalfan siku ya Jumapili ya December 4, leo December 6 2016 imetoka
ripoti ya kilichosababisha kifo cha mchezaji huyo wakati wa mchezo kati
ya Mbao FC dhidi ya Mwadui FC.
Taarifa zilizoripotiwa na BBC leo December 5 2016 kuhusiana na nchi ya Kenya
ni kuwa madaktari na wauguzi wa nchi hiyo wameanza mgomo wa kitaifa
ikiwa kama sehemu ya kuishinikiza serikali kutimiza mahitaji yao.
Nyota wa filamu nchini ambaye siku za karibuni amekuwa akihaha na
ujauzito alionaonao bila kumuweka wazi muhusika, amekanusha kuwa
ujauzito huo ni wa msanii Baraka The Prince.
Nisha Baby amefunguka kuhusiana na hilo akiwa katika kipindi cha FNL cha
EATV, na kusema kuwa endapo ujauzito huo ungekuwa wa Baraka kama
inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema sana kwa kuwa Baraka
ni miongoni mwa wanaume asiowapenda kabisa duniani.
Msanii wa hip hop nchini Paka Rapa (Young Dee) amesema hatumii dawa
zozote za kukuza misuli yake na mwili wake bali anafanya mazoezi kila
siku na bado hajafikia katika kiwango ambacho anataka kufikia.
Hata hivyo akiongea kupitia eNewz, Young Dee amesema anazingatia
chakula, muda wa mazoezi na
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO mwaka 2010 takribani watu 223,000 walfariki dunia kutokana na kansa ya mapafu.
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO
10. LAHORE, PAKISTAN
Lahore nchini pakistan ndo mji uonaonekana kuwaumesheheni watu wengi ukiwa na wastani wa 200 mcg/m3na ukionekana ndo mji unaoongoza kwa uchafu duniani kulingana na tak
Jose Mourinho ametetea uamuzi wake
wa kumuingiza uwanjani kiungo wa kati Marouane Fellaini kama nguvu mpya
wakati wa mechi ambayo Manchester United walitoka sare na Everton
Jumapili.
Fellaini alisababisha penalti muda mfupi baada yake
kuingia dakika ya 85, na kuwawezesha Everton kusawazisha na mambo yakawa
1-1.
BEI ya simenti imeanza kupanda katika baadhi ya maeneo nchini, imefahamika.
Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA unaonyesha kuwa bei hiyo imepanda
zikiwa ni siku chache baada ya kiwanda cha simenti cha Dangote kilichoko
mkoani Mtwara, kusimamisha uzalishaji kutokana na gharama kubwa ya
uzalishaji.
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini
(CHADEMA) Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili
wamtuhumiwa huyo walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya
siku10 kabla ya kukata rufaa.
Timu ya Dar es Salaam Young Africans leo December 1 2016 imetangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu, kiungo huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.
Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia, kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justine Zulu ataungana na kocha wake wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni
Justin Bieber amekuwa
mbali na mtandao wa Instagram tangu mwezi August 2016 ambapo alijiondoa
rasmi kwenye mtandao huo hali ambayo imesababisha mashabiki wake kumiss
kumuona kwenye mtandao huo ambao unamuwezesha mtumiaji kutuma picha
pamoja na video.
Akiwa kwenye show yake London aliuliza
mashabiki “nani angependa nirudi Instagram?
Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel
Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637
dhidi ya maisha yake ni zipi?
Shirika la kijasusi nchini Marekani
CIA na watu waliotoroka Cuba wakati wa uongozi wa Castro walitumia nusu
ya karne moja kufanya njama za kumuua kiongozi ambaye taifa lake lina
athari
November 30 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete waliungana na baadhi ya watanzania katika kutoa salamu zao za mwisho kwa aliyekuwa baba mzazi wa Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda mzee Xavery Pindaaliyepelekwa mkoani Katavi kwa ajili
Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland.
Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi huyo wa kibrazil
akiwa chini huku wakiwa na shauku ya kutaka kujua itachukua muda gani
nyota wao kurejea tena kwenye pitch.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli,
amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Raul Castro
kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Mhe. Fidel Castro kilichotokea
tarehe 25 Novemba, 2016. Katika Salamu hizo Rais Magufuli amesema;
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Cuba Mhe. Fidel Castro. Kwa niaba ya Serikali, Wananchi wa
Tanzania na kwa niaba yangu mwenyewe natoa pole nyingi kwako, familia,
Serikali ya Cuba na wananchi wa Cuba kwa kumpoteza mtu muhimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema
kuwa Jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo litabomolewa wakati
wowote kuanzia sasa ili kupisha ujenzi wa Ubungo Interchange yenye
ghorofa 2 mpaka 3 hali itakayopunguza msongamano wa magari kwenye eneo
hilo.
Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa
Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic
watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya kuwashawishi
wajumbe wengine kutomwidhinisha Rais huyo mteule.
Wajumbe hao ambao majina yao yalitangazwa jana wanaamini kuwa iwapo
watafanikiwa kuwashawishi wenzao wengine 37 kutoka Chama cha Republican
basi watakuwa wamefanikiwa
STAA wa Bongo fleva hapa nchini, Ommy Dimpoz anayetamba na ngoma yake ya
‘Kajiandae’, amefungukia bifu lake na msanii mwenzake, Diamond
Platinumz kuwa chanzo cha ugomvi wao ni Miss Tanzania wa mwaka 2006,
Wema Sepetu ‘Madam’.
Akizungumza leo Novemba 24, 206 wakati wa mahojiano kwenye kipindi cha
XXL cha Clouds FM, Dimpoz amesema mwanzoni walikuwa na urafiki mzuri na
Diamond na walikuwa wakishirikiana mambo mengi kuhusu muziki wao, lakini
baadaye hali ilikuwa tofauti baada, Diamond akaanza kumpoteza na
kukwepa kufanya naye baadhi ya mambo kwa pamoja.
Dimpoz amesema hayo baada ya Diamond kusema mambo kadhaa kuhusu yeye
wakati akifanya mahojiano jana kwenye kipindi hicho cha XXL.
Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili jana kwa mara ya kwanza
wamefanya upasuaji kwa kutumia darubini (microvascular surgery) wa
kuhamisha misuli na mishipa ya damu kutoka kwenye mguu kwenda sehemu
nyingine chini ya mguu (free gracilis muscle transfer).
Upasuaji huu wa aina yake na ambao mara nyingi huchukua muda wa saa sita
hadi saba una lengo la kujenga uwezo kwa watalaamu wa ndani ili
waendelee kutoa huduma za ubingwa wa hali ya juu kwa Watanzania wengi
zaidi na vilevile kupunguza kasi ya kupeleka wagonjwa nje.
Katika interview ndefu aliyofanyiwa Alhamis hii kwenye kipindi cha XXL
kupitia Clouds FM, Ommy Dimpoz amefunguka kwa kina visa na mkasa
vilivyopelekea akosane na swahiba wake wa zamani, Diamond Platnumz.
Ommy amelazimika kusimulia hayo baada ya Jumatano kupitia kipindi hicho
hicho, Diamond kuelezea uhusiano wao na jitihada ambazo Ommy amewahi
kuzifanya ili kuomba wayamalize.
Shirikisho la soka barani Africa (Caf) limetoa orodha ya majina ya
wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016, jina la
mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta halipo katika
orodha ya wachezaji hao waliofanikiwa kuingia tano bora.
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza kuwa lebo
yake imeingia partnership na lebo kubwa ya Muziki Duniani inayojulikana
Kama Universal Music, Lebo hiyo
Baada
ya kukaa kimya kwa muda kidogo, mwimbaji star kutoka lebel yenye mastaa
wakali sana Tanzania, WCB, Richard a.k.a Rich Mavoko a.k.a Tajiri wa
Vocals amekutana kwa mara ya kwanza kwenye collabo na Diamond Platnumz,
ndani ya brand new joint “Kokoro”.
Kutoka
ndani ya XXL leo November 22, 2016 U Heard imekuja na stori kuhusu
picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha watoto wa
mastaa wa Bongo Flava, Diamond Platnumz na Alikiba huku ikiwa imeandikwa
(Natamani mkikua mje kuoana ili baba zenu wapatane).
Kwa mujibu
wa Soudy Brown baada ya kuzagaa kwa picha hiyo, kuna tajiri fulani
jijini Dar es
Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu
aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi
kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa
picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa
ni mkubwa.
BONYEZA PICHA HAPA KUIONA VIDEO AKIWA DUBAI LIKE COMMENT VIDEO YA JUX NA VANESSA MDEE BOFYA PICHA HAPO CHINI
Jana Asubuhi iliandikwa Habari iliyokuwa imechapishwa kwenye gazeti la
Tanzania la kila siku ‘Mtanzania’ ambapo kichwa cha habari cha taarifa
hiyo kilikuwa kikisomeka ‘Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete azuiwa kusafiri
nje ya nchi uwanja wa ndege Dar es Salaam.’
Katika habari hiyo, gazeti hilo liliandika kuwa kutokana na taarifa
lililozipokea ni kuwa Rais Mstaafu
ALIYEWAHI kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya Yanga, Isaac Shekiondo ‘Clinton’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Taarifa ya familia imesema kwamba, marehemu amefariki baada ya kuugua
kwa muda na msiba upo nyumbani kwake, Ilala Mchikichini Kota.
Shekiondo alikuwa Makamu Mwenyekiti katika Kamati ya Muda ya Yanga chini
ya Mwenyekiti, Tarimba Abbas ‘Thabo Mbeki’ na enzi zake anakumbukwa
kutokana na ukarimu wake na uwajibikaji mzuri.
Pre mature ejaculation ni nini?
Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo
la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake.
Tatizo hili limekua likiwapata wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za
wenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea kabisa baada ya hali hii
kutokea.
Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nne mpaka nane kabla ya
kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa
mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja.
Waziri wa muda mrefu na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira
amewajibu wanaodai kwamba amelazimika kustaafu siasa baada ya mpinzani
wake, Ester Bulaya kuwashinda wapigakura wanne waliokuwa wakipinga
ushindi wake wa ubunge wa Bunda Mjini na kusema hajastaafu na uzee
haumzuii mtu kudai haki yake.
Upelelezi wa kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion
anayetuhumiwa kumsababishia upofu wa kudumu Saidi Mrisho umekamilika na
hatimaye shauri hilo litasomwa Novemba 30 mwaka huu katika mahakama ya
manispaa ya Ilala.
Njwete anatarajiwa kusomewa mashtaka yake baada ya yale ya kwanza
kufutwa ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kusikilizwa baada ya
kufunguliwa mashtaka mapya.
Huyu ndiye Scropion, kijana aliyejizolea umaarufu ambapo watu wengi
hupenda kumshuhudia kila aingiapo na kutoka mahakamani huku kila mmoja
akizungumza lake kwa kesi inayomkabili.
Alipoingia mahakamani leo, aliomba ufafanuzi wa wazi juu ya mashtaka
yanayomkabili ambapo upande wa jamhuri kupitia kwa wakili wake Chesensi
Gavyole walisema ushahidi umekamilika.
Kutokana na kuombwa ufafanuzi, Hakimu anayesimamia kesi hiyo Flora Haule
amesema baada ya upelelezi huo kukamilika kesi hiyo itasomwa Novemba 30
mwaka huu, hivyo mshtakiwa atapata ufafanuzi wa mashtaka yake .
Ikumbukwe kwamba Oktoba 19 mwaka huu, Salum Njwete maarufu kama Scropion
alifutiwa kesi na kisha kusomewa upya mashtaka yake kutokana na uamuzi
wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliyeomba kufanya hivyo baada ya hati ya
awali kuwa na mapungufu ya kisheria
VIDEO DAKIKA TANO KOFFI OLOMIDE ALIVYOMPIGA DANSA WAKE
Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu
Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana
kuambiwa umemfikisha mtoto wa kike kwani ni jambo la kishujaa kama
trumph uchaguzi us