LIKE PAGE YETU HAPA
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote
duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi
kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.
“Mimi nimeshaapprochiwa na makampuni mengi sana kutaka kunisaini, mengi sana, mengi hata wanayoyasikia, mengine wanayasikia,” Diamond ameiambia 255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.
“Lakini nafikiria kwamba unapotaka kunisaini mimi unataka kunifanyia nini? Una kitu gani cha kunioffer cha kuona mimi unisaini? Video? Mimi naweza kufanya video zangu hadi za wasanii