Saturday 14 May 2016

YANGA IMEKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA ......

Usipite bila kulike page yetu hapa FACEBOOK kama unapendezwa na habari zetu
bonyeza picha hii hakika hutapitwa na habari yoyote kwa njia ya video kama utasubscribe nasi youtube
https://www.youtube.com/watch?v=mcgVq69bym4
Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe
la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC uliomalizika kwa sare ya 2-2
  https://www.youtube.com/watch?v=mcgVq69bym4

Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao jioni ya leo Uwanja wa Taifa


No comments:

Post a Comment

advertise here