LIKE PAGE YETU HAPA

Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.
Inakisiwa kuwa Wachina wapatao 5 milioni wanakabiliwa na matatizo ya konea, sehemu ya mbele ya jicho iliyo ngumu na inayowezesha miali ya mwanga kupenya.
Lakini ni konea 5,000 pekee ambazo hupatikana kila mwaka.
Wanasayansi wa Uchina wamefaulu katika tiba yao mpya ya majaribio ya kutibu upofu.
Walitumia nguruwe katika majaribio hayo ya tiba ya kuondoa upofu, ambapo walitumia konea kutoka kwa wanyama hao.Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.