Sunday, 24 April 2016

WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA HIZI HAPA NDI SHIDA WANAZO ZIPATA

LAYIII

Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani, Lakini mara nyingi hawadumu kwenye mahusiano kwani Wanaume wengi ambao hawana mapenzi ya kweli huwa wanataka kuonja tu na mara nyingi wanakuta kile ambacho hakutegemea hivyo kukimbia...na kumwacha mwanamke anaumia....Takwimu zinaonyesha wanawake wanene wanaongoza kuumizwa na wenza wao kulilo vipotaable...

MWANAMZII NGURI KUTOKA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA AKIWA JUKWAANI

LAYIII

Mwanamuziki nguli wa Congo Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba amefariki dunia huko Abidjan, Ivory Coast, usiku wa kuamkia leo.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema marehemu Papa Wemba amefia hospitali alikokimbizwa mara baada ya kuanguka na kupoteza fahamu wakati akiwa katika onesho jukwaani.

Friday, 22 April 2016

MTOTO MIAKA KUMI NA SITA AVUNJA RECORD KIKAO CHA UMOJA WA MATAIFA

LAYIII

Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa na hofu japo anaongea kwenye jukwaa ambalo linatazamwa na viongozi mbalimbali.

KUTANA NA MAGAZETI YA LEO TAREHE 23/4/2015

LAYIII


April 23 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @swaxbz ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

KUMBE KANYE WEST LAGHAI

LAYIII
BONYEZA HAPA KUJA BZTV BONYEZA PICHA KUJUA CHANZO

https://www.youtube.com/watch?v=g2KepoPu_C0
Shabiki mmoja ameamua kumshtaki nyota wa muziki wa Rap Kanye West pamoja na huduma ya muziki ya Tidal kuhusu kutolewa kwa albamu mpya ya mwanamuziki huyo,The life of Pablo.
Justin Baker-Rhett anadai alidanganywa kutia saini na kujiunga na huduma hiyo ya moja kwa moja,kwa kuwa ilikuwa njia ya pekee ya kununua albamu hiyo ya West.
Alisema kuwa alijiunga na Tidal baada ya mwanamuziki huyo kusema kuwa albamu yake haitauzwa mahali pengine.
Na sasa anasema kuwa hatua hiyo ni ya kilaghai na ililenga kuipatia Tidal mamilioni ya wateja.

MAREHEMU ATEULIWA KUSIMAMIA MECHI NIGERIA

LAYIII
BONYEZA HAPA KUJA BZTV
NFF
Mwanamume aliyefariki ameteuliwa kusimamia mechi ya soka nchini Nigeria ambayo itachezwa Jumapili, mwandishi wa BBC anayefuatilia masuala ya soka Oluwashina Okeleji anasema.
Wale Akinsanya aliteuliwa kuwa mwamuzi kwenye mechi baina ya Warri Wolves na Giwa FC katika mji wa Warri kusini mwa Nigeria, gazeti la Punch la Nigeria limeripoti.
Hii ni licha ya kwamba Akinsanya alifariki tarehe 22 Januari 2016 wakati wa kufanywa kwa mtihani wa

JINO KUBWA LA NYANGUMI LAPATIKANA AUSTRALIA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUIONA VIDEO BOFYA HAPA
Jino
Jino kubwa la nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa thibitisho la kwanza kwamba nyangumi wakubwa hatari sana waliishi mbali na Amerika.
Mkusanyaji wa visukuku Murray Orr alipata jino hilo lenye urefu wa sentimeta 30 (inchi 12) ufukweni Beaumaris Bay karibu na mji wa Melbourne mwezi Februari.
Alilikabidhi kwa makumbusho ya Victoria, ambayo yalianza kulionesha kwa umma Alhamisi.
Inakadiriwa kwamba nyangumi mwenye jino hilo aliishi zaidi ya miaka milioni tano iliyopita. Alitoka kwa aina

ALIKIBA AUMIZA VICHWA VYA WENGI CHANZO UKIMYA WAKE

LAYIII
Tupo kwenye ulimwengu ambao mitandao ya kijamii imegeuka kuwa kama chakula ambacho ni lazima ule kila siku. Kwa watu maarufu, mitandao imegeuka kuwa sehemu muhimu kwa wao kuwa karibu na mashabiki wao.
BONYEZA HAPA AU PICHA JIUNGE NA BZTV
12783250_858357070940801_1379955847_n
Mashabiki wanatarajia kuona kila hatua ambayo msanii anaipitia katika shughuli zake za kila siku. Wanataka kuona si tu picha zake akiwa studio akirekodi muziki au jukwaani akitumbuiza, bali pia za maisha binafsi kama vile akiwa na familia au washkaji.
Na kwa mashabiki, msanii wanayempenda akiwa kimya hata kwa siku moja tu, hukosa raha na kila wakati huchungulia kwenye akaunti yake kuangalia nini alichoweka. Kwao ni furaha kuona picha za staa huyo na pindi anapoamua kukaa kimya huwanyima kitu muhimu katika yao. Huo umekuwa ni kama ulevi na unaweza

KWA NINI MBIO ZA MWENGE SABABU HII HAPA

LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NA BZTV
https://www.youtube.com/watch?v=MFOTazWIOaA
NIKIWA binti mdogo wakati nasoma shule ya msingi miaka ya 1980, nilizoea kusikia na kuimba wimbo mmoja ambao niliupenda sana mpangilio wake wa ala za muziki, na sauti zilizokuwa zikisikika. Huu si wimbo mwingine, bali ni wimbo ambao ulihusu alama kubwa sana ya Taifa letu: Mwenge wa Uhuru.

NAY WA MITEGO SIWEMA MIAKA MIWILI JERA KWA KOSA LA KUTUKANA

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA NJOO JIUNGE NA BZTV
https://www.youtube.com/watch?v=MFOTazWIOaA
Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao.

Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa njia ya mtandao mlalamikaji ambaye anafahamika kwa jina la Deo.
Akizunguza na kipindi cha Jahazi, kinachoruka kupitia Clouds FM, Nay Wamitego alisema ‘napambana kile

HISTORIA YA PESA ZA SARAFU TANZANIA

LAYIII
Kabla ya mwaka 1884, nchi yetu ilikuwa inatumia sarafu moja ya Riyal iliyokuwa imetolewa na Sultan wa Zanzibar chini ya Sultani wa Oman. Sarafu za Riyal zilikuwa kama ifuatavyo
Riyal




 Baada ya 1884, Zanzibar ilitumia sarafu za aina tatu kwa mpigo. Sarafu ya kwanza ilijulikana kama Maria Theresa Thaler iliyotolewa Italy, ilikuwa na sura ifuatayo.

FURSA 150 ZA BIASHARA NA MIRADI MBALIMBALI NCHINI TANZANIA

LAYIII
 
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
5.  Kuanzisha kituo cha redio na televisheni

SABABU SITA ZINAZOPELEKEA KUMPOTEZA MTEJA KATIKA BIASHARA YAKO

LAYIII

Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unaweza ukawavuta wateja wengi au mteja au ukaongeza mteja ,wateja katika biashara yako hii inatokana tu na jinsi gani unatoa huduma yako na kumhudumia mteja pia.
Leo tutaangalia ni sababu gani ambazo zinaweza kusababisha kumpoteza au kumkera mteja wako nazo ni;

MAAMUZI KAMA HAYA YATAKUFANYA UFANIKISHE NDOTO ZAKO

LAYIII

Habari za siku rafiki na mpenzi msomaji wa DIRA YA MAFANIKIO, bila shaka umzima wa afya na unaendelea vyema kujifunza ili kuboresha maisha yako. Leo katika makala yetu napenda kukushirikisha namna unavyoweza kuipata nguvu kubwa ya mafanikio utakayoweza kuitumia kuweza kutimiza malengo yako makubwa.

KWA TABIA HIZI MAFANIKIO KWAKO NI NDOTO

LAYIII

Hasira za mafanikio zinatofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine. Kama kweli unahitaji mafanikio ya kweli ni lazima uwe na hasira ya njaa kama aliyonayo simba. Miongoni mwetu ni watu wachache sana wanatambua hasira hii ya mafanikio, wengi wetu huchukulia mafanikio kwa sura ya kawaida sana na mwisho wa siku tunaishia kuwa maskini.

HISTORIA YA PESA ZA NOTI TANZANIA

LAYIII
Kwa muda mrefu fedha zilizotumia katika nchi hii zilikuwa ni sarafu. Noti za karatsi zilianza kutumiaka mwaka 1905 wakati wa utawala wa mjerumani kwa upande wa bara. Noti hizo zilitolweka katika thamani ya Rupie 5, 10, 50, 100 na rupie 500 kama ionekanavyo hapa chini. Noti za rupie 500 zilikuwa chache sana na sikufanikiwa kupata picha yake

HATUA 26 ZA KUANZISHA BIASHARA NDOGO NDOGO

LAYIII

Zifuatazo ni hatua 26 za kufuata katika kuanzisha biashara ndogondogo ambazo zitakuwezesha wewe kuanzisha biashara yeyote kwa uraisi zaidi.

Hatua ya kwanza ikiwa imebeba hatua zote kwani biashara inahitaji utayari (kuamua) zaidi ya vitu vingine kama mtaji nk

NDI NDI NDI YA LADY JAYDEE YAZINDULIWA RASMI

LAYIII



 Lady Jaydee ‘Jide’ akizungumza jambo kwa mashabiki wake katika hafla hiyo.

KIFO CHA PRINCE CHAISTUA DUNIA

LAYIII
Legendary wa muziki Marekani na Duniani Prince Rogers Nelson, mwenye umri wa miaka 57 ambaye aliwahi kuuza takriban albamu milioni 100 na aliwahi kubuni chapa yake binafsi ya muziki uliokuwa na sauti na ala za mchanganyiko wa muziki wa Rock na funk.
Asubuhi ya April 21 2016 Prince amepatikana amefariki dunia katika makazi yake ya huko Minneapolis, taarifa zinasema amekutwa amekwama kwenye lifti katika studio Paisley Park, imeripotiwa kuwa staa huyo inawezekana alikuwa anaumwa kwa kipindi cha muda mrefu ambako kulipelekea hata

MAGAZETI YA LEO 22/4/2016

LAYIII
April 22 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @SWAXBZ ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Thursday, 21 April 2016

MAGUFULI ALIWAITA WAKENYA WEZI KATIKA UZINDUZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

LAYIII
From Nairobiwire.com

Tanzanian President John Magufuli yesterday officially opened Kigamboni Bridge, East Africa’s first cable-stayed bridge or as normal people call it – suspension bridge.

It was a great moment of pride for their country and rightly so as the piece of infrastructure will make life easier and improve business in Dar es Salaam.



On Monday, we published an article on the bridge opening.

 Kigamboni Bridge: Tanzania Has Just Built East Africa’s Longest Suspension Bridge

It received well over 100,000 hits with most of them from Tanzania. What followed was a bunch of sarcasti

ZOEZI LA UOKOAJI WA GARI LILILOZAMA KATIKATI YA BAHARI HUKO KIGAMBONI LIMEKAMILIKA VIDEO HAPA

LAYIII
NIMEKUSOGEZEA VIDEO YAKE HAPA

ULIMISS KUONA DARAJA LA KIGAMBONI VIDEO HAPA MTU WANGU

Wednesday, 20 April 2016

MAUMIVU YA TUMBO

LAYIII
JIUNGE NA BZTV BONYEZA PICHA HAPA

Maumivu ya tumbo ni dalili inayosumbua watu wengi kwa wakati na umri tofauti. Karibu kila mtu katika maisha yake atapata namna fulani ya maumivu ya tumbo. Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha maumivu ya tumbo na mara nyingi huwa sio za kutisha, hutubiwa na kupona. Mara chache husababishwa na hali ambazo zinaweza kuhatarisha maisha yako. Maumivu yanaweza kuwa katika sehemu maalum ya tumbo au tumbo zima.

UROJO UMEPIGWA MARUFUKU KUUZWA ZANZIBAR

LAYIII
JIUNGE NA BZTV BONYEZA PICHA HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=M3iWPmDcf5g
WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepiga marufuku biashara za vyakula, ikiwemo vya maji maji kama urojo zinazofanywa na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara kutokana na kuongezeka kwa hofu na kasi ya ugonjwa wa kipindupindu.

Waziri wa Afya, Mahmoud Thabit Kombo wakati akitoa taarifa kuhusu ugonjwa wa kipindupindu, amesema hali imekuwa mbaya zaidi katika kipindi hiki cha mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini kote.

MADHARA YA UTOAJI WA MIMBA NIMEKUSOGEZEA HAPA

LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NA BZTV 

Kutoa mimba ni nini? Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.

Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye mahusiano, wasichana wengi kwa sasa wanatoa mimba.

Utafiti nilioufanya mwenyewe nimegundua kwamba zaidi ya asilimia tisini ya wasichana wanaokua kwenye mahusiano na wanaume zaidi ya mwaka mmoja kabla ya ndoa hutoa mimba na asilimia tano tu ya wote ndio

MVUA YAONGEZA MAJI MACHAFU BWAWA LA KIDATU HOFU YA KUHARIBIKA KWA MIUNDO MBINU YATANDA

LAYIII
Bonyeza picha hii hushuhudia volcano ilivyowaka ndani ya bwawa flani maeneo ya iringa
https://youtu.be/8B2S3rtS304
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kuongezeka kwa maji kupita kiasi katika bwawa la kufua umeme la Kidatu na kuvuka kiwango chake cha kawaida cha mita za ujazo 450 hadi 450.5 kutoka usawa wa bahari, hali inayotishia kuharibika kwa miundo mbinu ya bwawa hilo na maji kuwaathiri wananchi wanaofanya shughuli zao zikiwemo za uvuvi na kilimo kandokando ya mto Ruaha mkuu na Kilombero.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la umeme Tanzania Tanesco Mhandisi  Felchecim Mramba amesema maji hayo yakiachiwa, yanaweza kusababisha maafa makubwa na hasara kubwa kwa taifa, kwani miundo mbinu itaharibika na uzalishaji wa umeme hautaweza kuendelea, wakati umeme unaotumia maji umekuwa na

WAWILI WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI YAO KUDUMBUKIA NDANI YA BAHARI KIVUKO CHA KIGAMBONI

LAYIII
Shudia ajari ya moto katika scania moja maeneo ya hiko sumbawanga bonyeza picha hii mtu wangu
https://www.youtube.com/watch?v=9sM6NHl7Xzw
Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakitumia kudumbukia ndani ya bahari ya Hindi baada ya dereva wa kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam kushindwa kufunga mlango wa kifuko hicho kwa ufasaha.
Ajali hiyo ya kuzama kwa gari hilo ilitokea majira ya alfajili ya kuamkia leo ambapo kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, marehemu hao walikuwa wakivuka kutoka katikati ya jiji kuelekea Kigamboni huku mlango

APRIL 12/2016 HAYA NDIO MAGAZETI YA LEO

LAYIII
April 21 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @SWAXBZ ili niwe nakutumia

Video | Cliff Mitindo Feat. Mo Music - Natamani [Official Music Video]

LAYIII



Download | Malaika - Rarua Rarua [Audio]

LAYIII

Video | Salamu TMK - Mfuko [Official Music Video]

LAYIII


Download | Bright Feat. Barakah Da Prince - Nitunzie [Audio]

LAYIII

Download | Haitham Feat. Mwana FA - Fulani [Audio]

LAYIII





ALIENS WAITAJIRISHA MAREKANI

BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBEhttps://www.youtube.com/watch?v=g2KepoPu_C0Wiki iliyopita nilianza simulizi hii ya viumbe wa ajabu waitwao Aliens waishio angani. Niliishia pale nilipoanza kueleza ni viumbe gani hawa ambao wamekuwa wakihusishwa na upotevu wa watu na ndege duniani? SASA ENDELEA…
Juu ya viumbe hawa wa ajabu waishio angani waitwao Aliens, mifano mingi inayotolewa inalenga kuthibitisha kuwa kweli kuna viumbe wa ajabu ambao wamekuwa wakishindana na binadamu bila wenyewe kujua hivyo kuwapa kazi kubwa wanasayansi wa anga kufanya utafiti wa ziada.

AUDIO JINSI PAUL MAKONDA ALIVYOMSHITAKI WILSON KABWE KWA MWESHIMIWA RAIS

LAYIII
Haya ndiyo yaliyojjitokeza katika uzinduzi wa daraja la kigamboni kama hukupata kumskia magufuli ni nafasi yako sasa na jinsi wilson kabwe alivyosimamishwa kazi chini ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda
http://www.fikrapevu.com/wp-content/uploads/2012/02/wilson-kabwe.jpg
Makonda alimshtaki kabwe kwa mweshimiwa rais. Moja wapo ya tuhuma za kabwe kwa mujibu wa makonda ni kuendesha kituo cha mabasi yaendayo mikoani kifisadi ambapo mapato mengi huishia mifukoni mwa wachache. Rais amemfukuza kazi kabwe mbele

TRILIONI MOJA IMETENGWA KWA AJIRI YA KUONDOA MALORI YA KUBEBA MIZIGO JIJINI DAR ES SALAAM

LAYIII
JIUNGE YOUTUBE BONYEZA PICHA HAPA
Malori  ya kubeba mizigo, ambayo yamekuwa yakichangia msongamano wa magari kwa kiasi kikubwa jijini Dar es Salaam, yanatarajiwa kuondolewa mara tu reli ya kisasa ‘Standard Gauge’, iliyotengewa Sh trilioni moja katika Bajeti ya Serikali, itakapofika Ruvu mkoani Pwani.

Rais John Magufuli amesema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya kwanza ya juu (Flyover) nchini Tanzania, inayojengwa katika makutano ya Barabara ya Mandela na Barabara ya

MAGUFULI AFYATUA MTEGO WA MAKONDA NI NDANI YA MAGAZETI

LAYIII
UKITAKA KUJUA UNDANI BONYEZA PICHA HIII
https://www.youtube.com/watch?v=WoyqBDkOBr4
https://www.youtube.com/watch?v=WoyqBDkOBr4

KUMBE RIHANNA ALITAKA KUSABABISHA KIFO KWA CHRISS BROWN

LAYIII
Chris Brown:Nilitaka kujiua kwa sababu ya Rihanna 
Nilitaka kujiua kwa sababu ya Rihanna
Mwanamuziki Chris Brown amesema kuwa alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka 2009.
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NA CHANZO

https://www.youtube.com/watch?v=WoyqBDkOBr4
Nilitaka kujiua kwa sababu ya Rihanna
Mwanamuziki Chris Brown amesema kuwa alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka 2009.
Katika kipande kifupi cha makala yake ya 'Karibu katika maisha yangu',mwanamuziki huyo wa mtindo wa R

Tuesday, 19 April 2016

KAMA HUKUSKILIZA ILE STORY YA YULE BINTI WA KAZI MCHAWI ALIYEKUWA AKIFANYISHA MABOSS ZAKE KAZI SKILIZA HAPA

LAYIII
Binti mmoja ambaye jina lake tunahifadhi amekiri kuwa alikuwa
bonyeza picha hiii kujiunga nami kuiona video yake kwa ukubwa zaidi usiache kusubscribe nami youtube 
https://www.youtube.com/watch?v=WoyqBDkOBr4

 akitumikisha mabosi zake kufanya kazi za ndani kwa njia ya kishirikina huku yeye akiwa amelala ametulia tuli
binti huyu alikiri kuwa nguvu zake ziliongezeka zaidi baada ya kumtoa kafara mtoto mmoja wa

MAGUFULI ATAKA DARAJA LA KIGAMBONI LIPEWE JINA LA NYERERE

LAYIII
Bonyeza picha hiii kujiunga amazon shop ili uweze kununua kifaa chochote cha electronics
Daraja
Daraja la kigamboni lina urefu wa mira 680
Rais wa Tanzania John Magufuli amependekeza daraja mpya la Kigamboni lipewe jina la mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Nyerere.
Akiongea muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi daraja linafaa kupewa jina la Mwalimu Julius Nyerere kutokana na mchango wake kwa nchi hiyo.
Daraja la Kigamboni lilianza kutumika tarehe 16 Aprili, 2016 na lina urefu wa mita 680 na barabara

KAKA YAKE DIAMONDPLATNUMZ KUBAKA HUKO SWEDEN UKWELI HUU HAPA

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI HABARI KWA NZIA YA VIDEOZ
rommy
Kaka wa staa wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Rommy Jones.
STORI: Musa Mateja, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa utata? Hatimaye ukweli juu ya sakata la kaka wa staa wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Rommy Jones umeanikwa ndani ya Ijumaa Wikienda ambalo ni namba moja kwa habari za mastaa ndani na nje ya Bongo.
Kabla ya gazeti hili kuchimba undani wa msala huo, kulienea tetesi mbalimbali kuwa Rommy ambaye ni DJ

KISA KUONGEA KIARABU ATOLEWA KWENYE NDEGE

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUNUA COMPUTER KWA BEI POA KABISA
www.amazon.com/gp/product/B0172BP1W6/ref=as_li_tl?ie=UTF8&camp=1789&creative=9325&creativeASIN=B0172BP1W6&linkCode=as2&tag=googleplaysto-20&linkId=LRXRIWQS2SMIHS3H
Mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa Iraq katika jimbo la California nchini Marekani anasema kuwa alitolewa kutoka kwenye ndege ya shirika la ndege la Southwest baada ya kufanya mazungumzo kwa lugha ya kiarabu.
Shirika hilo la Southwest lilisema kuwa Khairuldeen Makhzoomi aliondolewa ndegeni tarehe 9 mwezi Aprili kabla ya ndege hiyo kupaa.
Bw Makhzoomi anasema alikuwa akizungumza na mjomba wake

Monday, 18 April 2016

SHULE KUMI ZIMEFUNGWA KYELA KUTOKANA NA MVUA KUBWA KUNYESHA

LAYIII
je unahitaji computer yenye matumizi yako ya kiofisi basi bonyeza picha hii na utaweza kupata huduma haraka sana
http://www.amazon.com/gp/product/B0172BP1W6/ref=as_li_tl?ie=UTF8&camp=1789&creative=9325&creativeASIN=B0172BP1W6&linkCode=as2&tag=googleplaysto-20&linkId=LRXRIWQS2SMIHS3H
Kyela/Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mbeya, Dk Thea Ntara amesema bado hali ni tete kwa wananchi wa  Kata 10 zilizokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha na ameamuru shule tatu za sekondari  na saba za msingi zifungwe kwa  muda usiojulikana baada ya vyumba vya madarasa kujaa maji na miundombinu yake kutishia usalama.

YOUNG KILLER KAZUNGUMZI PICHA ALIYOPIGA NA DIAMOND NA FUNUNU ZA KUJIUNGA NA LEBAL YA WCB

LAYIII

Picha aliyoiweka rapa Young Killer kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na Diamond, imezua maswali kadhaa ya matumaini miongoni mwa mashabiki wake.

Rapa huyo wa Mwanza amepost picha akiwa na Diamond Plutnumz na kuandika:

Hakuna mtu aliye zaliwa ili aje awe maskini (ndiyo ) unaweza ukawa umezaliwa kwenye familia maskini ila ukweli ni kwamba hujazaliwa ili wew uje kua maskini….hivyo bas ::mafanikio uja kwa wale walio shindwa mara nyingi na wakajaribu tena kwa ujasiri.. (yes) mungu nisaidie yatimie .. with

TP MAZEMBE IPO HOI DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

LAYIII

Mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa Afrika katika kandanda klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika jitihada zake za kuhifadhi taji lao.
Mabingwa hao wa Afrika wanahitaji kushinda Wydad kwa zaidi ya mabao mawili na wasifungwe lolote ilikunusuru hadhi yao baada ya o kuchapwa 2-0 katika mkondo wa kwanza Juma lililopita .
Mazembe inawakaribisha mabingwa hao wa Morocco katika mkondo wa pili jumatano hii.

MABAO 500 ALIYOFUNGA MESSI

LAYIII
Messi
Mshambuliaji matata kutoka Argentina Lionel Messi hatimaye alifunga bao lake la 500 katika maisha yake ya uchezaji Jumapili.
Alifunga bao hilo dakika ya 63.
Bao lake hata hivyo halikutosha kuzuia Barcelona wasipokezwe kichapo chao cha tatu mtawalia katika La Liga, mara ya kwanza tangu 2003.
Barca walichapwa 2-1 na Valencia.
Ni karibu miaka 11 tangu Messi afunge bao lake la kwanza la ushindani akiwa na umri wa miaka 17

Sunday, 17 April 2016

FUVU LA BINADAMU LIMEKUTWA OFISINI KWA DIAMONDPLATNUMZ

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJUA KINACHOENDELEA KUHUSU VIGODORO NDANI YA DAR
https://www.youtube.com/watch?v=_2xr9mgpj4s 
Fuvu la binadamu lakutwa limewekwa kwenye meza ya Diamond pembeni ya picha ya mwanawe Tifah.
Diamond asema ni kweli ni fuvu la binadamu, ila ni pambo tu kama mapambo mengine, yeye anamtegemea Mungu.

Wakati mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii ndumba kwenye muziki wake ambao sasa umemfikisha mbali kimataifa, staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’, ameshikwa

advertise here