LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUNUA COMPUTER KWA BEI POA KABISA
Bw Makhzoomi anasema alikuwa akizungumza na mjomba wake
kwa njia ya simu kuhusu hotuba ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.
Anasema kuwa mwanamke mmoja kwenye ndege hiyo alimkodolea macho wakati alitamka jina "Inshallah" akimaanisha Mungu akipenda.
Baada ya kutumia jina hili mfanyikazi wa shirika la Southwest alimsindikiza nje ya ndege.
Bw Makhzoomi ambaye aliingia nchini Marekani kama mkimbizi kutoka Iraq na sasa ni mwanafunzi wa chuo cha Carlifonia cha Berkeley, aliambiwa kuwa hawezi kuingia tena kwenye ndege hiyo.
BONYEZA PICHA HII KUNUA COMPUTER KWA BEI POA KABISA
Mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa
Iraq katika jimbo la California nchini Marekani anasema kuwa alitolewa
kutoka kwenye ndege ya shirika la ndege la Southwest baada ya kufanya
mazungumzo kwa lugha ya kiarabu.
Shirika hilo la Southwest
lilisema kuwa Khairuldeen Makhzoomi aliondolewa ndegeni tarehe 9 mwezi
Aprili kabla ya ndege hiyo kupaa.Bw Makhzoomi anasema alikuwa akizungumza na mjomba wake
kwa njia ya simu kuhusu hotuba ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.
Anasema kuwa mwanamke mmoja kwenye ndege hiyo alimkodolea macho wakati alitamka jina "Inshallah" akimaanisha Mungu akipenda.
Baada ya kutumia jina hili mfanyikazi wa shirika la Southwest alimsindikiza nje ya ndege.
Bw Makhzoomi ambaye aliingia nchini Marekani kama mkimbizi kutoka Iraq na sasa ni mwanafunzi wa chuo cha Carlifonia cha Berkeley, aliambiwa kuwa hawezi kuingia tena kwenye ndege hiyo.
No comments:
Post a Comment