LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE

Kikosi cha Yanga
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Kikosi cha Yanga
Kocha mkuu wa
klabu ya Yanga Hans van der Pluijm, amesema atahakikisha wanafanya
maandalizi mazuri kuweza kuikabili timu ya Al Ahly ya Misri katika
mchezo wa Raundi ya Pili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika .
Yanga
imefuzu hatua hiyo baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-2
kwa mechi