Monday, 9 March 2015

swaxbz on poz full kula hewa at malumbi beach resort tamarindiiii

get tayari am comming with habari moto  moto za ukweeee mpo hapo watu wangu like page hii kila siku upate lates news

MATUMIZI MABAYA YA 911 YAMPONZA

922Ndani ya wiki hii headlines kuhusu Marekani na ishu ya dawa za kulevya ni sehemu tu ya zile nyingi zilizotufikia,

NI ZAMU YA MBWA SASA KUGUNDUA TIBA YA KANSA ACHANA NA PANYA TENA KUTEGUA MABOMU

Dog PetWatafiti wamekuwa wakigundua baadhi ya viumbe kutumika sehemu mbalimbali, tumeona panya wanaotegua mabomu,

ULIPITWA NA NDEGE INAYOTUMIA SOLAR POWER ICHEKI HAPA SASA

1689Duniani kote wataalamu wanaangalia namna ya kubuni teknolojia itakayosaidia kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa, mpshi wa viwanda, magari vinatajwa kama vyanzo vya

KALI YA MWAKA MAJENEZA KUTOKA CHINI NI DILI KUBWA MAREKANI

purple_and_gold_casket_041
Kwetu TZ kuikuta bidhaa kutoka China kwenye duka lolote sio kitu cha kushangaza kiukweli, kuna radio, simu, TV na bidhaa nyingine nyingi sana ambazo tunazinunua na kutumia ambazo zina maandishi ‘Made in China‘.

Sunday, 8 March 2015

P Square sasa kwenye ukurasa mmoja na Usher Raymond, Ludacris na T.I


Screen Shot 2014-01-20 at 3.09.53 AMSiku zote ukisikia Mwafrika yeyote kanunua au anamiliki nyumba Marekani au kwenye nchi yoyote iliyoendelea sana duniani, lazima sehemu ya mawazo yako iwe ni fikra juu ya utajiiri alionao.

Mmiliki wa Facebook amenunua huu upande wa kisiwa cha Hawaii.

Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai ambayo ni hekari 700 kwa dola za Kimarekani milioni 100 ambapo atakuwa anamiliki eneo kubwa ambalo litaendana na hadhi ya bilionea, jarida la Forbes limeripoti.
Hekari hizo 700 zitajumuisha beach resort, mashamba ya miwa na kilimo hai ambapo kwa sheria za Hawaii beach resort hiyo lazima iachwe wazi kwa matumizi ya jamii kwa sababu kisiwa hiko hakina sheria ya umiliki binafsi wa mchanga.
mark

Saturday, 7 March 2015

Friday, 6 March 2015

Hii ndio ajali ya ndege binafsi aliyoipata mwigizaji huyu staa wa Hollywood

hARRISON iii
Hii picha alipigwa Harrison akiwa anaruka na ndege yake mwezi February 2015
Harrison Ford ni mmoja ya waigizaji ambao ni mastaa wakubwa sana duniani wa movie za Holywood,

Alichojitetea Pharell Williams kwenye kesi yake ya kukopi wimbo wa Marvin Gaye..

.
Pharrell Williams
Ishu ya mastaa wa kibongo kukopi nyimbo za nje imesikika sana, ambacho tumezoea kukiona kwa kawaida ni kwamba wenzetu kama Marekani wanafuata sana Sheria, ukiangalia Chris Brown aliimba

MOSHI MPOOOOOOO KALI HIIII KUTOKA KWA KIBA INAKUJA

2lrgUkubwa wa singo ya

TASWIRA MPYA STUDIO ZA AZAM TV

TASWIRA YA STUDIO MPYA YA AZAM TV ni gumzo hapa mjini hebu ona picha zake kidogo hapa.

KESI YAKE NA RUGE, JIDE AHUKUMIWA

Thursday, 5 March 2015

UNDERSTAND DENIAL SERVICE ATTACKS

What is a denial-of-service (DoS) attack?

In a denial-of-service (DoS) attack, an attacker attempts to prevent legitimate users from accessing information or services. By targeting your computer and its network connection, or the computers and network of the sites you are trying to use, an attacker may be able to prevent you from accessing email, websites, online accounts (banking, etc.), or other services that rely on the affected computer.
The most common and obvious type of DoS attack occurs when an attacker "floods" a network with information. When you type a URL for a particular website into your browser, you are sending a request to that site's computer server to view the page. The server can only process a certain number of requests at once, so if an attacker overloads the server with requests, it can't process your request. This is a "denial of service" because you can't access that site.
An attacker can use spam email messages to launch a similar attack on your email account. Whether you have an email account supplied by your employer or one available through a free service such as Yahoo or Hotmail, you are assigned a specific quota, which limits the amount of data you can have in your account at any given time. By sending many, or large, email messages to the account, an attacker can consume your quota, preventing you from receiving legitimate messages.

CYBERSECURITY: A BEGINNERS VOCABULARY

As you master new cybersecurity skills, you’ll be exposed to new terms that are constantly growing and evolving. Each new challenge and achievement will open the doors to new concepts that must be both clearly defined and proficiently demonstrated.
While some computer security terms have become rather commonplace in our society, others remain a bit mysterious to those encountering them for the first time.
Here are some basic Internet and cybersecurity terms that may help you as you increase your knowledge in this challenging field.


Useful Cybersecurity and General Internet Terms for Beginners
  • Antivirus Software. Most Internet users are well aware of these programs since nearly every computer sold today provides at least short – term access to this type of software. In a nutshell, these programs protect your computer from Internet viruses or codes that can quickly disable your computer (or an entire network). When functioning properly with all necessary updates, this software will constantly monitor your computer to prevent viruses from “infecting” it;

Wednesday, 21 January 2015

WEB SITE YA TBCCLTD.CO.TZ IMEINGILIWA NA WAVAMIZI WANAOJIITA MAHACKERS

Ikiwa imebakia siku chache tu kampuni ya tanzania busness creation company limited kufanya kongamano lao websiteyao imevamiwa na wavamizi wanao jiita

Thursday, 15 January 2015

DIAMOND ADHIBITISHA KUWA ZARI ANA MIMBA YAKE

MWANAMKE MWENYE KOVU JEUSI

HEKA HEKA MJINI NI HADITHI NZURI YA KUSISIMUA NA KU VUTIA
Nakumbuka vizuri ilikuwa siku ya jumapili ambayo kama ilivyoada kwangu huwa sikosi kwenda kanisani hasa misa ya kwanza kwani huwa napenda sana kusali misa ya kwanza ili baadaye niweze kuendelea na mambo yangu mengine,siku hiyo niliamka asubuhi na mapema kutoka pale nyumbani kwangu mnazi mmoja karibia na ofisi za chama cha mapinduzi za mkoa wa Dar-es-salaam na kuelekea kanisani pale saint.alban posta taratibu kwa miguu kwani gari yangu ilikuwa imeharibika wiki ya pili sasa na isitoshe pale nyumbani kwangu mpaka pale posta hapakuwa mbali sana kiasi cha kama dakika 20 tu hasa kwa kijana kama mimi ambaye damu ilikuwa bado inachemka.niliingia pale kanisani nikiwa sijachelewa sana misa ilikuwa imeanza kama dakika 7 hivi nakumbuka sana somo la siku hiyo alilolitoa padri Kiaka lilikuwa linahusu umuhimu wa kuombea siku yako ya kufa kwani haina siku wala saa.

Mahakama yasitisha mgomo wa walimu Kenya

Mgomo wa walimu wa shule za umma nchini Kenya umesitishwa baada ya agizo la mahakama kwamba walimu warejee kazini wiki ijayo ikiwa afueni kwa wanafunzi
Agizo hilo limetolewa baada ya mazungumzo ya siku nzima kati ya chama cha kutetea masilahi ya walimu pamoja na upande wa serikali katika mahakama ya viwanda.
Mahakama hio imewaaamuru walimu kurejea kazini na kwamba hakuna anayepaswa kuchukulia hatua za aina yoyote kwani mgomo huo ulikuwa halali.
Serikali pamoja na upande wa walimu zimetakikana kuwasilisha mapendekezo kuhusiana na malipo ambayo walimu wanataka.
Mazungumzo hayo, yananuiwa kusuluhisha mgogoro wa malipo kati ya walimu na serikali.
Kufuatia agizo hilo la mahakama , walimu wanatarajiwa kurejea kazini Jumatatu huku wazazi na wanafunzi wakipata afueni.
Juhudi za hapo awali kujaribu kuzuia mgomo huo hazikufua dafu huku mgomo huo ukiingia katika wiki yake ya pili.
Wabunge pia waliitaka serikali kusuluhisha mgomo huo na kuwapa walimu wanachotaka kwani wanafunzi hawajafunza tangu muhula mpya wa shule kuanza nchini Kenya.


advertise here