Wednesday, 25 February 2015

UJIO WA KAMPUNI YA TBCUE {TANZANIA BUSINESS CONSULTANT AND UNITARY ENTERTAINMENT COMPANY} KUSHUSHA PUMZI ZA WASANII WACHANGA

START HERE





Mkurugenzi wa kampuni ya TBCUE Mr Emmanuel .B. Mwembwa amesema kwamba anatarajia kampuni ambayo ipo mbioni kufunguliwa kuwa njia mbadala ya kuwatatulia wasanii wadogo matatizo yao na kuwasaidia wasanii wachanga kukuza vipaji vyao.Mkurugenzi wa kampuni hiyo bwana inayojihusisha na utoaji wa elimu ya biashara, ushauri wa kibiashara pamoja na kusaidia kutafutia watu masoko bwana Emmanuel amesema kwamba atakuwa bega kwa bega katika kuwasaidia wasanii wachanga wanakuwa kusanaa na kuwafikisha kutimiza ndoto zao



wasiliana na ofisi za moja kwa moja kwa simu namba 0766900009,0773331371,0758320731, au mtumie email kupitia mswaxkim66@gmail.com
TBCUE Mkombozi kwa wasanii wachanga






Fika katika ofisi zetu zilizoko sinza mkabala na uwanja wa TP SINZA DARAJANI ULIZIA TBCC chuo   cha ujasiliamali

No comments:

Post a Comment

advertise here