Wednesday, 21 January 2015

WEB SITE YA TBCCLTD.CO.TZ IMEINGILIWA NA WAVAMIZI WANAOJIITA MAHACKERS

Ikiwa imebakia siku chache tu kampuni ya tanzania busness creation company limited kufanya kongamano lao websiteyao imevamiwa na wavamizi wanao jiita

[ saeed210 & Ho3ien-Mojazat ]

juhudi za kulitatua tatizo hilo bado zinaendeleo na wana IT wa tbcc na compuni inawaomba radhi wale wote watakao kuwa wamepitiwa au kupata usumbufu wa kutembelea website yao bila mafanikio 

TBCCLTD INAWASIHI WATEJA WAKE WAENDELEE KUWAFAFUTA KUPITIA BLOG YAO YA TBCCLTD.BLOGSPOT .COM MPAKA PALE WEBSITE ITAKAPO KUWA RECOVERED

No comments:

Post a Comment

advertise here