Ukubwa
wa singo ya
Chekecha ambayo ni singo mpya ya Ally Kiba umempa ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali na kuzungumza na mashabiki wa muziki wake,nimeambiwa kaanza na mikoa ya kaskazini ambayo ni Moshi na Arusha pamoja na Namanga.
Ally Kiba ameingia Moshi March 06 akiwa pamoja na Recho wa THT,hizi ni baadhi ya picha zao tangu wanaingia Moshi,mpaka wanafanya mazoezi kabla ya show ambayo inatarajiwa kuanza saa 3 usiku mtu wangu.

No comments:
Post a Comment