Thursday, 15 January 2015

DIAMOND ADHIBITISHA KUWA ZARI ANA MIMBA YAKE



DIAMOND ameweka wazi kuwa anatarajia kuitwa baba baada ya kupost picha inayoonyesha utra sound ya kiumbe kikiwa tumboni kwa mama na kudhihirisha kuwa anatarajia kuitwa baba wa watoto uhusiano wa diamond na zari saa unaelekea kwenda kwenye level nyingine na jamaa anazidi kuwa maarafu kila kukicha


Zari Ameibuka na kumwambia Wema Sepetu kuwa Diamond Sio Mume wa mtu na wala sio mchumba wa mtu kwa sasa hivyo kitendo cha yeye kutoka out naye ni sawa kwani ni
maamuzi ya Diamond Mwenyewe kwa vile kwa sasa yupo huru kabisa..Hivyo Wema Sepetu na Team yake wakae Kimya Waangalie tu jinsi Project inavyokwenda kwani muda wake wa kujivinjari na Diamond ulishapita....
Mweee.. Ndimu zikuwapi


NA SWAXBZ RISING TANZANIAN STAR

No comments:

Post a Comment

advertise here