Monday, 31 August 2015

MTOTO WA MCHEZAJI BORA DUNIANI KUTOKEA BRAZIL AMENIUNGA NA CLUB YA URENO

LAYIII

Mtoto wa mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Rivaldinho Rivaldo ambaye anafuata nyayo za baba yake Rivaldo katika soka, amesajiliwa na klabu ya Boavista ya

LIVERPOOL YAMSAJIRI MSHAMBULIAJI KUTOKA NIGERIA

LAYIII
Klabu ya Liverpool ya Uingereza haiko nyuma na yenyewe kumalizia masaa ya usajili yaliosalia vizuri, kila klabu ina angaika ili iweze kusajili mchezaji iliyekuwa inamtaka kwa muda mrefu au

SHUDIA MWANAMKE MREMBO ANAVYOIBA NA KILICHOENDELEA WALITEGESHA KAMELA

LAYIII
Jamaa wametegesha video camera sehemu alafu wakatafuta Mwanamke mrembo ajifanye mwizi wa kuchomolea watu mfukoni, hii imetokea Marekani lakini najua kama wangetegesha

HAWA NDIO WATOTO WA MASTAA WENYE USHAWISHI MKUBWA SANA MTU WANGU

LAYIII
Kuna watoto wengi wa mastaa ambao wamekua na ushawishi mkubwa ndani ya jamii zinazowazunguka, mbali ya kupata mikata minono ya kutangaza bidhaa mbalimbali pia wamekuwa wakizungumziwa hasa katika mitandao ya kijamii.

CHEZA KWA MADOIDO YA YAMOTO BAND IPO HEWANI SASA

LAYIII
Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya ‘Cheza kwa Madoido’ chini ya Mtayarishaji GodFather.

DK SLAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NI NINI KINAENDELEA KUWA NAMI HAPO CHINI

LAYIII
Ni kweli katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa amekua kimya toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMA akitokea CCM lakini August 31 2015 kituo cha TV cha STAR TV kimetangaza kuhusu Dr. Slaa kwamba atazungumza kwa mara ya

SHERIA YA MITANDAO YAANZA KAZI RASMI

LAYIII
Huu ndio utakua mwisho wa makosa ya kimtandao Tanzania??? sababu sheria hii imepitishwa na kuanza kutumika leo mahususi kwa wote wanaotumia vibaya mtandao.

HUYU NDO MWANAMKE ANAYE TAKA KUWA RAIS WA TANZANIA

LAYIII
Kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 zimeshaanza tayari na tumewaona Wanasiasa mbalimbali wakisimama mbele ya Watanzania kutumia time yao kuwashawishi wapate zile

DAKTARI WA DIAMOND ATAFIA STUDIO

LAYIII
Musa Mateja na Gabriel Ng’osha
YAMEKUWA hayo! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anahofiwa kufia studio kutokana na kufanya kazi kwa muda mrefu pasipo kupumzika

KAMA HUKUJUA HAWA NI WATAYARISHAJI, NI WAIMBAJI

LAYIII

Mwimbaji na Mtayar-ishaji wa Studio ya Sharobaro, Bob Junior.
PAMOJA na kufanya kazi ya kutayarisha ngoma kali za wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva lakini

UGOMVI WA YOUNG KILLER NA EDO BOY WAZUA MENGINE

LAYIII
Wiki iliyopita Soudy Brown alizungumzia ugomvi wa Edo Boy na Young Killer hadi kupelekana Polisi, leo tena unaendelea.
Baada ya Edo Boy wiki iliyopita kugoma kuzungumza, leo amezungumza na kusema ni kweli alikua

KUTANA NA WASHINDI WA TUZO ZA MTV VMA’s 2015

LAYIII
Jumapili ya tarehe 30 August 2015 ilikuwa siku kubwa na ya muhimu kwenye ulimwengu wa burudani kwani tuzo za MTV Video Music Awards 2015 zilichukua headlines kubwa sana jijini Los Angeles Marekani.

KANYE WEST RAIS WA MAEKANI MWAKA 2020 KUFUATIA KUTANGAZA KWAKE NIA

LAYIII
Kanye West na Kim Kadarshian walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2015… na siku zote watu wamezoea kupokea vituko kutoka kwa Kanye viwe vya kufurahisha ama kusikitisha usiku hauwezi kuisha bila kumsikia Kanye West.

Sunday, 30 August 2015

BINADAMU WA AJABU ANAYEFANYA KAZI NYINGI KWA MASAA

LAYIII
KUMBUKA HII IMEKAA KIUDAKU ZAIDI NOT PROVE ZEN LETS GET TOTHE POINT OK
 ......MAAJABU YA DUNIA.....
Huyu ndie binadamu wa hatari zaidi na mwenye maajabu Duniani na anasifa kuu 7.
1:Anauwezo wa kufanya kazi kwa wiki bila kula.
2:hakuzaliwa na Mama,bali alizaliwa na Baba.
3:Anauwezo wa kutabiri ya kesho nayakawa sawia.
4:Anaongea zaidi ya lugha zipatazo 10,000.
5:Anaweza kutembea umbali mlefu bila kupumzika.
6:Hakuwahi kunyonya maziwa kwa mama wala ya mnyama.
7:Alizaliwa anajuwa kuongea,pindi alipokuwa na umri wa siku 3.
NINI MTAZAMO WAKO KWA KIUMBE HUYU.


HUU NDIO UFUNGUZI WA KAMPENI ZA ACT CHINI YA KIONGOZI WAO MKUU ZITO KABWE

LAYIII

Bado harakati za uzinduzi wa kampeni za siasa zilikuwa zikiendelea katika maeneo tofauti Dar Es Salaam, August 30 ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa kampeni za chama cha ACT- Wazalendo

MAGUFULI KAKANA KULAZWA ICU,SUMAYE ALIPUKA, RICHIMOND.........KUHUSU MWAKYEMBE



MWANANCHI
Wakati Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye akitangaza kuihama CCM, alidokeza kuwa siku moja chama hicho kitaona umuhimu wake, na jana alianza kuonyesha hilo alipopangua hoja dhidi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa huku akianika uozo wa Serikali.

Saturday, 29 August 2015

KAMA UMEPITWA NA HOTUBA YA UKAWA HII HAPA

LAYIII
Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani August 23 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za kunadi sera zao na ilani ya chama chao utaratibu huo

USIKU WA CHISTIAN BELLA NA YAMOTO BAND ULIVYO KUWA

LAYIII

Screen Shot 2015-08-29 at 4.42.55 PM

Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii nisingependa ikupite,  Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa upande wa burudani na ilitendewa haki na Christian Bella akiwa na Malaika Band pampja na Yamoto band

NIMEKUWEKEA PICHA ZA AWALI HUKO JANGWANI MTU WANGU

LAYIII

Friday, 28 August 2015

MAN U YAKAMILISHA USAJILI WA KEVIN

LAYIIII
Kupitia kwa mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani Klaus Allofs amethibitisha kwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea kurudi katika Ligi Kuu Uingereza. Klaus Allofs amethibitisha kuwa klabu ya Wolfsburg imeridhia kumuachia Kevin De Bruyne ajiunge na klabu ya Manchester City.
De-Bruyne-main
De Bruyne akipiga picha na mashabiki wakati akiwa njiani kuelekea Manchester usiku wa August 28
Kevin De Bruyne atakuwa anarejea katika Ligi Kuu Uingereza ikiwa ni miezi 18 imepita

advertise here