Busu ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa
Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa.
Hayo yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha
kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram ndipo wafuasi wa mtandao huo
walipoanza kumsema vibaya wakidai anajiabisha kwa
Mazungumzo ya amani kuhusu Burundi yameanza mjini Arusha, Tanzania, baada ya kuahirishwa mara kadha.
Serikali
ya Burundi, na baadhi ya viongozi wa upinzani wanahudhuria mazungumzo
hayo, ambapo mpatanishi ni rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa.
Lakini kundi kuu la upinzani halikujumuishwa, kwa sababu serikali imesema, haitozungumza na watu, inaowaona kuwa wapiganaji.
Mamia ya watu wameuwawa nchini Burundi, tangu Rais Pierre Nkurunziza kuamua kuania muhula
Timu ya Taifa ya vijana wa Tanzania
wa chini ya miaka 17 Serengeti Boys siku ya Jumamosi itacheza na
Malaysia kwenye mechi yao ya mwisho ya kundi wakisaka ushindi ili
kutinga fainali ya 2016 AIFF Youth Cup huko Tilak Maidan Stadium, Vasco,
Goa nchini India.
Tanzania mpaka sasa imeshacheza mechi 3 na kuifunga India 3-1 na kutoka Sare na USA 1-1 na kisha South Korea 1-1.
Ili kutinga Fainali Serengeti Boys wanapaswa kuifunga Malaysia ambayo imetoka sare na India na kubondwa na South Korea 3-0.
Ikiwa
Serengeti Boys wataifunga Malaysia basi njia yao itakuwa nyeupe ikiwa
pia Jumamosi mechi kati ya Marekani na Korea Kusini itaisha kwa timu
moja kushinda.
2016 AIFF Youth Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na
shirikisho la soka la India, All India
Shirika la Afya Duniani (WHO)
limesema aina ya virusi vya Zika ambavyo vimekuwa vikisababisha watoto
kuzaliwa na vichwa vidogo vimegunduliwa Afrika kwa mara ya kwanza.
Virusi hivyo vimesababisha taharuki nchi za Amerika Kusini, na hasa Brazil.
Virusi hivyo vilipatikana katika visiwa vya Cape Verde.
Jina la virusi hivyo linatokana na msitu wa Zika, Uganda ambapo virusi hivyo vilitambuliwa kwa
LIKE PAGE YETU FACEBOOK BOFYA HAPA Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na
Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa
kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa ni kuwa huo
unaweza kuwa anguko la King Kiba badala ya kuwa neema..
Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony
Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music
Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa
ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki
ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi
inaongezwa kunogesha habari..
LIKE AG YETU HAPA FACEBOOK Basi
la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake
akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita
basi hilo
Ajali hiyo imetoke leo katika eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.
Chelsea na Tottenham wamepigwa faini
kutokana na mashtaka matatu ya kushindwa kuwadhibiti wachezaji wao
katika sare ya 2-2 katika uwanja wa Stamford Bridge.
Chelsea
watalazimika kulipa pauni 375,000 baada ya kukiuka sheria za shirikisho
la soka nchini Uingereza kuhusu makabiliano ya wengi ikiwa ni mara ya
nne tangu mwezi Novemba 2014.
Spurs wamepigwa faini ya pauni 225,000 ikiwa ni kisa chao cha tatu kutokea.Mechi hiyo ilikuwa na kadi 12 za manjano .
Mapema
mwezi huu mchezaji wa Spurs Mousa Dembele alipigwa marufuku kwa mechi
sita kutokana na ghasia katika mechi hiyo hiyo ambayo ambayo ilimaliza
matumaini ya Tottenham kushinda ligi ya Uingereza.
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Dembele mwenye umri wa miaka 28 alionekana akimgusa jicho
Mashirika ya kutetea haki za
kibinadamu nchini Kenya yameshutumu maafisa wa polisi wakisema walitumia
nguvu kupita kiasi kukabili waandamanaji jijini Nairobi Jumatatu.
Tume
ya Taifa ya Haki za Kibinadamu (KNHRC) imesema imeshangaza sana na
video na picha ambazo zinaenea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya
habari kuhusu yaliyojiri wakati wa maandamano hayo.
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
Unaweza pia ukabonyeza picha hii kuona video kamli usiache kusubscribe nasi youtube mtu wangu
Mganga wa Kienyeji Hamza Saidi,(40) anashikiliwa na Jeshi la Polisi
mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mgonjwa aliyekwenda kutibiwa masikio
kwenye ofisi ya mganga huyo.
Mganga huyo, Mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji anatuhumiwa kumbaka msichana wa miaka 20, na kumsababishia maumivu makali.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma SACP
Fredinandi Mtui alisema, mganga huyo alifanya tukio hilo, Mei 15 majira
ya saa tano asubuhi.
Inadaiwa kuwa msichana alifika nyumbani kwa mganga huyo akiwa na lengo
la kutibiwa masikio lakini mganga alimwambia ili dawa hiyo ifanye kazi
ni lazima afanye naye mapenzi kwanza.
Tanzania ni miongoni mwa nchi 25
duniani ambazo zitakuwa na watu wengi maeneo ya pwani walio katika
hatari ya kuathiriwa na mafuriko kutokana na mabadiliko ya tabia nchi
kufikia mwaka 2060.
Shirika la Christian Aid la Uingereza, kwenye
ripoti yake, linasema Tanzania itakuwa na watu 14 milioni katika pwani
yake ambao watakuwa katika hatari ya kuathiriwa na mafuriko.
Kufikia mwaka 2000 idadi hiyo ilikuwa 600,000 pekee lakini kufikia mwaka 2030 watakuwa wamefikia 2.8 milioni.
Afrika
Mashariki, taifa jingine ambalo limo kwenye orodha ya nchi 25 ni
Somalia, ambayo itakuwa
LIKE PAGE YETU HAPA HUTAPITWA NA HABARI YETU FACEBOOK
Jopo la madaktari linataka kujaribu kurudisha uhai kwa watu wanaofariki kutokana na matatizo ya ubongo baada ya majaribio ya muda mrefu sasa wamekabidhiwa leseni ya kufanyia majaribio kufanya kitu kama hicho
bonyeza picha hii njoo youtube subscribe hutapitwa na habari za matukio yetu kwa njia ya video
uwezekano wa kurudisha watu wanao kufa kutokana na matatizo ya ubongo hicho ndicho shirika la bioquark linataka kukifanya. Bodi ya afya nchini marekani imekubari ombi la shirika hilo na sasa shirika limejikita katika kufanya utafiti na majaribio kurudisha uhai wa mtu aliyefariki kutokana na matatizo ya ubonngo kama vile kansa na salatani ya ubongo. Utfiti huo umepewa jina la ReAnima
project. Kutokkana na swala hilo kampuni hiyo iko mbioni kufanyia utafiti maiti 20 iliyokufa
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA Ni hit single ya mkali kutokea Tiptop Connection na ametimiza ahadi kama alivyosema, director ni Mtanzania Adam Juma… ukishaitazama hii video hapa chini usiache kutoa comment yako maana Madee atapita kujua raia wake wameipokeaje
i Mrembo mwenye headlines zake nyingi Bongoflevani, Shilole a.k.a Shishi Baby kwa kushirikiana na Barnaba wanatualika kutazama video yao mpya‘Say My Name’ na ukishaitazama uiache comment yako hapa chini Shilole na Barnabara watapita baada kuzisoma
MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’
amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash
hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda
wa miezi sita.
Gigy mefunguka haya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kwenye mapozi ya
kimahaba na Gardner kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Giggy alisema mtangazaji huyo amekuwa mtu wa muhimu kwake kwa sasa.
“Kwani kuna tatizo nikiwa na Gardner? Yule ni mtu muelewa na sahihi
kwangu, ninafikiri kupitia yeye nitajifunza mambo mengi na kuzidi
kufanikiwa kwa sababu yeye ni moja kati ya watu ambao wako kwenye tasnia
ya burudani kwa muda mrefu,” alisema Giggy Money.
LIKE PAGE YETU HAPA USIPITWE NA STORY TENA FACEBOOK
Boneza picha subscribe nasi utube upate habari kwa njia ya video \
Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa
uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia
suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.
Uamuzi huo umefikiwa na wakazi zaidi ya 200 wakisema uvaaji huo ni kinyume na mila na desturi za Kiafrika.
Vazi lingine lisilotakiwa kwa wanawake ni kuvaa suruali pamoja na vijana kunyoa ndevu mitindo isiyofaa.
Mkutano huo ulioandaliwa na wazee wa kimila jamii ya Meru (Wachili) na
Wamasai (Malaigwani), uliwavutia wananchi wengi ambao walihudhuria.
Sambamba na uamuzi huo utakaokuwa unafanyika hadharani, pia adhabu hiyo
itawahusu wezi wa mali na wanaopenda kucheza pool table wakati wa kazi.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Wilbrod Mutafungwa alipinga uamuzi huo
akisema kwa maazimio hayo ya kuwaadhibu watuhumiwa kwa kuwachapa viboko
ni kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume na sheria.
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
Unaweza bonyeza picha ukacheka mwenyewe video ya huyu mtoto na udaku huu usiache kulike page yeu na kusubscribe nasi youtube
LEO stand ya mabasi nikiwa naenda kumsindikiza rafiki yangu....nikamuona
binti mrembo saana! Aliyevaa nguo za thamani kubwa sana yaani
ukimuangalia huna haja ya kujiuliza mara mbili kuwa huyu ni tajiri au
mtoto wa tajiri flani ...basi yule binti mrembo alishuka katika gari ya
bei mbaya Range Rover SUV huku akiwa analia...na akiwa amempigia magoti
mkaka mmoja mchafu aliyedhoofu sana inaonyesha labda alikuwa hapati
chakula yaani ukimuangalia haraka huwezi
Mwanamume mmoja katika mji wa
Bungoma, Magharibi mwa Kenya ameshangaza wengi baada ya kudandia
helikopta ambayo imepaa na kuondoka naye.
Helikopta hiyo ilikuwa
imesafirisha mwili wa mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma aliyeuawa kwa
kupigwa risasi jijini Nairobi wiki iliyopita, vyombo vya habari nchini
Kenya vinasema.
Video zinazosambaa mtandaoni zinaonesha helikopta
hiyo ikipaa juu angani kutoka uwanja wa Posta, mwanamume huyo akiwa
amejishikilia kwenye vyuma vya helikopta hiyo.
Taarifa zinasema baadaye ndege imetua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Bungoma na mwanamume huyo akapelekwa hospitalini.
Like page yetu ya FACEBOOK hapa hutapitwa na habari zetu kamwe
unaweza pia bonyeza picha yoyote hapo kujua nini kiliendeleaa kwa njia ya video usiache kusubscribe nasi youtube mtu wetu
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan,
mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza
habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo
Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Risasi Jumamosi limepewa mchapo.
PICHA ZADHIHIRISHA
Hiyo imedhihirika hivi karibuni baada ya kuvuja kwa picha mpya za wawili
hao wakiwa chumbani katika mapozi ya kimahaba huku wamevaa mavazi ya
kulalia (angalia picha Uk. 1).
Picha moja wapo ilimuonesha Dimpoz akiwa amemwekea miguu Wema mgongoni
huku nyingine
FACEBOOK PAGE
KLABU ya Yanga imepanga kufanya mabadiliko ya kulitumia basi lao ambalo
walipewa na wadhamini wao Kampuni ya Bia (TBL) ambapo litakuwa maalum
kwa mashabiki wao badala ya kutumiwa na wachezaji wao.
Hayo yamesemwa na Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro alipokuwa kwenye
uzinduzi wa Tawi la Yanga Uswazi Mbeya eneo la Sokomatola juzi Jumatano
wakati Yanga ilipokuwa jijini hapa kucheza na Mbeya City katika mechi ya
Ligi Kuu Bara.
Muro amesema uamuzi huo wameufikiria kwa kuwa wamekuwa wakitumia zaidi
usafiri wa ndege ambao umezaa jina la wao kuitwa wa kimataifa pamoja na
kushiriki michuano ya nje.
FACEBOOK
unaweza bonyeza hii picha kujiuga nasi youtube
Mkuu
wa Idara ya Habari na Mawasiliano Jerry Muro amesema, Ndanda FC
itakapoutumia Uwanja wa Taifa itamaanisha kwamba Ndanda FC watakuwa
nyumbani na hata mapato katika mgao asilimia kubwa ataipata Ndanda hivyo
haoni sababu ya wengine kuanza kuongea kwa kuona ni makosa katika
mchezo huo.
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na
Uingereza Danny Welbeck hatocheza kwa miezi tisa baada ya kufanyiwa
upasuaji kutokana na jeraha la goti.
Welbeck mwenye umri wa miaka
25 alipata jeraha la mguu wake wa kulia wakati timu yake ilipopata sare
ya 2-2 dhidi ya Manchester City siku ya jumapili na hatocheza mchuno wa
Euro 2016.
Klabu yake imesema kuwa ukaguzi uliofanywa umebaini
kwamba aliumia vibaya na kwamba sio jeraha la
Klabu ya West Ham United iliaga
uwanja wake wa nyumbani wa Upton Park kwa kuvuruga juhudi za Manchester
United za kutaka kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumanne.
Ilikuwa mechi ya mwisho kuchezewa uwanja huo ambao umetumiwa na West Ham kwa miaka 112 kabla ya kuhamia uwanja wa Olimpiki.
Kwenye mechi hiyo ya kusisimua, West Ham walichomoza na ushindi wa 3-2.
Vurugu zilitokea kabla ya mechi.
Vijana
wa Louis van Gaal walifahamu kwamba ushindi dhidi ya klabu hiyo na
baadaye ushindi dhidi ya Bournemouth vingewahakikishia nafasi katika
ligi kuu ya klabu Ulaya.
FOLLOW US ON FACEBOOK BONYEZA HAPA
Bonyeza picha kuiona na kuskia maelezo kuhusu video mpya ya chura wa snura Mama mmoja raia wa Australia ametoa picha za mapacha watano aliowazaa mwezi Januari.
Kim Tucci wa miaka 26 alichukua dadika mbili tu kujifungua wanawe hao, wasichana wanne na mvulana mmoja.
Wote walitungwa kawaida, hakutumia matibabu yeyote ya uzazi.
FACEBOOK
Unaweza pia bonyeza picha hii kujiunga na BZTV ONLINE ili usipitwe na matukio kwa njia ya video
Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India.
Mwanamke
huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la
mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na
kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa
mwanamke mwingine.
Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.
FACEBOOK Wanasayansi wanadai kuunda aina ya ngozi inayoweza kubandikwa
juu ya mwili wa mtu kupunguza muonekano wa mikunjo ya ngozi mwilini na
ngozi inayopwaya chini ya macho kutokana na uzee.
Ni aina ya
maji maji mtu anayopaka mwilini alafu inaachwa kukauka ambapo baadaye
husihia kuwa ngozi nyembamba iliyo mithili ya 'ngozi ya ujana, Nature
Materials inaarifu baada ya kufanya majiribio kadhaa madogo.
Kwa sasa inafanyiwa majaribio ya kuuzwa kama bidhaa ya urembo.
Lakini wanasayansi Marekani wanasema "ngozi ya pili " huenda baadaye ikaweza kutumika kutengeneza dawa na kinga dhdi ya jua. Ngozi ya pili
FACEBOOK Kipa
wa timu ya taifa ya Cameroon upande wa wanawake ameaga dunia baada ya
kuzirai wakati wa mazoezi, Shirikisho la soka la Cameroon limesema.Jeanine
Christelle Djomnang,mwenye umri wa miaka 26, aliuguwa kabla ya mechi ya
Femina Stars Ebolowa kusini mwa Cameroon Jumapili na alifariki
akipelekwa hospitalini.
Shirikisho hilo linasema taarifa za
awali zinaashiria alikufa kutokanana mshtuko wa moyo lakini sasa
linasubiri taarifa rasmi ya madaktari.
Kundi moja la maafisa wa polisi
limefanya maandamano karibu na tamasha lililofanyika katika mji wa
nyumbani wa nyota wa muziki Beyonce huko Houston.
Wanachama wa
muungano wa polisi na Sherrif walisimama mbali na uwanja wa soka na
kuelekeza mwangaza wa bluu katika ukumbi wa tamasha hilo.
Walikuwa wanapinga kanda ya video ya Beyonce ambayo wanasema inawaponza polisi.
FACEBOOK
Akihojiwa na Mtangazaji Yvonne Kamuntu kwenye Azam News, Mchumi mbobezi
hapa nchini Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema uhaba wa sukari uliopo
kwa sasa nchini umesababishwa na Rais John Magufuli mwenyewe kwa kuzuia
sukari ya nje kutoingizwa Nchini, ilhali viwanda vyetu havikidhi idadi
inayohitajika katika uzalishaji wake.
Bonyeza hapa kulike page yetu usipitwe na habari zetu FACEBOOK
Label ya The industry inayo ongozwa na Navy Kenzo (Nahreel na Aika)
wameongeza wasanii wapya kwenye Label hiyo na kuwatambulisha leo hii
Rosaree huyu ni mwanadada ambaye anakipaji cha kurap ambaye anajiita
Rap Goddess akiwahadi mashabiki wa muziki nchini wawe tayari kusikia
ukali wake kwenye gemu ya kurap.
Msanii mwingine kujiunga na label hiyo ni Selene huyu ni mwanadada
ambaye anaimba,naye amepata fursa ya kuweza kujiunga na kundi hili la
the Industry.
Label hii pia hakuangalia tu wanadada warembo bali pia waliweza
kumchagua Kijana anayenda kwa jina la willdad ambeye yeye anakipaji cha
kucheza na kuimba kwa pamoja.
Like page yetu hapa FACEBOOK
Bonyeza picha kujiunga na BZTVONLINE D
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri kufungwa kwa kamera
maalumu za CCTV kwenye nyumba zote za kulala wageni na hoteli ili
kuimarisha ulinzi.
Ushauri huo wa Mwita unakuja baada ya siku sita kupita , kutokea kwa tukio la mwanamke mmoja kufariki dunia akiwa gesti.
Mwita ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vijibweni (Chadema), alisema
mamlaka husika wakiwamo wamiliki wa hoteli na nyumba hizo waliangalie
suala hilo kwa jicho la tatu kwani litasaidia kwa kiasi kikubwa kuzuia
LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
Bonyeza picha hii kujua kinacho endelea katika page za udaku
Mke
wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana
nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita
amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa nilipo kichwa
kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.
Leo nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nifanye
nae mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku
tatu mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tatu anatarajia kuingia
kwenye siku zake so ntapata mapumzo ya kutosha.
FACEBOOK
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa inafanya uchunguzi dhidi ya
tuhuma zinazowahusu wafanyabiashara wa sukari nchini kwa kuficha bidhaa
hiyo ili kusababisha upungufu katika soko na hivyo kuleta usumbufu kwa
jamii ya watanzania wanaohitaji bidhaa hiyo kwa matumizi jambo ambalo
limesababisha kupanda kwa bei hadi kufikia shilingi elfu nne kwa kilo
moja ya sukari.
LIKE US ON FACEBOOK
Bofya picha hii kujiunga na bztv online Mpiganaji wa kundi la FDLR
Wakuu wa Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo wanasema wamemkamata naibu kamanda wa kundi la
wapiganaji, linalohusishwa na mauaji makubwa ya Rwanda ya mwaka 1994.
Msemaji
wa serikali, alieleza kuwa Jenerali Leopold Mujyambere, wa kundi la
Rwanda la FDLR,
Like page yetu hapa usipitwe na story yoyote FACEBOOK
BONYEZA picha hii kujiunga na bztv uone video za midoli zaidi ya hii
Maafisa wa polisi nchini Indonesia wamekipokonya kijiji kimoja
mwanasesere anayetumika kufanyia tendo la ngono baada ya wakaazi wa eneo
hilo kudhania kwamba alikuwa malaika.
Photos: World’s Longest Car|Longest Limousine -The American Dream
The American Dream Limo is owned by car collector and designer Jay
Ohrberg of Burbank,California,USA.It is considered as the world longest
Car.
Jay Ohrberg designes this monster limo himself and now hires it out
through his hire car company.This incredible limo is currently in the
Guinness Book of World Records as the longest car
Like page yetu hapa SWAXBZ usipitwe na habari zetu kila siku
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya soka barani Ulaya huenda
utakuwa umekutana na taarifa za kusikitisha kwa taifa la Cameroon, usiku
wa May 6 2016 Cameroon na Afrika kwa ujumla ilipata taarifa za
kushtusha, baada ya kupokea taarifa za kifo cha kiungo wa kimataifa wa
Cameroon aliyekuwa anaicheze Dinamo Bucuresti Patrick Ekeng.
Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza orodha ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora duniani ambayo imetolewa Ijumaa.
Kwenye
orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko kwenye nafasi ya pili
ikifwatiwa na Chile.Ujerumani ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania na Brazil
inachukua nafasi ya saba.
Timu ya bara la Afrika inayochukua
nafasi nzuri kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo
Like page yetu ya facebook hapa SWAXBZ usipitwe na habari kila siku
kiwa zimepita siku kadhaa toka msanii Shilole afunguke kwenye kipindi
cha 5Selekt kinachorushwa kwenye ting'a namba moja kwa vijana EATV kuwa
hakuna msanii wa bongo fleva mzuri zaidi yake, mashabiki
Bonyeza picha hii kuona baadhi ya clips za shilole
wameamua kutoa ya mioyoni.
Mashabiki wamemchana Shilole na kusema kuwa yeye si mwanamke mzuri
katika wasanii wanaofanya bongo fleva huku wakisema kuwa uzuri wake
hausofei kabisa kwa msanii Vanessa Mdee.
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakimpa madongo kuwa mwanamke mzuri hawezi
kujianika kama yeye, huku wengine wakisema kuwa mwanamke mzuri hawezi
kuwa yeye kutokana na tabia yake ya kutojiheshimu na wengine wakisema
kuwa yeye hana lolote na wa kawaida kabisa.
like page yetu facebook hapa SWAXBZ ili usipitwe na kila story inayotufikia
Karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri ambapo tunajadili
changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye
maisha.
Leo tutajadili changamoto ya ukosekanaji wa mitaji na jinsi ya kuipata.
Kabla hatujaanza kujadili changamoto hii naomba niweke maoni ya wasomaji
waliotuandikia kuhusu hili;
Mimi ni graduate wa diploma ya uhandisi magari, kila nikifikiria kuanza
kuijajiri nashindwa kutokana na kipato cha kuanzia biashara.. je
nifanyeje niweze kupata kipato cha kujiajiri?