Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na
Uingereza Danny Welbeck hatocheza kwa miezi tisa baada ya kufanyiwa
upasuaji kutokana na jeraha la goti.
Welbeck mwenye umri wa miaka
25 alipata jeraha la mguu wake wa kulia wakati timu yake ilipopata sare
ya 2-2 dhidi ya Manchester City siku ya jumapili na hatocheza mchuno wa
Euro 2016.
Klabu yake imesema kuwa ukaguzi uliofanywa umebaini
kwamba aliumia vibaya na kwamba sio jeraha la
Klabu ya West Ham United iliaga
uwanja wake wa nyumbani wa Upton Park kwa kuvuruga juhudi za Manchester
United za kutaka kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumanne.
Ilikuwa mechi ya mwisho kuchezewa uwanja huo ambao umetumiwa na West Ham kwa miaka 112 kabla ya kuhamia uwanja wa Olimpiki.
Kwenye mechi hiyo ya kusisimua, West Ham walichomoza na ushindi wa 3-2.
Vurugu zilitokea kabla ya mechi.
Vijana
wa Louis van Gaal walifahamu kwamba ushindi dhidi ya klabu hiyo na
baadaye ushindi dhidi ya Bournemouth vingewahakikishia nafasi katika
ligi kuu ya klabu Ulaya.
FOLLOW US ON FACEBOOK BONYEZA HAPA
Bonyeza picha kuiona na kuskia maelezo kuhusu video mpya ya chura wa snura Mama mmoja raia wa Australia ametoa picha za mapacha watano aliowazaa mwezi Januari.
Kim Tucci wa miaka 26 alichukua dadika mbili tu kujifungua wanawe hao, wasichana wanne na mvulana mmoja.
Wote walitungwa kawaida, hakutumia matibabu yeyote ya uzazi.
FACEBOOK
Unaweza pia bonyeza picha hii kujiunga na BZTV ONLINE ili usipitwe na matukio kwa njia ya video
Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India.
Mwanamke
huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la
mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na
kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa
mwanamke mwingine.
Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.
FACEBOOK Wanasayansi wanadai kuunda aina ya ngozi inayoweza kubandikwa
juu ya mwili wa mtu kupunguza muonekano wa mikunjo ya ngozi mwilini na
ngozi inayopwaya chini ya macho kutokana na uzee.
Ni aina ya
maji maji mtu anayopaka mwilini alafu inaachwa kukauka ambapo baadaye
husihia kuwa ngozi nyembamba iliyo mithili ya 'ngozi ya ujana, Nature
Materials inaarifu baada ya kufanya majiribio kadhaa madogo.
Kwa sasa inafanyiwa majaribio ya kuuzwa kama bidhaa ya urembo.
Lakini wanasayansi Marekani wanasema "ngozi ya pili " huenda baadaye ikaweza kutumika kutengeneza dawa na kinga dhdi ya jua. Ngozi ya pili
FACEBOOK Kipa
wa timu ya taifa ya Cameroon upande wa wanawake ameaga dunia baada ya
kuzirai wakati wa mazoezi, Shirikisho la soka la Cameroon limesema.Jeanine
Christelle Djomnang,mwenye umri wa miaka 26, aliuguwa kabla ya mechi ya
Femina Stars Ebolowa kusini mwa Cameroon Jumapili na alifariki
akipelekwa hospitalini.
Shirikisho hilo linasema taarifa za
awali zinaashiria alikufa kutokanana mshtuko wa moyo lakini sasa
linasubiri taarifa rasmi ya madaktari.
Kundi moja la maafisa wa polisi
limefanya maandamano karibu na tamasha lililofanyika katika mji wa
nyumbani wa nyota wa muziki Beyonce huko Houston.
Wanachama wa
muungano wa polisi na Sherrif walisimama mbali na uwanja wa soka na
kuelekeza mwangaza wa bluu katika ukumbi wa tamasha hilo.
Walikuwa wanapinga kanda ya video ya Beyonce ambayo wanasema inawaponza polisi.
FACEBOOK
Akihojiwa na Mtangazaji Yvonne Kamuntu kwenye Azam News, Mchumi mbobezi
hapa nchini Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema uhaba wa sukari uliopo
kwa sasa nchini umesababishwa na Rais John Magufuli mwenyewe kwa kuzuia
sukari ya nje kutoingizwa Nchini, ilhali viwanda vyetu havikidhi idadi
inayohitajika katika uzalishaji wake.
Bonyeza hapa kulike page yetu usipitwe na habari zetu FACEBOOK
Label ya The industry inayo ongozwa na Navy Kenzo (Nahreel na Aika)
wameongeza wasanii wapya kwenye Label hiyo na kuwatambulisha leo hii
Rosaree huyu ni mwanadada ambaye anakipaji cha kurap ambaye anajiita
Rap Goddess akiwahadi mashabiki wa muziki nchini wawe tayari kusikia
ukali wake kwenye gemu ya kurap.
Msanii mwingine kujiunga na label hiyo ni Selene huyu ni mwanadada
ambaye anaimba,naye amepata fursa ya kuweza kujiunga na kundi hili la
the Industry.
Label hii pia hakuangalia tu wanadada warembo bali pia waliweza
kumchagua Kijana anayenda kwa jina la willdad ambeye yeye anakipaji cha
kucheza na kuimba kwa pamoja.
Like page yetu hapa FACEBOOK
Bonyeza picha kujiunga na BZTVONLINE D
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri kufungwa kwa kamera
maalumu za CCTV kwenye nyumba zote za kulala wageni na hoteli ili
kuimarisha ulinzi.
Ushauri huo wa Mwita unakuja baada ya siku sita kupita , kutokea kwa tukio la mwanamke mmoja kufariki dunia akiwa gesti.
Mwita ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vijibweni (Chadema), alisema
mamlaka husika wakiwamo wamiliki wa hoteli na nyumba hizo waliangalie
suala hilo kwa jicho la tatu kwani litasaidia kwa kiasi kikubwa kuzuia
LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
Bonyeza picha hii kujua kinacho endelea katika page za udaku
Mke
wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana
nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita
amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa nilipo kichwa
kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.
Leo nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nifanye
nae mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku
tatu mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tatu anatarajia kuingia
kwenye siku zake so ntapata mapumzo ya kutosha.
FACEBOOK
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa inafanya uchunguzi dhidi ya
tuhuma zinazowahusu wafanyabiashara wa sukari nchini kwa kuficha bidhaa
hiyo ili kusababisha upungufu katika soko na hivyo kuleta usumbufu kwa
jamii ya watanzania wanaohitaji bidhaa hiyo kwa matumizi jambo ambalo
limesababisha kupanda kwa bei hadi kufikia shilingi elfu nne kwa kilo
moja ya sukari.
LIKE US ON FACEBOOK
Bofya picha hii kujiunga na bztv online Mpiganaji wa kundi la FDLR
Wakuu wa Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo wanasema wamemkamata naibu kamanda wa kundi la
wapiganaji, linalohusishwa na mauaji makubwa ya Rwanda ya mwaka 1994.
Msemaji
wa serikali, alieleza kuwa Jenerali Leopold Mujyambere, wa kundi la
Rwanda la FDLR,
Like page yetu hapa usipitwe na story yoyote FACEBOOK
BONYEZA picha hii kujiunga na bztv uone video za midoli zaidi ya hii
Maafisa wa polisi nchini Indonesia wamekipokonya kijiji kimoja
mwanasesere anayetumika kufanyia tendo la ngono baada ya wakaazi wa eneo
hilo kudhania kwamba alikuwa malaika.
Photos: World’s Longest Car|Longest Limousine -The American Dream
The American Dream Limo is owned by car collector and designer Jay
Ohrberg of Burbank,California,USA.It is considered as the world longest
Car.
Jay Ohrberg designes this monster limo himself and now hires it out
through his hire car company.This incredible limo is currently in the
Guinness Book of World Records as the longest car
Like page yetu hapa SWAXBZ usipitwe na habari zetu kila siku
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya soka barani Ulaya huenda
utakuwa umekutana na taarifa za kusikitisha kwa taifa la Cameroon, usiku
wa May 6 2016 Cameroon na Afrika kwa ujumla ilipata taarifa za
kushtusha, baada ya kupokea taarifa za kifo cha kiungo wa kimataifa wa
Cameroon aliyekuwa anaicheze Dinamo Bucuresti Patrick Ekeng.
Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza orodha ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora duniani ambayo imetolewa Ijumaa.
Kwenye
orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko kwenye nafasi ya pili
ikifwatiwa na Chile.Ujerumani ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania na Brazil
inachukua nafasi ya saba.
Timu ya bara la Afrika inayochukua
nafasi nzuri kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo
Like page yetu ya facebook hapa SWAXBZ usipitwe na habari kila siku
kiwa zimepita siku kadhaa toka msanii Shilole afunguke kwenye kipindi
cha 5Selekt kinachorushwa kwenye ting'a namba moja kwa vijana EATV kuwa
hakuna msanii wa bongo fleva mzuri zaidi yake, mashabiki
Bonyeza picha hii kuona baadhi ya clips za shilole
wameamua kutoa ya mioyoni.
Mashabiki wamemchana Shilole na kusema kuwa yeye si mwanamke mzuri
katika wasanii wanaofanya bongo fleva huku wakisema kuwa uzuri wake
hausofei kabisa kwa msanii Vanessa Mdee.
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakimpa madongo kuwa mwanamke mzuri hawezi
kujianika kama yeye, huku wengine wakisema kuwa mwanamke mzuri hawezi
kuwa yeye kutokana na tabia yake ya kutojiheshimu na wengine wakisema
kuwa yeye hana lolote na wa kawaida kabisa.
like page yetu facebook hapa SWAXBZ ili usipitwe na kila story inayotufikia
Karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri ambapo tunajadili
changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye
maisha.
Leo tutajadili changamoto ya ukosekanaji wa mitaji na jinsi ya kuipata.
Kabla hatujaanza kujadili changamoto hii naomba niweke maoni ya wasomaji
waliotuandikia kuhusu hili;
Mimi ni graduate wa diploma ya uhandisi magari, kila nikifikiria kuanza
kuijajiri nashindwa kutokana na kipato cha kuanzia biashara.. je
nifanyeje niweze kupata kipato cha kujiajiri?
SWAXBZ Msichana asiye na mikono ashinda shindano la muandiko bora Marekani Bonyeza picha hii ili habari yoyote isikupite bofya hapa
Msichana wa miaka saba aliyezaliwa bila mikono ameshinda shindano la muandiko mzuri nchini Marekani.
Anaya Ellick kutoka Chesapeake,Virginia hatumii viungo vya kumsaidia wakati anapoandika.
Wakati anapoandika yeye husimama huku akishikilia kalamu yake katika mikono.
Mwalimu wake mkuu Tracy Cox kutoka shule ya Greenbrier Christian amemtaja kuwa mtu wa mfano mwema.
Baada ya jana serikali kupitia Wizara ya
Habari kutoa agizo la kumfungia Snura kutojihusisha na shughuli za
muziki kutoka wimbo wake na kutojisajili Baraza la Sanaa Taifa (BASATA),
leo mwanamuziki huyo na meneja wake HK wameomba radhi kwa umma katika
Ukumbi wa Habari Maelezo, jijini Dar.
n Dawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida huenda ikategua kitendawili cha kurefusha maisha na kuzuia uzee. Hii
ni kwa mujibu wa utafiti mpya, ambao ulibainisha kwamba viwango vya
chini vya dawa aina ya Lithium vilisaidia kurefusha maisha ya nzi
waliowekwa kwenye
Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye
kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata
mawasiliano naye kabisa ili kumfurahisha Meek Mill ambaye ni boy friend
wake.
Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata
mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja
ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015 beef kati ya Meek na Drake
lilipoanza. Pia mpaka sasa
SWAXBZ
Mtangazaji
wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji
mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona
si sawa.
Anasema redio za mikoani ndizo zimekuwa zikiwapa support bila kujali
kuwa wanatoka Clouds lakini redio karibu zote za Dar zimekuwa zikibania
nyimbo zao.
Diva ambaye anaandaa album yake, The Life of The Diva, amesema kuwa hicho ni kitu ambacho angependa kuona kinafutika.
Mamaake aliyekuwa mwanamuziki wa mtindo wa Rap Tupac Shakur ,Afeni Shakur amefariki akiwa na umri wa miaka 69.
Kaunti ya California imethibitisha kifo chake kupitia ujumbe wa Twitter.Hakuna maelezo zaidi yaliotolewa.
Alice
Faye Williams,alibadilisha jina lake na kuitwa Shakur akiwa mtu mzima
alipokuwa mwanaharakati wa kisiasa na kujiunga na vuguvugu la Black
Panther.
Alikuwa na mimba ya Tupac mwaka 1971 alipokamatwa na
kufungwa jela pamoja na wanachama
Uzinduzi wa basi la wanawake pekee
katika mji mmoja wa China umewakasirisha wanaume wa taifa hilo na kuzua
mjadala mkali katika mitandao ya kijamii.
Huduma hiyo mpya
itatolewa wakati wa asubuhi na wakati wa shughuli nyingi katika mji wa
mashariki wa Zhengzhou katika juhudi za kupunguza visa vya wanawake
kusumbuliwa na wanaume kulingana na gazeti la Dahe daily.
Kampuni
hiyo ya basi itawalinda wanawake dhidi ya kunyanyaswa wakati wanapovaa
nguo nyepesi
Maelfu ya waombolezaji walijitokeza
kuadhimisha misa ya wafu kwa heshima ya mwanamuziki nyota wa muziki wa
Soukus na Rhumba raia wa Jamhuri ya Congo Papa Wemba.
Waomboloezaji
walipiga foleni ilikupata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa
msanii huyo nguli aliyeaga dunia juma lililopita alipokuwa akiwatumbuiza
mashabiki wake huko Abidjan Ivory Coast.
Mwili wake umewekwa katika majengo ya bunge mjini Kinshasa.
Hakimu mmoja nchini Brazili amefunga
mawasiliano ya mtandano wa simu kwa njia ya whatsapp kwa saa 72.Hakimu
huyo Marcel Montalvao amesema kampuni inayomiliki mtandao huo imeshindwa
kusaidia kutoa taarifa katika kesi ya uhalifu.
Mwezi
Machi,Montalvao aliamuru kukamatwa kwa afisa mwandamizi wa Facebook
katika nchi za Kilatini bwana Diego Dzoran baada ya kukataa kutoa
ushirikiano katika uchunguzi dhidi ya dawa za
Wakati ngoma za ‘Bado’ ya Harmonize ft Diamond inaendelea kufanya vizuri na ‘Kwetu’ ya Raymond inaendelea kufanya vizuri, leo Mei 2 2016 Harmonize na Raymondwameingia kwenye headlines baada ya ngoma yao waliofanya pamoja ya ‘Penzi’ kuvuja, millardayo.com imeinasa na kukusogezea track hiyo
LAYIII Watafiti wa University of Pittsburgh School of Medicine walifanya
utafiti kuhusu madhara ya matumizi ya mitandao ya kijamii katika mood
ya watumiaji.
Utafiti huo ulibaini kuwa kadri vijana wanavyotumia mitandao hiyo zaidi,
ndivyo wanavyopata tatizo la sonona ambalo kitaalam linajulikana kama
depression, au kukosa uchangamfu na furaha.
“Kwasababu mitandao ya kijamii imekuwa kitu kilichojiweka kwenye
mawasiliano ya binadamu, ni muhimu kwa wauguzi kuongea na vijana kuhusu
kutambua uwiano unaotakiwa kuwepo na kuhimiza matumizi chanya wakati
wakijiondoa kwenye matumizi yenye matatizo,” alisema Brian A. Primack,
M.D., Ph.D., ambaye ni mwandishi mkuu wa utafiti huo.
L
Mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa Tanzania, Master J amesema kuwa
maproducer ndio wanaomiliki beat ila wanawafanyia fair wasanii.
Master J ambaye ni mmiliki wa studio ya MJ Record amefanikiwa kufanya
kazi na wasanii wakongwe wakubwa kwenye muziki wa Bongo Flava lakini pia
alistaafu kazi hiyo ya kuandaa muziki tangu mwaka 2005 na kumuachia
Marco Chali akifanya kazi hiyo.
Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Master J
alisema, ‘Maproducer
Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy ametawazwa mchezaji soka bora wa mwaka na chama cha waandishi wa kandanda Uingereza.
Mshambuliaji
huyo wa Uingereza alipata 36% ya kura zilizopigwa na wanahabari 290 na
kuwashinda wenzake Riyad Mahrez na N'Golo Kante.
Vardy, 29, amefunga mabao 22 Ligi ya Premia msimu huu.
Aidha, alivunja rekodi kwa kufunga mabao kila mechi katika mechi 11 mtawalia.
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger
amesema alitarajia mashabiki zaidi waonyeshe kutoridhishwa naye wakati
wa mechi ya Jumamosi dhidi ya Norwich.
Arsenal walishinda 1-0.
Wenger
atatimiza 20 kwenye usukani Arsenal Oktoba mwaka huu lakini mara yake
ya mwisho kushinda ligi ilikuwa 2004 na baadhi ya mashabiki waliinua
mabako ya kusema “wakati wa mabadiliko umefika” uwanjani Emirates.
Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA)
limeshutumiwa mtandaoni kwa kusimulia moja kwa moja matukio
yaliyopelekea kuuawa kwa Osama Bin Laden.
Shirika hilo limekuwa
likiandika ujumbe kwenye Twitter na kusimulia matukio yaliyopelekea
kuuawa kwa kiongozi huyo wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda kana kwamba
yalikuwa yanafanyika
Watu zaidi ya 45 wamefariki kutokana
na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu visiwani Zanzibar katika kipindi
cha miezi miwili, shirika la habari la AP limeripoti.
Shirika hilo la habari limemnukuu afisa wa afya visiwani humo anayesema vifo hivyo vimetokea mwezi Machin a Aprili.
Muhammed
Dahoma, ambaye ni mkurugenzi wa anayeangazia kuzuia maradhi katika
wizara ya afya, anasema watu karibu 3,000 wamelazwa hospitalini baada ya
kuugua.
Ameongeza kuwa serikali ya Zanzibar imechukua hatua kukabiliana na mlipuko huo.
Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kupiga marufuku uuzaji wa chakula na juisi maeneo ya wazi.
Taarifa kutoka visiwani humo zinasema serikali pia imeamuru kufungwa kwa shule zote kwa muda usiojulikana.
Waziri
wa elimu Riziki Pembe Juma, amenukuliwa na shirika la habari la Uchina
la Xinhua, akisema uamuzi huo umetolewa baada ya kubainika kwamba
wanafunzi ni miongoni mwa watu walioathiriwa zaidi na ugonjwa huo.
“Tumejaribu
kudhibiti hali, lakini kwa maslahi ya watoto wetu, watakuwa salama
zaidi wakisalia nyumbani,” amesema kupitia taarifa, kwa mujibu wa
Xinhua.
Ameongeza kuwa baadhi ya shule zimeathirika zaidi kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
Kisiwa cha Unguja ndicho kilichoathirika zaidi ambapo watu 20 wamefariki na 400 kuambukiwa tangu Januari mwaka huu.
Waziri
wa afya Mahmoud Thabit Kombo aliambia gazeti la serikali la Daily News
wiki jana kwamba ikizingatiwa kwamba Zanzibar ni visiwa vidogo na watu
si wengi sana “kipindupindu sasa ni tishio kubwa”.
Mlipuko wa kipindupindu ulianza mwaka jana.
Kufikia Oktoba, visa 140 vya maambukizi vilikuwa vimeripotiwa katika visiwa hivyo kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
Miili ya wakwea milima wawili kutoka Marekani waliotoweka katika milima ya Himalaya miaka 16 iliyopita imepatikana.
Mkwea
milima maarufu duniani Alex Lowe alikuwa akikwea katika kilele cha
Shishapangma chenye urefu wa 8,013m (26,290ft) eneo la Tibet Oktoba 1999
akiwa na mpiga picha David Bridges mkasa ulipotokea.
Wawili hao walifukiwa na maporomoko ya theluji.
LAYIII
Davido ameonekana kwenye kipande cha video kinachomuonyesha akiwa na
watu wake wakimpiga mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni shabiki nchini
Uingereza.
davidoz
Kipande hiko cha video chenye urefu wa dakika moja kimesambaa na kuzua
maswali mengi kwa mashabiki wake kama hilo tukio linaloonekana ni kweli
au ilikuwa ni drama.
Opposition leader Raila Odinga has rubbished Saturday's burning of ivory
stockpiles as a public relations gimmick by the Jubilee Administration
designed to please the international community.
Raila said that the poachers and the kingpins behind the poaching
syndicate in the country enjoyed their freedom ridiculing the burning
spectacle.
LAYIII
JIUNGE NA MAFANIKIO HAPA
Baada ya ukimya wa muda mrefu sana wa wakongwe wa muziki wa Bongo Flava
story zilizopo mtaani ni kuwa Ferooz ni miongoni mwa wasanii wanaotumia
madawa ya kulevya na ndiyo sababu iliyompoteza kwenye reli ya muziki.
Kupitia Enewz Ferooz alikanusha tuhuma hizo na kudai kuwa misongo ya
mawazo ndo huwa inawapelekea wasanii kuingia katika matumizi hayo ya
madawa ya kulevya na kuwataka wengine wasifanye hivyo.