layii
Klabu ya Manchester City imetuma ofa ya paundi milioni 40 kwenda kwa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumnunua kiungo mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling.

Ofa hii inakuwa ya pili toka kwa City
ambao wanaonekana kuwa wamepania katika azma yao ya kumsajili kiungo
huyu ambaye ametokea kuwa moja kati ya wachezaji muhimu kwenye kikosi
cha Liverpool na timu ya taifa ya England katika siku za hivi karibuni.