Thursday 11 June 2015

UKONGWE SI ISSUE BANA EEE KULA KITABU UFANIKIWE NDUGU YANGU CHEKI KALI HIII

LAYIIIII ON SPOT
bibito
Kila mmoja anatambua kuwa elimu haina mwisho na kadri miaka inavyokwenda watu wengi wamekuwa wakitambua nini maana ya elimu huku wengi wao wakiamua
kurudi darasani ili kujiongezea ujuzi zaidi.
bibi
Unamkumbuka yule kikongwe wa miaka 90 Priscilla Gogo huko Kenya aliyekuwa akisoma darasa la tano na wajukuu zake sita? aliaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi duniani kusoma shule ya msingi.
kenya
Priscilla Gogo
Ukiachia stori hiyo wiki chache zilizopita huko Ujerumani kikongwe wa miaka 102 alihitimu PHD yake ya udaktari, Leo tena nimekusogezea ya bibi huyu Doreetha Daniel aliyemaliza degree yake kwenye chuo cha Canyons huko Santa Clarita, Carlifonia.
bibi2
Akiwa na miaka 99 alianza safari yake ya elimu mwaka 2009 na kupania kupata degree yake kabla ya kutimiza miaka 100.
bbll
Bibi huyo amevunja rekodi katika chuo hicho kwa kuwa mwanafunzi mzee zaidi tangu kuanzishwa kwa chuo hicho miaka 45 iliyopita.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

No comments:

Post a Comment

advertise here