LAYIII
JIUNGE NA MAFANIKIO HAPA

Baada ya ukimya wa muda mrefu sana wa wakongwe wa muziki wa Bongo Flava story zilizopo mtaani ni kuwa Ferooz ni miongoni mwa wasanii wanaotumia madawa ya kulevya na ndiyo sababu iliyompoteza kwenye reli ya muziki.
Kupitia Enewz Ferooz alikanusha tuhuma hizo na kudai kuwa misongo ya mawazo ndo huwa inawapelekea wasanii kuingia katika matumizi hayo ya madawa ya kulevya na kuwataka wengine wasifanye hivyo.

Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameoneshwa kustushwa kwake na
taarifa za kifo cha mwanamuziki mwenye asili ya Congo Papa Wemba, huku
akielezea jinsi walivyokutana siku chache zilizopita na kufanya naye
collabo.