Thursday 28 April 2016

SHULE YADIDIMIA BAHARINI HUKO GHANA

LAYIII
 https://www.youtube.com/watch?v=qh7qJX4wtRA
Nyumba nyingi katika pwani ya jimbo la Volta huko Ghana zimeharibiwa na mawimbi katika kipindi cha wiki moja iliopita.
Shule hii ilikuwa mbali na ufukwe wa bahari miaka michache iliopita lakini sasa imedidimia ardhini.
Kulikuwa na wanafunzi 54 katika shule hii lakini sasa hawana madarasa.Hatma ya elimu yao haijulikani.
M'momonyoko unaosababishwa na bahari umeharibu vijiji katika ufukwe wa bahari ya Afrika Magharibi ,na
kutishia jamii zote.
Watu katika jamii wamesema kuwa iwapo hakuna kitakachofanyika miji yao itaangamizwa.
CHUKUA NAFASI YAKO HAPA TENGENEZA PESA NA IQOPTIONS

https://affiliate.iqoption.com/?ref_id=32704

No comments:

Post a Comment

advertise here