Mambo yalivyoharibika Rubani ilibidi aishushe ndege katikati ya barabara na magari yanapita.. Ona pichaz na video
Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu
ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani
haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani
ambaye alijiongea na kuona bora aishushe
LAYIII
Mwanamuziki Dayna Nyange ametoa mtazamo wake wa namna gani wasanii wa nyumbani watawezakuvuka mipaka ya nje ya nchi.
Alipokuwa anafanyiwa mahojiano na mwandishi wa timesfm.co.tz Dayna
alifunguka kwamba ili wasanii waweze kutoboa ni lazima wawe na Wadau wa
nje (connection) kwani wengi wanafanya kazi nzuri lakini kutokuwa na
wadau ndio kikwazo.
“Msanii kama Vanessa Mdee leo hii anaanza kuvuka boda ni kwa sababu
ya connection ya watu wa nje alionao, kama aliweza kufanya kazi na watu
wa MTV sasa kwa nini asifike mbali ukizingatia anafanya kitu kizuri”,
alifafanua Dayna.
Dayna alieleza pia kuhusu ujio wa video ya wimbo wake wa Nitulize
aliomshirikisha Nay wa Mitego kwamba wataanza kuirekodi siku chache
zijazo kwani kuna vitu muhimu wanasubiri kutoka nje ya nchi.
Video hiyo inatarajiwa kurekodiwa hapahapa nyumbani Tanzania, huku
akisita kuweka wazi ni kampuni gani ambayo itatengeneza video hiyo na
kusema watu wasubiri Surprise.
Dayna mwanamuziki huyu mwenye asili ya huko mkoani Morogoro mwisho
alitoa taarifa kwa mashabiki wake wa Tanga wakae sawa kwani anatarajia
kuanza show zake mkoani humo kuanzia sikukuu ya Eid
LAYIII
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
wabunge.
#newsflash CCM inamhitaji Lowassa ili Ishinde uchaguzi- Kingunge
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
LAYIII
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Star wa muziki wa Bongo Flava Nasseb Abdul “Diamond Plutnums”, ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment awards 2015.
Jean Baptiste Mugiraneza ni kiungo wa kimataifa wa Rwanda aliyesajiliwa na klabu ya Azam FC msimu huu akitokea klabu ya APR ya Rwanda kwa mkataba wa miaka miwili. Awali taarifa zilitoka kuwa kiungo huyo atarejea Rwanda kujumuika na kuitumikia timu yake ya APR katika mashindano ya kombe la Kagame yatakayoanza july 18 jumamosi hii.
Ila mambo yamekuwa tofauti baada ya klabu ya APR kumruhusu aichezee Azam FC katika mashindano ya kombe la Kagame. APR ambayo ipo kundi B n
Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fella aka Mkubwa Fella
alionesha mapema kabisa leo July 15 amechukua fomu ya kugombea udiwani
wa katika mtaa wa Kilungule, Wilaya ya Temeke Dar es Salaam.
LAYIII
Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli
lilipata Headlines zenye uzito zaidi baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM
kumtangaza kwamba ndiye Mgombea Urais aliyepitishwa na Chama hicho
kwenye Uchaguzi unaofanyika October 2015.
Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli
lilipata Headlines zenye uzito zaidi baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM
kumtangaza kwamba ndiye Mgombea Urais aliyepitishwa na Chama hicho
kwenye Uchaguzi unaofanyika October 2015.
Yeye pamoja na Mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan
tayari wamefika Dar es Salaam na leo July 14 2015 ilikuwa siku rasmi
ambayo ilitangazwa kwa ajili ya kuwatambulisha Wagom
LAYIII
Hakuna mtu hapendi kuwa na furaha mtu wangu, wapo wanaodhani kuwa ili uwe na furaha ni lazima uwe na pesa.. Mark Zuckerbergni Mwanzilishi na Boss wa Facebook, yeye amesema kitu ambacho kinampa furaha mbali ya kuwa jamaa ni mtu na pesa zake nyingi tu.
Hakuna mtu hapendi kuwa na furaha mtu wangu, wapo wanaodhani kuwa ili uwe na furaha ni lazima uwe na pesa.. Mark Zuckerbergni Mwanzilishi na Boss wa Facebook, yeye amesema kitu ambacho kinampa furaha mbali ya kuwa jamaa ni mtu na pesa zake nyingi tu.
Joaquin “El Chapo” Guzman
ndio jina la mfanyabiashara wa Mexico ambalo limechukua headlines kubwa
kwa siku kama tatu hivi mfululizo, jamaa ni mfanyabiashara mkubwa wa
dawa Kulevya, kile kitendo cha kutoroka kwenye Gereza lenye ulinzi
mkubwa kimefanya kila mtu ashtuke
Michuano ya klabu bingwa Afrika
Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es
Salaam Tanzania huku jumla ya vilabu 13 vikishiriki.
Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kutoa kiasi cha dola elfu 60 za marekani kama zawadi kwa washindi.
Kundi
A itajumuisha timu za Yanga yaTanzania, Gor Mahia ya Kenya, Kmkm
Zanzibar, Telecom ya Djibout na Khartoum- Sudani Kaskazini.
Kundi B - APR Rwanda, Al Shandy ya Sudan, LLB FC Burundi naHeegan Somalia.
Wakati kundi C - Azam ya Tanzania, Malakia ya Sudan Kusini, Adama ya Ethiopia na KCCA ya Uganda.
Hata
hivyo mgawanyo wa zawadi kwa kila mshindi ni kwamba mshindi wa kwanza
atajinyakulia dola elfu 30, wa pili dola elfu 20 na wa tatu dola elfu
10.
LAYIII
Kila siku vituo vya redio na TV Afrika vinapokea mamia ya kazi mpya
kutoka kwenye midundo ya Afrika ambapo wiki hii hii ya R2Bees – Gboza
ft. Davido ni moja ya video mpya zinazochezwa kwenye TV mbalimbali.
- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita). - Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. -
Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu cha Salford, Uingereza.
- Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
Kwenye
mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka
kwa walichoandika watu mbalimbali maarufu wa Tanzania, zipo pia hizi
tweets za katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa.
Ameandika >>> ‘Siku ambayo Watanzania watatambua
kwamba walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo, na kujua kwamba kikwazo ni
CCM na kukiondoa haiko mbali, hakuna msafi CCM, wala hii si habari
mpya… ubora wa CCM ulizikwa na Azimio la Zanzibar 1994, kwa mara
nyingine tena tunapaswa kuamua‘
‘Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi
ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache
kushinda. Kura yako ni ukombozi‘ – Dr. Slaa.
LAYIIII
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja
tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii
inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali
duniani.
LAYIII
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani
Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa
kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.
Ni
utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani
Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao
LAYIII Mwandishi Wetu NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye
amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’ kuwa mgombea urais wa Tanzania
kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan,
lakini yaliyojiri katika mchakato wa kumpata mgombea huyo, hayajawahi
kutokea, Ijumaa Wikienda limechimba na kuchimbua. Mwandishi Wetu
NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’
kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na
mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan,
layiii
Inawezekana ukawa na maswali kwamba kwanini muziki wa Hip Hop bado
haujatusua kimataifa sasa Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka
na kuelezea sababu zinazopelekea kwa kukwama.
.
Inawezekana ukawa na maswali kwamba
kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel
Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu