LAYIII
Huu ndio mtaro ambao Joaquín Guzmán Loera ametorokea.
Joaquin “El Chapo” Guzman
ndio jina la mfanyabiashara wa Mexico ambalo limechukua headlines kubwa
kwa siku kama tatu hivi mfululizo, jamaa ni mfanyabiashara mkubwa wa
dawa Kulevya, kile kitendo cha kutoroka kwenye Gereza lenye ulinzi
mkubwa kimefanya kila mtu ashtuke
!!
Jamaa alikamatwa kama mwaka 2014, juzi July 12 2015 ikaibuka BREAKING NEWS ya jamaa kutoroka Gereza la Altiplano lililopo Almoloya, Mexico.
Gereza lina Ulinzi mkubwa sana lakini ndio hivyo alifanikiwa kuutumia mtaro wa majitaka unaopita chini ya gereza kutoroka usiku.
Huu ndio mtaro ambao Joaquín Guzmán Loera ametorokea.
No comments:
Post a Comment