Wednesday, 8 February 2017

VIDEO MAJIBU YA YUSUPH MANJI BAADA YA KUHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA

Mfanyabiashara Yusufu Manji amesema kuwa atakwenda Kituo cha Polisi kesho kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alivyotaka.
https://youtu.be/4lddMaRaAD4
Manji amesema kuwa pamoja na kuwa Makonda ametaka wafike Ijumaa yeye atakwenda kesho huku akihoji kuwa inawezekanaje wakaitwa watu 65 kuhojiwa kama hakuna shughuli za kufanya kwa siku nzima.
“Mimi nina nafasi mbili kwenye jamii, Mimi ni mtoto wa baba yangu na nafasi yangu ya pili mimi ni mwenyekiti wa Yanga na nyote mnajua ninavyoheshimiwa. Huwezi kunitangaza kupitia radio

VIDEO: ASKOFU GWAJIMA AJIBU MAPIGO KWA PAUL MAKONDA

0
GWAJIMA
Saa chache baada ya kutakiwa kufika polisi na mkuu wa mkoa kwa kutoa taarifa juu ya madawa ya kulevya,Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima Amepost Ujumbe picha huu ambao wataalamu wa mambo wanadai kuwa ni kama jibu kwa Mhe Makonda.

MAKONDA AZIJIBU TUHUMA ZA KUTOKA NA MASOGANGE KIAINA AINA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo wa mkoa kushindwa kulitaja jina la Agness Masogange kwenye orodha ya kwanza ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

KUMBE UWOYA ANAPENDA WANAUME WENYE SURA MBAYA

STAR wa Bongo Movie mwenye mvuto wa pekee na mshiriki wa shindano la Ijumaa la Figa Bomba, Irene Uwoya, amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa havutiwi na wanaume wenye muonekano mzuri na hujui ni kwa nini
Aidha staa huyo amewahi kuripotiwa na vyombo vya habari kuwa anavutiwa sana na wasanii wa Bongo

Tuesday, 7 February 2017

KUMBE HATA MAKONDA ANAUZA UNGA :JOSEPH KASHEKU

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ameendeleza ‘vita’ yake dhidi ya Paul Makonda, akisema yupo tayari kusaidia vyombo vya dola kukamata vigogo wa dawa za kulevya na kuhoji ukimya wa mawaziri watatu dhidi ya kile alichodai utajiri wa mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Awali, Kasheku ambaye ni maarufu kwa jina la Msukuma, alitoa tuhuma dhidi ya Makonda juzi, alipotaka kujua wafadhili wa safari za mkuu huyo wa mkoa nje ya nchi na sababu za kubagua watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya kwa kutaja baadhi na kuwaacha wengine, huku mawaziri wakisita kuchukua

WAKATI WEMA SEPETU AKIENDELEA KUSOTA RUMANDE WASANII WENGINE 13 WAWEKWA CHINI YA ULINZI

Wakati wasanii 13 wakipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa nyakati tofauti na kuweka chini ya uangalizi, wenzao wawili, Wema Sepetu na Omari Micheri wameendelea kusota rumande kwa zaidi ya saa 120.
Wema na Omari ndiyo pekee katika kundi la wasanii waliojisalimisha katika Kituo Kikuu cha Polisi tangu

SIRRO: TUNAMSHIKILIA LISSU KWA MAHOJIANO

YOUTUBE
Kamishna wa kanda maalumu ya Dar es salaam Kamanda Simon Sirrio amethibitisha kuwa wanamshikiria mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu,
Aidha kamanda Sirro amesemakuwa wanamshikiria Lissu kwa kwa mahojiano juu ya matamshi yake aliyoyatia dhidi ya rais Joh Magufuli
Kamanda Sirro amesema kuwa Lissu anashikiriwa na polisi tangu jana jioni alipokamatwa mara baada ya

HII NDIYO SABABU YA WEMA SEPETU KUNYIMWA DHAMANA

Watuhumiwa wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya waliotajwa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Paul Makonda, Jumanne hii, February 7, 2017 wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu tuhuma zinazowakabili.
Mastaa hao wakiwemo TID, Nyandu Tozi, Babu wa Kitaa, Romy Jones, Tunda, na wengine, wameachiwa kwa sharti la dhamana ya shilingi milioni 10 kila mmoja na watakuwa wakiripoti kwa mwezi mara mbili huku

Tuesday, 10 January 2017

MAGARI 10 BORA DUNIANI


Magari ni kati ya vitu vinaundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani, magari yamekuwa yakifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa ni kwa maeneo yenye barabara tu. Magari sio tena hitaji la wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila siku.

Leo nimekutafutia hii taarifa kuhusu vitu vya kujua kwenye magari; vipo vingi kuanzia kwenye aina

Monday, 9 January 2017

PRUDUCER NA MSANII MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI AJA NA HII MPYA

 
Msanii na producer mtanzania anayeishi marekani kaja na hii mpya ambayo anaitambulisha kupitia huko soundcloud.com/jaymett. Ni watanzania wachache sana ambao wanamake headline huko majuu ikiwa ni pamoja na wafanya biashara na wasanii waliojitengenezea jina ndani na nje ya

BONGO FLEVA INAMWITAJI TENA MWANA FA NA JIDE

Watu ambao muunganiko wao umeunganishwa kutokea mbinguni iwe marafiki, wapenzi au wanandoa basi matokeo ya kile walichounganishiwa huwa na msisimko na ladha ya kipekee. Kama ni ndoa huwa na furaha na mmiminiko wa Baraka. Kama ni muziki basi huwa ni muziki ambao si rahisi ladha yake kuisha.



Alikufa Kwa Ngoma, Hawajui, Sikiliza, Msiache Kuongea,ukisikiliza hizi nyimbo pasi na shaka utakubaliana kuwa sio tu ni moja kati ya nyimbo kali kuwahi kutokea kwenye muziki wetu ila ni moja kati ya nyimbo bora kabisa za kushirikiana katika muziki wa Bongo Flava.

Sunday, 8 January 2017

AY AMTAJA R KELLY WA BONGO

Rapa mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika Mashariki na kati.

Mbali na hilo AY amemfananisha Ben Pol na mkali wa Rnb kutoka Marekani R Kelly na kusema Ben Pol ndiye R Kelly wetu hivyo tunapaswa kumpa support tu katika kazi zake ili azidi kufanya mambo makubwa

Friday, 6 January 2017

VIDEO: GIGY MONEY NA SWALA LA YEYE KUWA NA UKIMWI

Video queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea na mastaa kibao Bongo.

DARASA: PRODYUZA HUYU ALINITOLEA NJEE

Rapa Darassa amefunguka na kuweka wazi jambo ambalo katika maisha yake ya muziki lilimkwaza sana na hataweza kulisahau ni baada ya mmoja wa Producer wake kutoka AM Record Manecky kumkatalia kufanya kazi ambayo ndiyo iliweza kufungua zaidi milango

NICK MINAJ AELEZEA KUHUSU KUVUNJIKA KWA HUSUSIANO WAKE NA MEEK MILL





Baada ya kuwa na tetesi za kuachana kwa Hip Hop Couple ya Nicki Minaj na Meek Mill, Jan 5 2017, hatimae tumepata kauli ya mwisho kutoka kwa Nicki Minaj kuhusu tetesi hizo.
Mbali na kauli hiyo pia zilishaibuka tetesi Nov 21 mwaka Jana (2016) kuwa Nicki Minaj amempata mwanaume wa kumrithi Meek Mill baada ya kumpiga chini. Mwanaume huyo

MTOTO WA OSAMA KUANDAMWA NA WAMAREKANI SASA


Marekani imemtangaza Hamza mtoto wa Osama ktk orodha ya Magaidi. Azuiwa kufanya biashara na wamarekani na mali zake kutaifishwa.

Aidha kiongozi mkuu wa usalama wa kundi la Al Qaeda, Ibrahim al-Banna ametajwa katika orodha

Thursday, 5 January 2017

JUNE 30 MWAKA HUU HIZI NDO SIMU ZITAKAZOIKOSA APP YA WHATSUPP


Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma ya Whatsapp imesema kuna baaadhi ya simu za zamani zikiwemo zile zinazotumia mfumo wa Windows Phone 7.1, Android 2.2 na simu aina ya iPhone 3GS/iOS hazitakuwa na huduma za whatsapp kwa sababu wanataka kuendana na mifumo inayotumiwa na watu wengi.

ALICHOKISEMA YOUNG D KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KURUDI KWENYE UNGA

Udaku,Young D

Hatimaye rapper Young Dee amejibu kwa ufupi kuhusiana na tetesi kuwa amerudi tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

Akiandika maneno mafupi sana kwenye post yake mpya ya Instagram, Young Dee amedai kuwa ‘muda utaongea.’

“Time will Tell… Mi sina tatizo na mtu… Tuombeane kheri tu…

WAZIRI MKUU AONYA UJENZI HOLELA MANISPAA YA KIGAMBONI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXh1Y-RieZHLCCKJBe1GIYvY74CIIUexiHhSLfWd9tJkJMFRxWjj0M0bLHFRDY6Ay7ei8jnN85gP7yX799HmcoXAT9OyBbIGDx7Oiyjy4sGbGbmsWRkIGVooizXOfzPBxOXsWG87UE_xs/s1600/1.jpg
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha unasimamia ujenzi wa kisasa na kutenga maeneo maalumu ya wazi katika manispaa hiyo, ili kuepusha makosa ya ujenzi holela yaliyofanyika katika maeneo mengine jijini Dar es Salaam.

Pamoja na hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa amesema manispaa hiyo mpya kwa sasa inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa majisafi na salama na wakazi wake wanatumia maji ya visima pekee ambayo si safi na salama.

SHERIA YA OBAMACARE TRUMP KUITUPILIA MBALI KWA KISHINDO

Rais Barack Obama amewahimiza wanachama wa chama cha Democratic kupigania sheria yake ya bima ya afya ambayo utawala wa Donald Trump umeahidi utaibatilisha upesi baada ya kuingia madarakani.
Kwenye mkutano wa faraghani wa saa mbili, Bw Obama aliwahimiza wabunge wa chama hicho kuitetea sheria hiyo, huku wanachama wa Republican nao wakichukua hatua kufuta sheria hiyo.

advertise here