LIKE PAGE YETU HAPA

Stori: Mayasa Mariwata, Ijumaa

GIGY
"Hee, ninavyoijua pesa jina langu lenyewe linajieleza, sasa nawezaje kukataa dili la hela ikiwa sidhuriki chochote maana kama ni picha zangu kila kukicha natupia mtandaoni, mtu si anaweza kuchukua tu, lakini mpaka kaniomba kaniheshimu itabidi anilipe kama shilingi milioni 50.”

DIVA
"Ni kweli napiga picha zisizo na maadili kwa nchi yetu ambazo zinaweza kumshawishi mtu kunipa dili la aina hiyo japo kwa kucheza sipo tayari, ila picha akinipa shilingi milioni 200 nakubali anipige hizo picha.”
KIDOA
Kwa kuwa hiyo pesa nitakuwa sijaitolea jasho siwezi kuiacha, nikilipwa shilingi milioni 500 napiga hilo dili kwa moyo mkunjufu
ISABELA
“Kipindi hiki pesa ilivyokuwa ngumu naanzaje kukataa, kwani ninavyoweka picha zangu huko mtandaoni kuna mtu ananilipa na mbona nasemwa sana, bora nikasemwa nikiwa nimefaidika tena kupitia picha yangu tu tatizo liko wapi, nikipewa shilingi milioni 100 nakubali.”
NENO LA MHARIRI:
Ni vyema wasanii hawa wakazingatia maadili ya Kitanzania kwa kuepuka kupiga picha za utupu kwa namna yoyote. Watafute fedha kwa njia halali kutokana na kazi zao. Waache kuiga mastaa wa nje kama vile Rihanna, Kim Kardashian, Amber Rose na wengineo ambao wamekuwa wakilipwa pesa ndefu kwa kupiga picha hizo ambazo zimekuwa zikitumika kwenye majarida na mitandao mbalimbali
Stori: Mayasa Mariwata, Ijumaa
DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha! Ndivyo
unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa
kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi viwango vyao vya malipo
endapo mtu atahitaji picha zao za utupu (X).
Miongoni mwa wasanii hao ni muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford
‘Gigy Money’, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Isabela
Mpanda ‘Bella’ ambao kila mmoja amekiri kuwa yupo tayari kupiga dili
hilo ili aweze kujiingizia ‘mkwanja’ mnono na kudai kwa sababu wao
hawatoshiriki ni picha tu hivyo hakuna ubaya.GIGY
"Hee, ninavyoijua pesa jina langu lenyewe linajieleza, sasa nawezaje kukataa dili la hela ikiwa sidhuriki chochote maana kama ni picha zangu kila kukicha natupia mtandaoni, mtu si anaweza kuchukua tu, lakini mpaka kaniomba kaniheshimu itabidi anilipe kama shilingi milioni 50.”
DIVA
"Ni kweli napiga picha zisizo na maadili kwa nchi yetu ambazo zinaweza kumshawishi mtu kunipa dili la aina hiyo japo kwa kucheza sipo tayari, ila picha akinipa shilingi milioni 200 nakubali anipige hizo picha.”
Kwa kuwa hiyo pesa nitakuwa sijaitolea jasho siwezi kuiacha, nikilipwa shilingi milioni 500 napiga hilo dili kwa moyo mkunjufu
ISABELA
“Kipindi hiki pesa ilivyokuwa ngumu naanzaje kukataa, kwani ninavyoweka picha zangu huko mtandaoni kuna mtu ananilipa na mbona nasemwa sana, bora nikasemwa nikiwa nimefaidika tena kupitia picha yangu tu tatizo liko wapi, nikipewa shilingi milioni 100 nakubali.”
NENO LA MHARIRI:
Ni vyema wasanii hawa wakazingatia maadili ya Kitanzania kwa kuepuka kupiga picha za utupu kwa namna yoyote. Watafute fedha kwa njia halali kutokana na kazi zao. Waache kuiga mastaa wa nje kama vile Rihanna, Kim Kardashian, Amber Rose na wengineo ambao wamekuwa wakilipwa pesa ndefu kwa kupiga picha hizo ambazo zimekuwa zikitumika kwenye majarida na mitandao mbalimbali

Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote
duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi
kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.

Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mafahari wawili wa Bongo
Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
kudaiwa kutupiana vijembe vya kufa mtu baada ya kuwepo kwa madai ya Kiba
kuhujumiwa.

Basi
la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake
akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita
basi hilo