LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE

Portugal ilitawala mechi hiyo lakini mlinzi wa Bulgaria Leiria alikataa katakata kuwapisha washambuliaji wa
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
Mshambuliaji wa Real Madrid
Cristiano Ronaldo alikosa penalti kwa mara ya pili mfululizo huku timu
yake Portugal ikipoteza nyumbani dhidi ya Bulgaria katika mechi ya
kirafiki.
Marcelinho alifunga bao lake la kwanza na hivyobasi
kuwapatia wageni hao uongozi katika kipindi cha kwanza alipofunga kupita
pasi nzuri.Portugal ilitawala mechi hiyo lakini mlinzi wa Bulgaria Leiria alikataa katakata kuwapisha washambuliaji wa