Tuesday, 25 August 2015
Monday, 24 August 2015
ONGEZEKO LA UZITO LIMEMFANYA ZIDANE AMWONDOE HUYU JAMAA KIKOSINI
LAYIII
Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika Ligi ya Segunda Division B. Meneja wa Real Madrid Castilla ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane.
Timu hiyo ya wachezaji wa akiba kupitia kwa meneja wake Zinedine Zidane
Friday, 21 August 2015
Wednesday, 19 August 2015
MISS TANZANIA YASAMEHEWA RASMI
LAYIII

December 2014 baada ya shindano la Miss Tanzania kukamilika liliingia kwenye headlines baada ya Baraza la sanaa la Taifa kutangaza kulifungia shindano hilo kwa miaka
December 2014 baada ya shindano la Miss Tanzania kukamilika liliingia kwenye headlines baada ya Baraza la sanaa la Taifa kutangaza kulifungia shindano hilo kwa miaka
NIMEKUSOGEZEA MATOKEO YA MECHI YA Man United Vs Club Brugge (Picha&video)
LAYIII
Ikiwa zimepita siku kadhaa tu toka Ligi
Kuu mbalimbali barani Ulaya zianze August 18 imepigwa michezo kadhaa ya
kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza katika hatua ya makundi ya Kombe la
klabu bingwa barani Ulaya, michezo iliochezwa ni pamoja na mchezo
ambao umewakutanisha Manchester United dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji.
Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa nyumbani wa klabu ya Club Brugge nchini Ubelgiji katika uwanja wa Jan Breydel wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 29,472, mchezo umemalizika kwa klabu ya Manchester United kuibuka na ushindi wa jumla ya goli 3-1 magoli ya
Tuesday, 18 August 2015
KWA KILECHA SINTOFAHAU LULU AJIACHIA NA DIAMOND USIKU WA MANANE
LAYIII
Mwandishi Wetu
UCHOKOZI! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ëLuluà anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ëDiamond PlatnumzÃ, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

MATOKEO YA Liverpool vs AFC Bournemouth (picha&video) NIMEKUWEKEA HAPA
LAYIII
Klabu ya Liverpool imeshuka dimbani August 17 kukipiga na klabu ya AFC Bournemouth iliyopanda Ligi Kuu Uingereza msimu huu, huu ukiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu, Liverpool imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuanza kuona matunda ya usajili wa mchezaji Christian Benteke iliomsajili msimu huu kutokea klabu ya Aston Villa.
Kwa upande wa AFC Bournemouth hii sio historia nzuri kwani imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza msimu huu, goli pekee la Christian Benteke dakika ya
Subscribe to:
Posts (Atom)