LAYIII
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ipo nchini Uturuki inaendelea na kambi yake ya siku nane kujiandaa kabla kucheza mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ya kuwania kufuzu AFCON 2017, mchezo utakaopigwa Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

August 27 kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametoa ripoti kuhusu maendeleo ya kambi hiyo sambamba na hali za wachezaji, Mkwasa amethibitisha wachezaji kuwa katika hali nzuri