Sunday, 3 April 2016

BUNGE KUJADILI NAMNA YA KUMNG`OA ZUMA

LAYIII

Bunge la Afrika kusini litajadili hoja ya kumng'oa rais Jacob Zuma madarakani siku ya Jumanne.
Spika wa bunge la Afrika Kusini ametoa taarifa hiyo baada ya shinikizo kutoka kwa vyama vya upinzani vikiongozwa na kile cha Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Malema.

BAADHI YA WACHEZAJI WA EPL WANATUMIA MADAWA HARAMU

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Serikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji nyota wa kandanda nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini.
Gazeti la Sunday Times limechapisha ripoti ya uchunguzi iliyothibitisha kuwa sio tu wasakataji dimba bali hata waendesha baiskeli, wachezaji Kriketi na hata wachezaji wa tenisi wamekuwa wakipokea matibabu kutoka kwa daktari mmoja ambaye anajulikana kwa kupeana madawa hayo

BREAKING NEWZ NDEGE YAGONGA GARI HUKO CARFONIA

LAYIII

Mtu mmoja ameuawa baada ya ndege moja kuangukia gari alimokuwa kwenye barabara kuu ya California Marekani.
Walioshuhudia wanasema kuwa ndege hiyo ilionekana kama iliyokuwa na matatizo ya injini na ikalazimika kutua kwa dharura kwenye barabara ya Interstate 15 freeway California.
Rubani wa ndege hiyo Dennis Hogge hata hivyo alishindwa kuidhibiti na ikateleza na kuigonga gari

NILIIBA MUME WA RAFIKI YANGU ALICHONIFANYIA SITASAHAU

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUMSHUDIA ALIYE CHEZA KIMAHABA OFISINI
skirt dress sexy dress party dress black dress o neck cute skirt jumpsuit fashion beautiful preppy women clothes classy trendy cool girl new cute
Tulipotoka chuo mwanzoni mwa miaka ya 2000 mimi na rafiki yangu kipenzi tulipata kazi nzuri na yenye kulipa vizuri sana, kazi hiyo tulitafutiwa na Mchumba wa huyo shosti wangu, tulipomaliza probation tu, rafiki yangu na Mchumba wake wakafunga ndoa rasmi.

Baada ya kama miaka 3 hivi, mimi na yule shemeji yangu tukaanzisha uhusiano usiofaa kwa siri bila mwenye mali kujua, baadae yule bwana akaanzisha fujo nyumbani kwake ili waachane, rafiki yangu akaja kugundua kuwa mimi ndiye mbaya wake, urafiki ukaishia hapo

HUYU NDIYE MSANII WA KIUME AMBAYE LADY JAYDEE ANAMFIKILIA KWA SASA

LAYIII
NJOO YOUTUBE BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lady Jaydee ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Ndi ndi ndi' amefunguka na kuweka wazi wazi msanii wa kiume ambaye kwa sasa anamfikiria katika kufanya nae kazi.

Kupitia Accout yake ya twitter ambapo alitoa nafasi ya maswali kutoka kwa mashabiki zake Lady Jaydee aliulizwa swali kama ataweza kufanya remix ya wimbo wake mpya na kama

MADAWA: ARSENAL, CHELSEA, LEICESTER` NI UONGO

layiii

BONYEZA PICHAA HII BET ONLINE SASA NA MERIDIANBET.CO.TZ

https://meridianbet.co.tz/?affiliate=9051&campaign=8930&refer=5nCOhT6G1Prq2kPpwPGyvw#!join


Vilabu vitatu vikuu katika ligi kuu ya Uingereza EPL vimekanusha madai kuwa wachezaji wao wanatumia madawa yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini.
Vilabu hivyo vimekanusha madai hayo yaliyochapishwa na jarida la Sunday Times kuwa ya ''uongo''
Jarida hilo limechapisha ripoti ya ufichuzi inayodai kuwa daktari mmoja mwenye zahanati ya kibinafsi mjini London Mark Bonar amekiri kuwapa madawa yaliyopigwa marufuku wachezaji 150 katika kipindi cha miaka 6 iliyopita.

KOREA KUSINI MAHAKAMANI JE NGONO IHALALISHWE AU IPOTEZEWE

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NA MTOTO HAPPY
Mahakama ya katiba Korea kusini imeendelea kukataa rufaa iliyowasilishwa kupinga sheria inayopiga marufuku biashara ya ngono ikiwa ni ishara ya kushindwa kwa wafanyabiashara hii ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakifanya kampeni kupinga hayo maamuzi.
Hakimu Kim chang jong amesema kampeni za kuleta uwazi na uhuru katika ngono hazimaanishi kuwa

Saturday, 2 April 2016

RAILA ODINGA ATUA CHATO NYUMBANI KWA MAGUFULI KWA KUTUMIA HELKOPTA BINAFSI

LAYIII
Raila Odinga baada ya kufika Chato alisemamimi na familia yangu tupo likizo na tumekuja kumtembelea rafiki wa familia yetu, nimekuja kupumzika na mke wangu na mtoto wangu wa kike, pia nimekuja kutoa pongezi kwa ndugu yangu kwani tangu achaguliwe sijaja hapa Chato na nilisema siendi Dar, nitakuja hapahapa Chato

GARI LA KIFAHARI LA POLICE LAMFANYA MKOSAJI ASAHAU FAINI HUKO DUBAI

LAYIII
Dubai ni moja ya sehemu ukienda kwa mara ya kwanza utajikuta unashangaa tu tena kama wewe ni mpenzi wa magari makali na maisha mengine ya kifahari ndio kabisa maana kuanzia watu binafsi mpaka Jeshi la Polisi wanayo magari ya kifahari kama Ferrari, Bugatti na Lamborghini ambayo wengi wetu tumezoea kuyaona kwenye video za mastaa wa dunia kama kina Nicki Minaj, Chris Brown na wengine.

DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA KAI BOY DEAR GOD

LAYIII
NONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE MTU WANGU
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk

JE ULIIJUA HIII ------- AFANYIWA UPASUAJI MARA 25 ILI KUONDOA TATUU ZILIZOKO USONI KWAKE

LAYIII
 BONYEZA PICHA KUMSIKILIZA MTOTO HAPPY KISHA SUBSCRIBE NAMI YOUTUBE ILI KILA SIKU UPATE VIDEO KALI ZA MATUKIO
http://images.postr.hu/uploads/blogs/1496/122060/post_122060_20130317222102.jpg
Kijana mmoja ambae alikuwa kiongozi wa Wahuni nchini ujerumani alifanyiwa operation mara 25 usoni kwake ili kufuta tattoo zilizopo usoni mwake.

UNAJUA NAMANA YA KUZUGUSHA KIUNO NA KUMRIZISHA MMEO JIFUNZE HAPA

LAYIII
bonyeza picha hii kujifunza zaidi

Sio siri licha ya kuwa na pilika nyingi mchana kutwa lakini unapoingia usiku hasa kwa wale wanao ishi na wenza wao ni vyema kufarijiana kwa njia hii, ili kuchangamsha mwili na akili kwani kujua kupika na usafi ni mambo ya kawaida lakini  katika nyanja za usiku inabidi uwe fundi na ndio maana www.swaxbz.com imeamua kukujuza ni jinsi gani unaweza kutaka ili

OBAMA: TRUMP HAELEWI SERA ZA KIGENI

LAYIII
BONYEZA PICHA KISHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Mgombea wa kiti cha urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, hana ufahamu wowote wa sera za kigeni wala maswala ya ulimwengu! Haya ni kulingana na rais wa Marekani Barrack Obama. Obama ameyasema haya kufuatia matamshi ya Donald Trump kuwa

KIWANGO CHA PESA ANACHO LIPWA DK MAGUFULI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

LAYIII
 BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
Baada ya baadhi ya Wabunge wa vyama vya upinzani Tanzania kumtaka Rais Magufuli kuanika hadharani mshahara wake pamoja na makato ya kodi, President Magufuli ambaye ni Rais wa awamu ya tano kwenye Jamuhuri ya muungano wa Tanzania amekubali kuutaja mshahara wake.
Kama kawaida yake yeye ni shabiki wa kipindi cha TV cha Clouds 360 on CloudsTV ambacho alikipigia simu kwa suprise March 17 2016, sasa wakati anatazama kipindi hicho April 1 2016 akiwa

NA UPDATE KUTOKA TRACE TV HIZI NDIO VIDEO 10 BORA ZENYE WATANZANIA WANNE

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Headlines za Tanzania zinazidi kuwa nyingi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho Wasanii wengi wamekua wakililia au kutamani video zao zionyeshwe hapo kutokana na ukubwa wa Station hiyo na nguvu yake iliyosambaa sehemu mbalimbali Afrika.
Leo March 31 2016 kupitia kituo hicho kilitoa video 10 bora za Africa zinazofanya vizuri zikiwemo mbili kutoka Tanzania Navy Kenzo – Kamatia, Ay ft Diamond Platnumz – Zigo Remix

VIDEO MPYA YA RIHANNA "KISS IT"

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Ipokee na hii ‘kiss it better‘ video mpya ya Rihanna ambaye February 20 2016 alitimiza umri wa miaka 28, single yake ambayo imelia sana masikioni na imepita sana kwenye TV zetu ni work ft. Drake aliyoiachia February 22 2016 na imeshika namba

Friday, 1 April 2016

NDUGU WA SAJUKI WAFUNGUKIA TARAKA YA WASTARA

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA KUSKILIZA NA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
WASTARA13
Na Gladness Mallya
KUTOKANA na madai ya kupewa talaka na mumewe Sadifa Juma, ndugu wa aliyekuwa mume wa Wastara Juma, marehemu Sadick Kilowoko ‘Sajuki’, Mohamed Kingochi ‘Mdidi’ amefunguka kuwa ameumizwa na suala hilo kwani walitegemea ndiyo amepata mtu wa kumpa faraja.

ULIJUA JINSI WAUMINI WALIVYO MLIPUA MBONGO MOVIE LULU KIMEMETA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUMSKIA MTOTO HAPPY
lulu210
Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akitoa neno katika Kanisa la Living Water Centre.
Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan, Ijumaa
Dar es Salaam: Baada ya hivi karibuni kukiri kanisani kuwa ameokoka na kumkubali Mungu kuwa bwana na mwokozi wake kisha kukengeuka na kupiga picha chafu za nusu utupu, waumini wamemlipua staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani akiwa na biblia) kwa madai kuwa anatia aibu.
TUJIUNGE KANISA LA MAKUTI-KAWE

MABADILIKO KATIKA INSTAGRAM YAMEZUWA HISIA KALI SANA KWA WATUMIAJI

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUMSKILIZA MTOTO HAPPY
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Mabadiliko ya yaliomo katika mtandao wa instagram yamezua hisia kali miongoni mwa watumizi wake.
Mtandao huo una mpango wa kuweka ratiba ya mpangilio wa ujumbe hivyobasi kupanga machapisho kulingana na maslahi ya mtumiaji badala ya kuyapanga kulingana na mda.
Machapisho mengi ya watu maarufu ambao wana wasiwasi kwamba picha zao huenda zisionekane na watu wengi yamewataka wafuasi wao kufungua kitufe cha ujumbe.

SHAROBARO APAGAWISHWA KIMAPENZI NA RIYAMA

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE USKIE KILICHOJIRI KULE
Taarifa ikufikie kwamba, staa wa kitambo wa Bongo Muvi, Riyama Ally amelipiwa mahari na mpenzi wake ‘sharobaro’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Haji Mwalimu ‘Leo Mysterio’ huku mipango kabambe ya ndoa ikiendelea.

advertise here